Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Na hata wao wanajua wanazingua ila wataendelea kuzingua na hakuna kitu mtawafanya, au we unacho?
 
Wenzako tumefika wewe Bado kumbe? Tunaelekea huku 👇

View: https://twitter.com/AnnaSarungi/status/1746100811422114195?t=P3H_SuhSCv2PJSnLk9-Yow&s=19
View: https://twitter.com/ProudlyCCM/status/1746101558142505079?t=vv2uCYzG6UIm3IfArum2Mw&s=19
 
Alipokufa Jiwe Tu Huyu Nyuma Tumepigwa Tumechakaa
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumeonewa Mno
 
Kosea Kuoa/Kuolewa Maana Mnaweza Kuachana Muda Wowote
Lakini Ukikosea Kuchagua Kwenye Uchaguzi Hadi Baadaye

YAANI MIAKA 5 Ama Afe Kwa Uwezo Wa Rabi
 
Great thinkers

Huo ndo ukweri wenyewe mambo yanvyoenda hapa Tanzania utadhani hakuna serikali.

1.Maji hamna
2.Umeme hamna
3.Bidhaa bei juu.

Ni aibu kuwa Raisi kama huyu analiaibisha Taifa kwa wageni na wawekezaji
 
Wewe pata picha mkeo tu hapo nyumbani anunue gauni jipya akipita atataka mtaa mzima wajue anapita au akienda kwenye sherehe atazunguka ukumbi mzima ili ijulikane yupo na amevaa gauni jipya same kwa Samia.

Bado hujaona wewe ngoja siku atakayoomba kikao na Kim Jong Un ndiyo utashangaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…