Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
🤝Pamoja sister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤝Pamoja sister
Nakuangalia kwenye tv kwenye maazimisho yenu mkuuAchana naye huyo anajiropokea tu.wakati huku mitaani mamilioni ya watanzania wanasubiri uchaguzi ufike ili wampe kura za ndio kwa kishindo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia. Watu wanampenda Rais Samia Mpaka wanabubujikwa na machozi machoni utafikiri wamepakwa pilipili machoni wakisikia anatoa hotuba yake
Yupo kwenye maazimisho ya siku yaoMkuu Lucas mwashambwa, kuna kibarua kimepatikana huku
Hoja kuntu huwa haibebi hisia/huba za mtoa hoja bali facts tu
Ngoja aje chawa andazi wa kisiasa Lucas mwashambwa akuandikie kurasa 9 zinazohesabu idadi kamili ya matone ya machozi ya furaha yanayobubujika kutoka hizo asilimia 95 wakimtaka mama mitano tena🤪Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisafi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Why you did viceversa?,Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisafi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Bila kumung'unya maneno Watu wanamchukia sana huyu Mama. Kwa sababu utawala wa Magufuli ulionekana waziwazi kuwapa unafuu Wananchi wa kipato Cha kawaida, hata pale ilipotokea ishu ya inflation kwenye yale mahitaji ya muhimu, Magufuli alipambana waziwazi na matokeo yalionekana. Utawala huu unaonekana kuwa mchungu kwa Wananchi wengi hasa wa kipato Cha chini. Maji ya Bomba Sasa hivi yanatoka machafu kama maziwa na yana udongo. Bila unafiki wala kusema uongo. Mama Samia anachukiwaMkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.
Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Hizi asilimia umezitoa wapi ewe puguani kwenye mashamba ya magimbiWanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisafi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Naunga mkono hoja, jee hoja HII ni hisia, huba na haina facts?.Hoja kuntu huwa haibebi hisia/huba za mtoa hoja bali facts tu
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisafi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
The opposite is true!Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.
Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Hili tumelizoea PaskaliHoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
Mkuu Manyanza , hizi ni hisia tuu, uthibitisho ni 2025, utashangaa!.Bila kumung'unya maneno Watu wanamchukia sana huyu Mama. Kwa sababu utawala wa Magufuli ulionekana waziwazi kuwapa unafuu Wananchi wa kipato Cha kawaida, hata pale ilipotokea ishu ya inflation kwenye yale mahitaji ya muhimu, Magufuli alipambana waziwazi na matokeo yalionekana. Utawala huu unaonekana kuwa mchungu kwa Wananchi wengi hasa wa kipato Cha chini. Bila unafiki wala kusema uongo. Mama Samia anachukiwa
Uncle Pascal Mayalla heshima yako Mkuu ? Sidhani kama ni hisia huo ni Ukweli kabisa. Na Mimi hata sijui kuwachukia hawa Wanasiasa kwa sababu nchi yetu Ina uwanda mpana wa kufanya lile unalotaka sharti usivunje Sheria za nchi. Kwa upande wangu Wanasiasa siwachukii hata kidogo. Labda ni kwa sababu bado naendelea kuwa Mtu nzima yawezekana siku moja nikaja kuusoma mengi zaidi.Mkuu Manyanza , hizi ni hisia tuu, uthibitisho ni 2025, utashangaa!.
P
Mkuu Snowflake, hili neno, elimu, elimu, elimu, ni hoja kuntu, sio tuu 95% Hawaelewi ni nini maana ya Maendeleo, wala hawajui wanachagua nini!.The opposite is true!
Actually shida iliyopo kwa Wananchi wenyewe ni namna ya kutafsiri neno Maendeleo.
95% Hawaelewi ni nini maana ya Maendeleo.
Wanaamini kwamba Kila kitu kinaletwa na Serikali na hawaelewi nafasi yao ktk hicho kinachoitwa Serikali!
Mfano mdogo:
Serikali ilitenga Budget ya 950Bn kwenye Kilimo-Mimi ningeshauri ifike hata 1.5T na huko Mifugo ifike 600Bn mpk 800Bn.
Tafsiri yake ni kwamba Eneo la Ajira na Biashara limepelekwa kwa Majorities...hayo ndiyo Maandalizi ya Maendeleo.
Maandalizi hayo tyr yamewezesha Bei ya Maziwa kuuzwa mpk Shilingi 2000/= kutoka Shilingi 600 kwa Lita-Hayo hayakwepo na bado yanatakiwa kupewa msukumo zaidi.
Elimu
Elimu
Elimu.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Msomi unatakiwa ku behave kama msomi, kujitofautisha na akina Zembwela, Kitenge na MpotoNaunga mkono hoja, jee hoja HII ni hisia, huba na haina facts?.
P
Acha kupuuza hoja kwa mwanvuli wasukuma gang! Jibu hoja mwana mbuzi weweWewe ni SUKUMA GANG umejivika mwamvuli wa CHADEMA hatimaye umejipambanua ,SUKUMA GANG 100% hawamtaki "WATCH-HUNDRED"
Mama Kizimkazi mitano tena ,na hapa ipo ,ukihitajika utaitwa.
Hoja ni : -Acha kupuuza hoja kwa mwanvuli wasukuma gang! Jibu hoja mwana mbuzi wewe