Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni chadema haswaaWanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
We si ulisema umerudi CCM Mkuu?Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
We chawa huna hela ya kununua Sukari.Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Hata chadema watampigia kuraWanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Hili ndumila kuwili la LumumbaWe si ulisema umerudi CCM Mkuu?
Chadema hakuna vilaza.......Iombe Samahani Taasisi Makini.Kweli wewe ni chadema haswaa
Tupe hiyo statistics ya %95 kama wewe ni kidume kweli!
Atakuwa kanyimwa posho ya FebruaryHili ndumila kuwili la Lumumba
Uchawa tu huo unakusumbua, utasubirije 2025 kupata uhakika wakati tayari Samia na CCM yenu mnaogopa kuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya?Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.
Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Hahahaaa Pascal Mayalla una PHD ya heshima kwa uandishi wako wa kun'gata huku unapuliza, diffensive attack,isnt it?Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.
Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Mkuu Lucas mwashambwa, kuna kibarua kimepatikana hukuWanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Lini?We si ulisema umerudi CCM Mkuu?
Chadema hakuna vilaza.......Iombe Samahani Taasisi Makini.
Achana naye huyo anajiropokea tu.wakati huku mitaani mamilioni ya watanzania wanasubiri uchaguzi ufike ili wampe kura za ndio kwa kishindo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia. Watu wanampenda Rais Samia Mpaka wanabubujikwa na machozi machoni utafikiri wamepakwa pilipili machoni wakisikia anatoa hotuba yakeMkuu Lucas mwashambwa, kuna kibarua kimepatikana huku
Umesahau post yako ulituaga juzi katiLini?
Kwenda zako hukoUmesahau post yako ulituaga juzi kati
UWT bhana na nyieKwenda zako huko
Nyeo la baba yakoUWT bhana na nyie
Machawa tu na mafisadi ndo wanampendaWanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Pamoja sisterNyeo la baba yako