Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.

Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.

Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Kweli wewe ni chadema haswaa

Tupe hiyo statistics ya %95 kama wewe ni kidume kweli!
 
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.

Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.

Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
We si ulisema umerudi CCM Mkuu?
 
We chawa huna hela ya kununua Sukari.

Sasa unashinda humu kupiga kelele badala ufanye kazi
 
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.

Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.

Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Hata chadema watampigia kura
 
Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.

Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Uchawa tu huo unakusumbua, utasubirije 2025 kupata uhakika wakati tayari Samia na CCM yenu mnaogopa kuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya?
 
Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.

Hoja kuwa hapendwi na 95% mtaani, we subiria 2025 it will be proved na utashuhudia...
P
Hahahaaa Pascal Mayalla una PHD ya heshima kwa uandishi wako wa kun'gata huku unapuliza, diffensive attack,isnt it?
 
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.

Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.

Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Mkuu Lucas mwashambwa, kuna kibarua kimepatikana huku
 
Chadema hakuna vilaza.......Iombe Samahani Taasisi Makini.

Mtu wa kanda ya ziwa ashughulike na chadema kweli😃 wa pwani ashughulike na chadema kweli! Wa magharibi na kanda ya kati washughulike na chadema kweli! Mtaambulia vikura vya huko huko ukanda wenu, tena sio wote.
 
Mkuu Lucas mwashambwa, kuna kibarua kimepatikana huku
Achana naye huyo anajiropokea tu.wakati huku mitaani mamilioni ya watanzania wanasubiri uchaguzi ufike ili wampe kura za ndio kwa kishindo kama shukurani kwa kazi kubwa aliyowafanyia. Watu wanampenda Rais Samia Mpaka wanabubujikwa na machozi machoni utafikiri wamepakwa pilipili machoni wakisikia anatoa hotuba yake
 
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.

Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.

Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Machawa tu na mafisadi ndo wanampenda
 
Back
Top Bottom