Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Nakuangalia kwenye tv kwenye maazimisho yenu mkuu
 
Ngoja aje chawa andazi wa kisiasa Lucas mwashambwa akuandikie kurasa 9 zinazohesabu idadi kamili ya matone ya machozi ya furaha yanayobubujika kutoka hizo asilimia 95 wakimtaka mama mitano tena🤪
 
Why you did viceversa?,
Mtoa mada siyo mkweli.
97% loves #SSH
 
Bila kumung'unya maneno Watu wanamchukia sana huyu Mama. Kwa sababu utawala wa Magufuli ulionekana waziwazi kuwapa unafuu Wananchi wa kipato Cha kawaida, hata pale ilipotokea ishu ya inflation kwenye yale mahitaji ya muhimu, Magufuli alipambana waziwazi na matokeo yalionekana. Utawala huu unaonekana kuwa mchungu kwa Wananchi wengi hasa wa kipato Cha chini. Maji ya Bomba Sasa hivi yanatoka machafu kama maziwa na yana udongo. Bila unafiki wala kusema uongo. Mama Samia anachukiwa
 
Hizi asilimia umezitoa wapi ewe puguani kwenye mashamba ya magimbi
 

Wewe ni SUKUMA GANG umejivika mwamvuli wa CHADEMA hatimaye umejipambanua ,SUKUMA GANG 100% hawamtaki "WATCH-HUNDRED"

Mama Kizimkazi mitano tena ,na hapa ipo ,ukihitajika utaitwa.
 
The opposite is true!

Actually shida iliyopo kwa Wananchi wenyewe ni namna ya kutafsiri neno Maendeleo.

95% Hawaelewi ni nini maana ya Maendeleo.

Wanaamini kwamba Kila kitu kinaletwa na Serikali na hawaelewi nafasi yao ktk hicho kinachoitwa Serikali!

Mfano mdogo:
Serikali ilitenga Budget ya 950Bn kwenye Kilimo-Mimi ningeshauri ifike hata 1.5T na huko Mifugo ifike 600Bn mpk 800Bn.

Tafsiri yake ni kwamba Eneo la Ajira na Biashara limepelekwa kwa Majorities...hayo ndiyo Maandalizi ya Maendeleo.

Maandalizi hayo tyr yamewezesha Bei ya Maziwa kuuzwa mpk Shilingi 2000/= kutoka Shilingi 600 kwa Lita-Hayo hayakwepo na bado yanatakiwa kupewa msukumo zaidi.

Elimu
Elimu
Elimu.



Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Manyanza , hizi ni hisia tuu, uthibitisho ni 2025, utashangaa!.
P
 
Mkuu Manyanza , hizi ni hisia tuu, uthibitisho ni 2025, utashangaa!.
P
Uncle Pascal Mayalla heshima yako Mkuu ? Sidhani kama ni hisia huo ni Ukweli kabisa. Na Mimi hata sijui kuwachukia hawa Wanasiasa kwa sababu nchi yetu Ina uwanda mpana wa kufanya lile unalotaka sharti usivunje Sheria za nchi. Kwa upande wangu Wanasiasa siwachukii hata kidogo. Labda ni kwa sababu bado naendelea kuwa Mtu nzima yawezekana siku moja nikaja kuusoma mengi zaidi.
 
Maskini huwa anamuwazia tajiri mabaya yamkute! Lakini kwa Samia msijisumbue kuleta takwimu zenu za kifamilia labda hiyo asilimia 95 yako ni mkeo na watoto wako na wewe mwenyewe ! Lakini Samia ni tingatinga
 
Mkuu Snowflake, hili neno, elimu, elimu, elimu, ni hoja kuntu, sio tuu 95% Hawaelewi ni nini maana ya Maendeleo, wala hawajui wanachagua nini!.

Watanzania wanahitaji elimu, elimu, elimu!. Mimi kwa upande wangu kwasababu ni mwanahabari, mwanasheria, nimejotolea nitajitahidi kusaidia kuelimisha umma kuhusu katiba, sheria na haki.
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=Nk5MFIyFVsRr8TxT
Vipindi hivi vitaendelea mpaka 2025 wakati wa uchaguzi vitawaelimisha wananchi tuanze kuchagua kwa kufanya an informed decision na sio kuchagua kwa mazoea.
P
 
Wewe ni SUKUMA GANG umejivika mwamvuli wa CHADEMA hatimaye umejipambanua ,SUKUMA GANG 100% hawamtaki "WATCH-HUNDRED"

Mama Kizimkazi mitano tena ,na hapa ipo ,ukihitajika utaitwa.
Acha kupuuza hoja kwa mwanvuli wasukuma gang! Jibu hoja mwana mbuzi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…