Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mama Samia kaongeza uwazi katika vita dhidi ya ufisadi, ndio maana unasikia unatajwa, JPM alikuwa wa hovyo, hakutaka watu waseme. Kwa sasa rushwa iliyosemwa waziwazi ni ya chadema, Lissu ameitolea taarifa kwamba chama chao ni cha wala rushwa
Huo uwazi unaotajwa wewe unakusaidia nn !? Sipendi mijitu yakujifanya ety ni mimtu mizuri wakati ndio mijinga ya kwanza dunia hii, wakati wa Magufuli ufisadi ulifichwa na ulpungua na nidhamu ilkuwepo sshv ufisadi umerudi na mnautangaza kbs.
 
Wapumbavu hao. Wanalipwa kumtukana Magufuli Kwa gharama ya kumsafisha Samia!!

Kimsingi wanazidi kuharibu zaidi na kusababisha Samia kuchukiwa zaidi.

Wanaropoka bila kufanya utafiti. Huku mtaani wanamtukanisha sana Samia
 
Hakika
 
Cha kusikitisha zaidi chawa walio wengi ni wa kutoka bara. Visiwani wamejitenga.

Wabara wabara Bandari Ngorongoro vyote vimeuzwa kwa bei ya mkate mpo humu kusifu na kuabudu.

In 5 yrs down the road mtakuwa maskini wa kutupwa! Tutakuwa watumwa wa falme za kusadikika.
 
Madhumuni na Uongozi - 9/4/24

- Kusudi linapogunduliwa kiongozi huzaliwa

- kama huwezi kujiongoza huwezi kuwaongoza watu

- Unaweka alama gani ili watu wakuweke kwenye kumbukumbu zao

- kiongozi hatakiwi kupatikana kila mahali, kiongozi ni nadra kupatikana

- hakuna kiti kilichohifadhiwa kwako katika ulimwengu huu, nenda ugundue Ulimwengu wako na uishi

-

maisha yako yajayo ni zamani za mtu, soma watu!!!

unawajibika kwa 100% kwa maisha yako

Njia za kuwa Kiongozi

- Kusudi

- Nidhamu

- Uwajibikaji (Muda, Rasilimali, Nishati)

- Wajibu

- Kiongozi Anatumikia

- Kiongozi ni msomaji wa mara kwa mara

- Kiongozi usilalamike anaeleza tu

- kiongozi usilaumu mchezo
 
Siyo kwamba wakati wa Magufuli ufisadi ulikuwa umepungua. Ni kwamba yeye mwenyewe alikuwa ndiye FISADI na kikundi cha watu wake aliokuwa anaiba nao.
Fisadi aliebadili muonekano na fikra za Tz !? Bas afadhali fisadi yule na sio huyu wa sasa anaefanya ufisadi huku akisahau kupambania maendeleo ya taifa hili.
 
Wale watu wa Twitter waliomchangia fedha ya faini akatoka jela ndiyo wa kuwalaumu. Pengine angekuwa jela angebaki salama anatumikia kifungo
😅😅kwamba tuwalaumu watu wa Twitter ila kama ingekuwa wakati wa JPM tungemlaumu JPM, naomba niache tu nmchukie Huyu Rais wenu sababu hata nyie Chawaz mnachangia yeye achukiwe.
 
kwanza lazma uelewe kwamba mimi sihusiki na masula ya kishirikina na ramli kama ulivyo,

na nikuhakikishie kwamba Mimi namuamini Mungu peke yake.
Mungu yupi huyo "unayemuamini..?" mungu Samia Suluhu Hassan, au siyo...?
Na kwa Neema na Baraka za Mungu kiongozi wetu wa Kitaifa Dr Samia Suluhu Hassan anatuongoza katika kuyafikia mengi sana miongoni mwa machache niliyoyataja hapo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote..
Hakuna ajabu kwa chawa kukiri hili. So, I totally understand you....
ni dhahiri unazo ngiliba nyingi mno moyoni umezihifadhi na huna mahali pakuzisemea, funguka gentleman upate walau relief kidogo maisha yasonge pia...
Hiyo ndiyo kitu gani in bold....?

Put it in a language that we all understand....
uko zigzag mno
Mmmh, zigzag...!!!????

Sivyo. Bali uelewa na ufahamu wako ndiyo uko zigzag kwa sababu ulishakuwa corrupted. Unahitaji remedy & intellectual massage...
kama Taifa tuna uelekeo moja, hii ya kuchanganya sijui mwaka gani kulikua na nini hizo ni setbacks, kama Taifa tunasonga mbele...
Huwezi kuita historia kuwa ni "setbacks....."

Historia ni mwalimu wa sasa na kwa ajili ya wakati ujao...

Denying your own history is a stupidity of high quality...
 
Ikiwa kila siku gharama za maisha zinazidi kupanda huu mchakatoo kwa Rais lengo lake kuu ni nini huko mbele, Kodi, tozo, Luku, maji kila kitu juu what hapen?
 
1. Anavuruga protojali ya kiserikali kwa kumfanya rais wa Zanzibar kuwa mkubwa kuliko makamu wa rais. Hili ni kosa la kikatiba.

2. Anauza rasilimali za Tanganyika hovyo hovyo huku zile za Zanzibar akiziheshimu kama mboni ya jicho lake.

3. Watu wanatekwa na kuuawa lkn hatoi tamko la kiserikali la kukemea ama kupiga marufuku. Hii Ina tafsiriwa kuwa hana uchungu na watanganyika .
4. Teuzi nyingi Sana hivi Sasa zinawaangukia wazanzibari.

Kwa haya na mengine mengi, Samia sasa yatosha. Ataitumbukiza nchi kwenye migogoro.
 
4)Teuzi nyingi....

Kwani ndani ya katiba (presidential decree) kuna kipengele cha idadi ya wateuliwa wake kulingana na uwiano wa bara na Zanzibar ?!![emoji44]
 
2)Una mtindio wa ubongo ?!!

Tanganyika haipo...baba wa taifa aliizika na ishajiozea huko kaburini ..tuliizika kwa malengo makubwa ya taifa hili...

Punguza mwasho wa kizebe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…