Amemtowa mbowe jela.Wakuu yawezekana Mimi nikawa sioni ambacho Mh Rais Samia Suluhu Hassan anafanya au kwakuwa Niko bize sana na shughuli zangu,lakini hata kipindi Cha Rais Magufuli nilikuwa bize lakini niliona alichokuwa akifanya!
Yawezekana uenda nikawa tu na negativity Kwa Rais wetu mpendwa,hebu naomba mtu mwenye akili timamu na anayefatilia mambo anielekeze Kwa upole na Upendo ambacho amekifanya Rais Samia na kimekuwa na Impact kubwa Kwa Watanzania Kwa muda mfupi Ili nibadili mtazamo wangu
Karibuni
Ndiyo kubwa kuliko yote2. Amembubujisha @Lucas Mwashambwa machozi ya furaha
Safi sana mkuu Kwa kujibu hoja,but ulipaswa uanishe1. Ujenzi wa miundo mbinu Kwa ajili ya maendeleo ya taifa,mfano miundo mbinu ya usafiri,maji NK.huku niliko Kuna mradi mkubwa wa maji ambao utakuwa msaada mkubwa sana Kwa wananchi ambao hapo awali walikuwa wakisumbuka na kupoteza Muda kufuata maji umbali mrefu.
2.Kuimarika Kwa utawala wa sheria tofauti na hapo nyuma ,siku hizi ukiona mtu kakosea anawajibishwa papo Kwa hapo.
3.Masrahi Bora Kwa watumishi wa umma ambapo hapo awali hawakuwahi kuyapata jambo ambalo lilipelekea watumishi wa umma kupoteza morali ya kazi ,lakini toka mama aingie watumishi wa umma wamekuwa wakipata masrahi Yao Kwa wakati.
Ni mazuri mengi sana tukisema tuyataje hapa naweza tumia miaka mitano japo yeye mama kayafanya Kwa miaka mitatu tu.
Mikumi tena Kwa mama Samia
Duuu!,kwahiyo haya pia yanaingia kwenye moja ya Impact kubwa Kwa alichowafanyia Watanzania?Kutembelea nchi lukuki.
Kuhudhuria kila mualiko aliopewa kuanzia mialiko ya ki nchi mpaka kitchen party.
Muiteni aje atupatie majibuAtakuja lucas Mwashamba kukupa fact huku akibubujikwa na machozi 🤣 😂
Goli la mama.Wakuu yawezekana Mimi nikawa sioni ambacho Mh Rais Samia Suluhu Hassan anafanya au kwakuwa Niko bize sana na shughuli zangu,lakini hata kipindi Cha Rais Magufuli nilikuwa bize lakini niliona alichokuwa akifanya!
Yawezekana uenda nikawa tu na negativity Kwa Rais wetu mpendwa,hebu naomba mtu mwenye akili timamu na anayefatilia mambo anielekeze Kwa upole na Upendo ambacho amekifanya Rais Samia na kimekuwa na Impact kubwa Kwa Watanzania Kwa muda mfupi Ili nibadili mtazamo wangu
Karibuni
Ndy subiri aje akusaidie fact huku akibubujikwa na machozi,,Muiteni aje atupatie majibu
1. Miundo mbinu ambayo uaisisi wake ulikuwa Magufuli. Baada ya yeye kushika hatamu yote imevurundwa kwa kujenga chini ya viwango. Mfano mdogo ni mlinganisho wa ubora wa Mfugale Flyover na ile ya Chang'ombe. So in reality kavurunda.Safi sana mkuu Kwa kujibu hoja,but ulipaswa uanishe
1.Miundo mbinu ya Usafiri kama ipi?,Je huo mradi wa maji unajengwa wilaya na kijiji kshipi?
2.Kuna kiongozi gani ambaye unamfahamu alikosea na akawajibishwa Kwa mujibu wa Sheria?
3.Maslahi Bora kama yapi?,Je watumishi wamepandishiwa mishahara?,Je hayo maslahi walikuwa hawapati Kwa wakati tangu lini?
Kwa mujibu wa Certificate yake ya ukatibu uhtasi hiyo ni bonge la accomplishment.Duuu!,kwahiyo haya pia yanaingia kwenye moja ya Impact kubwa Kwa alichowafanyia Watanzania?
Situkani kaka😂Mkuu usitukane 😁
Ajira za uchawa.Watu wamefankiwa kula kwa uref wa kamba pia ametoa ajira