Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea


Ilani inakuelekeza cha kufanya na kwayo ndiyo unaweza kueleza kwanini unafanya tofauti na kilichofanyika huko nyuma!
 
Tanzania hatuna Rais,CCM tumeingia choo cha kike.
 
Sasa kuwa na hoja tofauti kunamzuiaje yeye 'kufanya' hiyo kazi? na sisi ni 'kazi yetu' kusema ya moyoni..nanyi tuacheni tufanye kazi ebo!
Wala hamjazuiwa. Nyinyi ndio wale mtumiao midomo yenu kusifia na kuabudu ili mpate kula na kunya. Sasa kiama chenu kimefika mama hataki kusifiwa wala kuabudiwa!

Hoja tofauti, mna hoja gani nyinyi???
 
Wala hamjazuiwa. Nyinyi ndio wale mtumiao midomo yenu kusifia na kuabudu ili mpate kula na kunya. Sasa kiama chenu kimefika mama hataki kusifiwa wala kuabudiwa!

Hoja tofauti, mna hoja gani nyinyi???
Unapiga ramli tu hoja zimeshakuisheni..usitopoleke mbele ya mtu usiyemjua!
 

Madam yupo sawa
May Mosi anamaliza kabisa
Tulieni ni zam

Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
kweli kabsa huyu mama hamna kitu
 
Kama kuna kitu hakikuwa sawa, lakini alishindwa kujitenga nacho, hana namna sahihi ya kukikana isipokuwa unafiki! Where’s collective responsibility?
Mbona hata Magufuli katika baadhi ya mambo hakuwa sawa na Kikwete lakini hakujiuzulu? Pia tukumbuke marehemu alikuwa mbishi na hashauriki
 
Mbona umeme wa gas na bandari ya Bagamoyo iliachwa, nini Stiegliers bhana, wewe pambana na hali yako tu.

Gas kitu gani....wewe Either utakuwa Mnufaika Kwenye gas,Tuache sisi maskini na Umeme wa Maji,Bandari ya Bagamoyo ya akifisadi tuu jwa Dili ka Wachache...
Waanike Makubaliano wayajue Kupitia Bungeni Tuone!
Mbona Mnaogopa?
 
Mwache mama afanye kazi, 2025 Una uhakika gani wa kupiga hiyo kura yako ya kumkomoa mama?! Rais mama SSH, amewekwa kwenye kile kiti na uamuzi wa Mungu mwenyewe, Wewe ni Nani ulete matisho yako ya Nyau!!?
 
Ukumbi mzima ambao ulijaa makatibu na mawaziri nao ulikuwa unampigia makofi !
Mama Napwaya Sana.
Yaani Mama as if alikuwa sio sehemu ya Baraza la mawaziri.

Wacha tuone hii cheap popularity inako mpeleka.

Huyu ataishia kuwa omba omba huko ng'ambo.
 
Kwani hujawahi kusikia mama akitaka kujiuzulu kipindi cha Jiwe akazuiliwa na kina Mkapa? Au unaleta unafiki wako hapa!
 
Kwani hujawahi kusikia mama akitaka kujiuzulu kipindi cha Jiwe akazuiliwa na kina Mkapa? Au unaleta unafiki wako hapa!

Hizo stories za vijiweni. Fursa ya kuacha hiccup ilikuwepo baada ya term ya kwanza. Angemuomba JPM asimpendekeze yeye kuwa running mate wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…