Mhhhhhhh,no one is perfect under the sun only perfect your self toward your goalNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhhhhhh,no one is perfect under the sun only perfect your self toward your goalNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
.usichokijua sio kwamba watu Walimpenda JPM ,bali wengi tuipigia kura ccm kwa ili tumiliki ndege,umeme ,barabara,maendele ya vitu. Tulikataa Tundulisa kwa sera ya maendeleo ya watu.Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
Jambo kama hili ni bora angefanya review za kodi kimya kimya sio kutangaza uhuru. Kikawaida hakuna apendaye kulipa kodi.Mwendazake aliipeleka gari porini, mama anarudisha gari njia kuu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
man umepotosha mbaya. kwanza kwenye kauli zake bi mkubwa. hakuna mahali kasema eti ataunda team ya kukubali au kukataa chanjo.Sio kweli amejifunua bayana kwamba hakukubaliana na nmna alivyokuwa anawaongoza ila haijulikani ni kwanini hakujiuzulu kujenga heshima iliyo bora kuliko kumsema vibaya marehemu ambaye kwa sasa hana kauli ya kujitetea kutokana na kile anachokiagiza sasa hivi kufanyika. Amesikika akisema ataunda tume kufanya utafiti kama wakubali au kukataa kupokea chanjo ya UVIKO wakati akijua kabisa hayati alishaunda tume hiyo tayari kufanya utafiti huo na majibu wayawakilishe kwenye mamlaka husika kwa hatua kama sio kudhoofisha urithi (undermining legacy) huo ni nini ambao na yeye alikuwa sehemu yake?
Je, walikuwa na uadui baridi wakiviziana kwa muda mrefu ili tujue na yeye ashauri kuwa makini na washauri wa karibu ndio humpoteza kiongozi?
Kama huwezi kufanya upuuzi wa kutukana, basi achana na mimi. Endelea na mijadala mingine.Hivyo vitisho vitakugharimu muda si mrefu
Mnapenda kuambiwa wanyonge na wazalendo 'Things will change for the better, though not overnight we have to be patient 'Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Kodi ilishapunguzwa kwenye ngazi ya chini tu; ngazi ya kati na juu ni kidogo sana. Mshahara ndio unatakiwa kuongezwa maana mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2015 kinyume na sheria za kazi. Vyama vya wafanyakazi na chama cha waajiri KIMYA. Ukiwauliza je, kiongozi anaweza kumudu maisha kwa malipo ya shilingi 80,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi kwenye miji yenye kiwango cha hali ya maisha kuwa juu kama Dar, Arusha, Mwanza, Mbeya, Dodoma nkNi kazi kubwa! Wafanyakazi wanataka ongezeko la mishahara, wafanyabiashara wanataka mishahara ipungue (maana yake kodi ipunguzwe), kazi kwake SASHA.
Karejee vizuri kusikiliza jkwa kutumia 'contents interpretation analysis' halafu rejea hapa. Kasema ataunda timu. Ndio hakuna sehemu aliyotamka JPM kwani mamlaka kabla yake alikuwa nani anapohoji anataka kujiridhisha wakati alikuwepo wakati hayati akisema kitu hicho hicho? Usiegemee upande wowote kutoa maoni, weka rula unyooshe ulichokielewa sio kupinga tu.man umepotosha mbaya. kwanza kwenye kauli zake bi mkubwa. hakuna mahali kasema eti ataunda team ya kukubali au kukataa chanjo.
alichosisitiza ni kuwa tanzania si kisiwa, tuna intergration na mataifa yenye covid.
tume itakayoundwa ni ya kufanya tafiti na kutoa ushauri nn kifanyike ili kupambana na madhara ya covid.
pili hakuna mahali mama kamsema marehemu vibaya. sijasikia kwenye kauli yake akisema hakukubaliana na uongozi wa JPM. Hakuna
muache kumlisha rais maneno yenu.
hata jiwe hakuwaona waliomtangulia kama walikuwa maraisi,kwahiyo ccm ni ileile
Kwani magu hakufanya kazi awamu ya mkapa na kikwete na mbona alikuwa anasema mabaya
Mwacheni Madam afanye Kazi. Pole yenu mliozibiwa mianya ya Kujimwambafai. Watu tuko happy tunamuelewa. Amelaaniwa amtegemeaye Mwanadamu kuwa Kinga Yake Kwa Sababu Mwanadamu hadumu Duniani.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Kama Magu aliweza kua rais basi mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza.Ni suala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Msiwe wanafiki nyie kwa mnavyo muona huyo mungu mtu wenu alikuwa anashaurikaa?na hii ni kazi ya lile kundi tunalo ambiwa limepewa kazi maalumu kuhakikisha kila jambo la mama wanaliponda ili tu kufanya aonekane hafai.
Maana mmekazana kumlaumu mama mnasahau hata yeye magufuli kabla ya kuwa rais alikuwa waziri ndan ya serikali ya kikwete lakini alipo pata madaraka akajifanya yeye ndiye rais bora kuliko marais wote na aliwananga sana wenzie tena kwa maneno ya kejeli bora hata mama ana staha ya maneno na mlikuwa mkimshangilia sana wakati yeye katoka huko huko tena miaka mingi tu akiwa waziri.