Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Jiwe amekinga bakuli kwa mabeberu miaka yote 5 ya utawala wake. Deni la Taifa limeongezeka kwa Trilliini 18 Tshs kwa kipindi hicho, amechukua hela za korosho, bureau de changes na mifuko ya jamii lakini bado maji yalikuwa yanazidi unga
Bila kusahau alidhulumu mafao ya wafanyakazi alidai wana vyeti fake,wengine walifanya kazi kwa zaidi ya miaka 30!
 
Hadi alitengeneza mkakati wa kupunga bundle kwa grama kubwa
 
Nyerere hakuendeleza ya wakoloni' Mwinyi hakuendeleza ya Nyerere' Mkapa hakuendeleza ya Mwinyi' kikwete hakuendeleza ya Mkapa' Mwendazake hakuendeleza ya JK why Samia anendeleze ya JPM
Umenena uhalisia kabisa
 
Bila kusahau alidhulumu mafao ya wafanyakazi alidai wana vyeti fake,wengine walifanya kazi kwa zaidi ya miaka 30!
Yule kolo bora kafa mamaae zake[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Kiongozi asiyeweza kusimamia anachokiamini hatufai, kwa sababu “ana tabia ya kimalaya malaya; ananunulika”!
Mzee acha kupanic. Tuliza tako sindano iingie na dawa ili upone mzee. Umalaya huo kwio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unataka akufanyie nini ndani ya mwezi. Saiv kimeumana maamaaee nyinyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama raiya hatuna haki ya kuhoji na kujua?
ukimjua adui utajua jinsi ya kujilinda.
kuna taratibu na sheria. ndio maana si kila kitu raia wanatakiwa wajue.
kuna nyaraka za siri.. na kila siri ina level nani ajue nani asijue.
Ni utaratib wa ki usalama nchi nyingi duniani.
 
Mkuu mama anaturudisha Misri,tulianza kwenda Canaan,lakini kuondoka kwa Mussa imekuwa ni pigo kwetu,naona kila dalili za kurudi utumwani Misri
 
Some time nawazaga sana kiwango cha kufikiri cha Watanzania, Yaani levo yetu ya kuwaza inashangaza sana.

KWAMBA AWAMU YA TANO ILIDILI SANA NA MAFISADI
Aisee huenda hakuna awamu ambayo pesa imepigwa kama awamu ya Tano, huenda hakuna kabisa na huenda haitakaa itokee kamwe.
Sisi ni wajinga sana.

REPORT YA CAG TAMISEMI KUNA UPIGAJI
Mama kamhamisha mkuu wa TAMISEMI kampeleka Ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira, huyu na katibu mkuu wake walipaswa kuwajibishwa.

Tunashangilia sana hotuba za mama kwamba anafanya vyema sana, Jafo alitakiwa kuwa na pingu.
Sisi ni wajinga sana

KAMA KUNA UPIGAJI WIZARA YA FEDHA INAPONA VIPI KUHUSIKA?
Waziri wa fedha kamromotiwa kuwa Naibu mkuu wa nchi, tunashangilia sana, Waziri wa pesa alipasws kuwajibishwa kwa huu uchafu lakini kapewa cheo cha juu zaidi.
Tunashangilia sana
Sisi ni wajinga Sana.

TUNAAMBIWA MAMA ANATAKA UHURU WA HABARI
Mkuu wa wafungia vyombo vya habari bado ni mkuu wa taasisi ya kufungia vyombo vya habari,

Tumempongeza sana mama kwamba kaanza viziri, matamko yametolewa na bado tunaweza ona hata maandamano ya amani ya kuunga juhudi za mama.

Dr Abasi mfungia vyombo ya habari bado yupo anadunda anakula kodi na mama anawaaminisha wadanganyika kwamba anataka uhuru wa habari

Sisi ni wajiga sana.

BALAZA LA MAWAZIRI LA SASA NI SEHEMU YA UCHAFU KATIKA NCHI HII NI SEHEMU YA MAOVU KATIKA CHI HII
Tunashangilia mama kasuka kikosi kazi cha kumsaidia kupeleka nchi mbele.

Sisi ni wajinga sana.

Jamani Sisi ni wajinga Sana
 
Shida kuu ya mtanzania ni tumbo tu...afu tuna uvumilivu sana,hata tukipigwa miaka mitano tukipewa uhuru wa mwezi mmoja tu tumesahau yaliyopita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…