Some time nawazaga sana kiwango cha kufikiri cha Watanzania, Yaani levo yetu ya kuwaza inashangaza sana.
KWAMBA AWAMU YA TANO ILIDILI SANA NA MAFISADI
Aisee huenda hakuna awamu ambayo pesa imepigwa kama awamu ya Tano, huenda hakuna kabisa na huenda haitakaa itokee kamwe.
Sisi ni wajinga sana.
REPORT YA CAG TAMISEMI KUNA UPIGAJI
Mama kamhamisha mkuu wa TAMISEMI kampeleka Ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira, huyu na katibu mkuu wake walipaswa kuwajibishwa.
Tunashangilia sana hotuba za mama kwamba anafanya vyema sana, Jafo alitakiwa kuwa na pingu.
Sisi ni wajinga sana
KAMA KUNA UPIGAJI WIZARA YA FEDHA INAPONA VIPI KUHUSIKA?
Waziri wa fedha kamromotiwa kuwa Naibu mkuu wa nchi, tunashangilia sana, Waziri wa pesa alipasws kuwajibishwa kwa huu uchafu lakini kapewa cheo cha juu zaidi.
Tunashangilia sana
Sisi ni wajinga Sana.
TUNAAMBIWA MAMA ANATAKA UHURU WA HABARI
Mkuu wa wafungia vyombo vya habari bado ni mkuu wa taasisi ya kufungia vyombo vya habari,
Tumempongeza sana mama kwamba kaanza viziri, matamko yametolewa na bado tunaweza ona hata maandamano ya amani ya kuunga juhudi za mama.
Dr Abasi mfungia vyombo ya habari bado yupo anadunda anakula kodi na mama anawaaminisha wadanganyika kwamba anataka uhuru wa habari
Sisi ni wajiga sana.
BALAZA LA MAWAZIRI LA SASA NI SEHEMU YA UCHAFU KATIKA NCHI HII NI SEHEMU YA MAOVU KATIKA CHI HII
Tunashangilia mama kasuka kikosi kazi cha kumsaidia kupeleka nchi mbele.
Sisi ni wajinga sana.
Jamani Sisi ni wajinga Sana