Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kama mama anaweza kuiongoza familia vivyo hivyo anaweza ongoza raia. Mbali na hapo ni mtazamo hasi kutokukubali kuongozwa na mwanamama
Swala sio jinsia yake ni uwezo wake wa kimaamuzi.... tunarudi kulekule tena zaidi ya JK full ushikaji na kubembelezana... mijitu mijizi, mizembe, mirafi unacheka nayo subili tutakapo anza kukopa mishahara kwa kina Rostam ndio utaelewa hawezi. Mfano mdogo tu tume ya Madini unajaza former Barrick employee ndio waongoze unategemea nini? si tupo hapa utaja nielewa tu.
 
Kwani anaibeba Tanzania kichwani?
Kwwnza Mh. Samia ana upeo mkubwa kuliko yule mpenda masifa
 
Waswahili husema 'mzoea vya kunyonga hali vya kuchinja'. Mitanzania ishakuwa kama punda, bila ya kudhalilishwa haiendi. Ishafikia wakati sasa kipimo cha utendaji wa mtu wa kazi ni kauli za kibabe na maamuzi kandamizi. Huyu mama angekuja na mambo ya kukaripia watumishi hadharani mijitu ingepiga makofi halafu baadae iseme mama dikteta.
Ni wakati sasa tukubali tu Magufuli AMEKUFA, hatorudi na mfumo wake wa kiutawala umekufa nae hivyo maisha yaendelee tu. Mama hatosuluhisha ugomvi wa mipumbavu watu wazima wanaojua wanachofanya ili kuridhisha shauku zenu za kuwa anaweza kutawala au la.
 
Kwahiyo wewe ndio unaweza kuiongoza tanzania
 
Nyerer mkapa kikwete, maguful wote tunalalamika hawakuweza sasa nani anawezaa!??
Magufuli hakuwahi kushindwa! Nchi ilionekana inaelekea wapi sasa hivi kila samaki kambale. Na kujitia mwema mbele ya majizi... fikiria mtu anajulikana anamshahara wa 7m ame declare kwenye tume ya maadili hana biashara but kwenye account ana 2.3 B unamuuliza hizi umetoa wapi hana majibu uki freeze account unaonekana katili kweli?
 
Asante
 
Ni kweli mama Ana uwezo mdogo lakini kama wasaidizi wake wakiwa wazuri Basi hamna shida



Siku zote wanawake huwa Wana uwezo mdogo ndo maana 99.999% ya manabii Ni wanaume...walioacha legacy Wengi Ni wanaume
Nabii pekee wa kike ni mama Rwakatare tu wengine wote walikuwa wanaume sidhani kama Mungu akuwaona wanawake why aliamua kufanya manabii na mitume kuwa wanaume .
 
Mbona Sabaya alikuwa anamdharau mkuu wake wa mkoa Mama Anna Mngwira mbele ya Magufuli hakuchukuliwa hatua?
 
Jitombashisho kweli wewe
 
[emoji23]mi napambania ugali wangu tu, ayo mengine mda utaongea
 
We jamaa bure kabisa, nani alikuambia uongozi ni eidha kuwa Mwanaume au kuwa na Nguvu?

Umesema hawezi kuongoza, halafu unakuja na hoja ya ugomvi kwenye Idara. Swali, je hayo maugomvi wakati wa Utawala wa kiongozi Mwanaume hayakuwepo? Je, kwenye hizo Idara hakuna Mkuu wao ambaye anaweza kushughulikia? Mwisho, hilo limeshafika kwa Mh. Rais na kama limefika basi ameona sio hadhi yake kutatua ugomvi aa idarani kiasi kwamba ugomvi mwingine unaletwa na Masuala ya Uchawi na wivu wa kimapenzi au vyeo.

Kama unataka Rais ndiye aje kutatua ugomvi wa kwenye Idara, sijawahi kuona Rais wa hivyo!

Najua wewe miongoni mwa wanyonge na mlishazoea tatizo la choo cha Shule au Zahanati lije kutatuliwa na yule aliyekuwa anatembea na maburungutu ya Hela.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwa walio kaa mashambani au sehemu wanapopatikana wanyama ambapo sayansi inasema tunashare 98.8% DNA nao ambao ni Nyani,Sokwe etc watakubaliana na mm Nyani akiona wanawake hawaogopi hata kidg hata wawe kundi lakini ndani ya kundi la hao wanawake akiwemo hata mvulana wanaogopa

Najiuliza kama nyani anajua udhaifu wa wakinamama itakuwa mihuni ,mijizi,mifisadi ya Tanzania na policy za mama wa upole na kutii sheria bila shuruti???

Najua wanawake si wezi wala mafisadi kwani ni fedhea sana kwa mwanamke kuonekana mwizi ni bora mwanamke aonekane kahaba kuliko mwizi sasa kama ww sio mwizi je unaweza kupambana na mbinu za wezi ikiwa hiki kitu ni kigeni kwako?
 
Kama umesoma trend nguvu yao imezidi kupungua, na umoja wao kama vile unadhoofika.
Yawezekana mlipaji pia haoni faida ya ku sponsor hii kampeni..
Nawasikitikia wakija kushtuka ni 2034.

Everyday is Saturday................................😎
Mjifaraiji kwa maneno haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…