myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Weka ushahidi kaiba au kafanya ufisadi. Peleka mahakama ya mafisadi huna ushahidi huna haki ya ku freeze account!Magufuli hakuwahi kushindwa! Nchi ilionekana inaelekea wapi sasa hivi kila samaki kambale. Na kujitia mwema mbele ya majizi... fikiria mtu anajulikana anamshahara wa 7m ame declare kwenye tume ya maadili hana biashara but kwenye account ana 2.3 B unamuuliza hizi umetoa wapi hana majibu uki freeze account unaonekana katili kweli?
Huo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki...
Mfumo Dume ni maagizo ya Mungu Yesu ni mwanaume kwanini hakuwa mwanamke kuja kuwakomboa? Mtume Mohamed S.W ni mwanaume inamaana huyo Mungu wako hakujua kuna wanawake?Mfumo dume tatizo la akili zetu za kiafrika.
Usinijumhushe machungu ya dikteta mwendazake. Acha watu wawe huru.jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Huo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu.Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.
Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?Weka ushahidi kaiba au kafanya ufisadi. Peleka mahakama ya mafisadi huna ushahidi huna haki ya ku freeze account!
Huo ni wivu wala siyo uzalendo.
Siyo kila kitu ni wazi kwa hadhira ya dunia kuona.
Kuwa na pesa siyo dhambi wala jinai.
Everyday is Saturday............................... π
Kama hana uwezo hana tu... hata apambwe vipi kama hana na hatakuwa nao.
Watu watajinyonga una maanisha mikumi na mitano ya mama π .Mama anaweza.. .. tena navyoona atafanya vizuri zaidi ya maraisi waliopita, upo hapo mzee!
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
Wewe unayetuhumu!Ushahidi naleta mimi au alete yeye kunithibitishia hajaiba? Unatumia nini kufikiri?
na wewe umeanza kudemka demka, kigogo ametamalaki sana wakati wa mwendazake mbona kashindwa kumshughulikiaHuo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi,dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki...
Watu watajinyonga una maanisha mikumi na mitano ya mama π .
Wazee wa ku freeze account na kunegotiate chao na cha jamhuri, wamekatwa ngebe wamebakia na ngoma za kudema. Imeisha hiyo!
Everyday is Saturday................................π
Hahaha jichanganye uone.Wewe unayetuhumu!
Poleni sana, jamani sasa sijui mtakuwa bodaboda, maana kazi za SNITCH kuchungulia account na ku freeze hazipo tena!!
Malipo ni hapa hapa duniani!
Everyday is Saturday...............................π
Hizi ndizo akili zenyewe zinadumaza maendeleo ya mtu mweusi. Ndizo akili ambazo zinaufanya umaskini uendelee kuwepo kwenye mataifa mengine ya dunia ya watu duni.Mfumo Dume ni maagizo ya Mungu Yesu ni mwanaume kwanini hakuwa mwanamke kuja kuwakomboa? Mtume Mohamed S.W ni mwanaume inamaana huyo Mungu wako hakujua kuna wanawake? Wenye mbegu wote ni wanaume .....ndio wazazi wa kwanza.... wote ni me usipingane na nature mwanaume ndio kichwa, kama vipi mwachie mkeo akuongoze.... tuyaache yote hayo issue ni uwezo wa mama kimaamuzi hapo ndio shida inapo anzia.
Mbona hata magufuli hakua na huo uwezo zaidi ya kuharibu uchumi? Fanyeni kazi vijana majungu hayafaiKama hana uwezo hana tu... hata apambwe vipi kama hana na hatakuwa nao.
Ukome kabisaHuo ni ukweli ulio bayana.
Ukiangalia na kusikia ya hapa na pale ndani ya muda ambao Rais Samia amechukua madaraka hakika magomvi, dharau na kutuhumiana waziwazi kwenye kada mbalimbali kumetamalaki.
Mfano ni katika Idara mbalimbali za Serikali Viongozi wengi kwa muda mfupi baada ya kifo cha Magufuli waziwazi ama wanatishana kuuana kwa sababu ya maslahi ama wanadharauliana na kuchongeana ili tu mmoja wao aonekane bora dhidi ya mwingine.
Kinachosikitisha hayupo yeyote anayewakemea ama kuwaadhibu. Mamlaka za wagomvi wale zipo kimya jambo ambalo katika Utawala uliopita kamwe wajinga wale wasingevumiliwa.
Kwa muktadha huo naliona mapema sana anguko la Samia.