Sasa ona mahindi yaliyokua yamedoda kumbe mama kaenda jana, mpaka umefunguka hamna kikwazo. Hapo hujaona tija
Akiuza gesi nchini Kenya tatizo liko wapi?
Au jirani hauziwi anauziwa wa mbali?
Au amewaambia waje wavune gesi bure?
Hao wakenya hata wakitaka kununua maji ya bahari kwenye matenki mnaweza mkakataa kwa sababu ya mitazamo hasi,chuki na kutoelewa biashara
Mawazo hayo niyakina Shigela. Mama awapumzishe watu kama hao wasaidiwe wamezidiwa na chuki.
Unamchukiaje mtu asiyekudhulumu bali anafanya biashara na wewe?
Mama chapa kazi, kama kuna ulipokosea lakini sio kwenda Kenya