Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tena ikiwezekana zile Ndege azikodishe ili Serikali yake Samia isijiingize kwenye Biashara ila itoe huduma za jamii tu

Ikiwezekana afungulie kampuni Binafsi zije kushindana na Tanesco kwenye soko la Nishati
 
nikweli, kunakazi ngumu sana kwa fukara kujipendekeza kwa tajili na akafaninikiwa, hasa ukizingatia tupo kwenye zama za mwenyenacho anaongezewa na asienacho ananyang'anywa hata hicho kidogo alichonacho. hapa zinahitajika busara na upendo wa kweli kwa mwenye nacho ndio fukara anufaike.

ila kwa ufupi watanzania tuna hitaji elimu sana,hasa kwenye ujasiliamali. yaani hata ukienda sokoni heti unakuta mboga ya majani inatoka kenya wakati hapa kuna wakulima chungu mzima.halafu ukiangalia hiyo kenya mkoa wa kulima ni mmoja tu.
 

Rostam sio mtanzania, bali ni muirani. Halafu huo mchezo wa kumtaja Nyerere na Magufuli ili kutuchanganya, ni kama mnapoteza muda wenu bure, maana hatudanganyiki. Tunajua Nyerere alikuwa baba wa taifa, wakati Magufuli alikuwa ni dhalimu mwenye kiburi cha madaraka. Halafu nchi hii imejaa bidhaa za China na sio za Kenya ambao ni waafrika wenzetu. Mbona hilo haliwaumi, au kwakuwa yule dhalimu alikuwa na chuki ya wazi dhidi ya wakenya?
 
mi najiuliza watu wanaishambulia sana kenya, hivi ni nani rafiki yetu wa kweli ndio tumkaribishe kufanya nae biashara!?!? hiyo njozi ya kisema maskini ajitutumue kwa tajiri hata mchina hatakubali tuseme tu kwamba tunahitaji kuwa makini sana na mabeberu akiwemo kenya lakini hatuwezi kuwakimbia wala kujitenga nao
 
Tena ikiwezekana zile Ndege azikodishe ili Serikali yake Samia isijiingize kwenye Biashara ila itoe huduma za jamii tu

Ikiwezekana afungulie kampuni Binafsi zije kushindana na Tanesco kwenye soko la Nishati
Ngumu Sana hiyo unataka ccm wakose sehemu ya kupigoa miamala
 
Mkuu
Hapa ndo pa kusemea, wewe sema tu ili utoe yako ya moyoni. Ila pia kubaliana na mawazo ya wengine kuwa kila kitabu kina zama zake.

Mwache mama aendeshe nchi kadiri anavyoona inafaa, yeye alishakubali kushauriwa na usidhani kuwa washauri wake hawayajui hayo.

Mama si kama yule baba aliyekuwa akijinadi waziwazi kuwa hashauriwi, wala hapangiwi, wala Nyerere hakuwahi kutoa kauli kama zile alizokuwa akitoa baba, huo ulinganifu si sahihi.

Zama za Nyerere si hizi tulizonazo, Nyerere aliinua mikono na kuachia mifumo mipya ya utawala na uchumi iingie nchini.

Mwache mama aipe ramani tena Tanzania. Nchi ilianza kupuuzwa!

"Ukitaka kula, kubali uliwe..." JK.
 
Dah niseme tu na hao wakongoman huwajui. Wana vijitabia vya ajabu, dharau na roho mbaya utadhani wanakaanga sumu.
 
Rostam hawezi kutesa yeye peke yake kwanza makampuni yake kawajaza Wabulushi.

Kampuni yake ya Caspian wafagiaji tu ndio Wenyeji lakini posti nyingine zote ni jamaa zake

Wacha waje Matajiri wa Nje watupe Ajira za uhakika
kutoka kenya sio?
 
Sote tunafahamu ukiwa unafanya kazi wa tajiri ukitaka akupende hakikisha kuwa haujionyeshi kutaka kujinasua kutoka kwenye makucha

Tajiri atahakikisha kwamba unamnyenyekea na hatapenda kusikia unataka kujitegemea maana furaha ya Tajiri ni umasikini wako

ukiona tajiri anaanza kukutengenezea fitina jua kuwa unataka kujinasua kwenye makucha yake
 
Poverty mentality. Typical poor african thinking
 
Safari imepwaya imejaa maigizo yanayoleta hofu ya safari yetu ya kujijengea heshima yetu

safari hii imekuwa ya kujishusha sisi yaani tunaonekana ni wakosaji hatuwez

Yule rubani wa kwanza alikuwa akitupa hamasa na nguvu ya kupambaba na kutuambia tunaweza

huyu rubani aliyefuata anatupa hofu tu anajipendekeza tu anatafuta sifa za kulazimisha ambazo hajazifanyia kazi
 
Hamna watu nuksi kama wahindi kwanza wanaanza na strategy yao kuu yq divide and rule kwa maana kila mtu anakuwa adui wa mwenzake, anakufanya ujione bora kwake ili usnitch maovu ya mwezako. Na ukibadilisha life style kidogo ndio mwisho wa kazi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…