Mwacheni Mheshiwa Rais Samia Suluhu afanye kazi upende usipende ndo Raisi wetu watanzania na Mungu anamtambua wewe ni nani hata useme hayoHotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni Mheshiwa Rais Samia Suluhu afanye kazi upende usipende ndo Raisi wetu watanzania na Mungu anamtambua wewe ni nani hata useme hayoHotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Kitendo hicho cha kuhubiri na kusimamia wasichokiamini kilikuwa unafiki na utovu mkubwa wa nidhamu kwa wapigakura wa nchi hii.
yaani lais anaongelea suala la unga kama anaongelea unga wa sembe.Ni swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Ila rais ni huyo aliyeruhusu ujenzi wa bwawa la umeme huko kwenye mbuga ya wanyama??hahaaaaHakuna Rais hapo,Rais anataka watu wakachimbe madini kwenye hifadhi?,ajui kama madini yatachimbwa yataisha ila hifadhi ni renewable wanyama watakaa hadi mwisho wa ulinwengu.
How old are you? Nashangaa baada ya muda huu wote JF bado unachota mambo ya kijiweni.Samia yuko very real, je ni mara ngapi alitaka kujiuzulu?
wasukuma aka magoviNDA mfateni govinda hugo malaloni . Mama anawapa furaha watanzaniaMkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Mnataka zile za kuambiwa mkae na mavi yenu nyumbani?Hotuba za mama .simekaa kama tupo kwenye kikao cha sacos
Usishangae kuna wakati tunaongozwa na vyeti feki.Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Mataga kazi wanayo,wacha Mama awaonyeshe kazi.MATAGA wamenunuliwa simu na Doto na Bashiru ili wamchafue mh.Rais.
Kazi ipo!
Unasema watu au CHADEMA inapata furaha?wasukuma aka magoviNDA mfateni govinda hugo malaloni . Mama anawapa furaha watanzania
samia ni ccm wale wale mstegemee mapyaNi swala la muda tu. Hapa hatuna Rais
Kumpinga sio lazima uende ITV. VP alikuwa na uwezo wa kumuona wakati wowote. Kama mambo yalishindikana angeachia ngazi tungemheshimu kwa msimamo wake.
Tunashukuru kuwa tumetoka kwenye zama za kutishiwatishiwa na kukaripiwa kama watoto wadogo, na sasa tuko na huyu mama ambaye lugha yake ni laini. Hicho ndicho kitu pekee tulichokipata kufuatia mabadailiko haya ya uongozi. Nothing more, nothing less.
As a nation we are the same headless chickens now, just like we used to be under Magufuli. Clueless!