Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hivi unajua kutofautiana mtazamo na rais unaweka maisha yako rehani?
 
Ungekuwa wew ungejiudhuru..mkeo anakusubir nyumban et nmejiudhuru..sbabu stak hik ama kile...utakua shujaa mpumb.avu.

Katika karne hii lakin....ushujaa ulikua enz za mwalimu huko
 
Nawaona Burundi Gang na Sukuma Gang kwenye ubora wenu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Tukieni tu, nchi imerudi kwa Watanzania. Ufedhuli wenu pelekeni Chato. Mtaanzisha sana thread Safari hii ila kwa kuwasaidia tu, nawashauri nafuteni kwa wingi juice ya ndimu na malimao muwe mnakunywa sana. Mama Samia ndo Rais wa JMT na anafanya vizuri sana
Agiza bia KABISA nalipa [emoji16], Hawa jamaa watupishe Kwanza.

JamiiForums-784050458.jpg
 
Msimchokoze mama Samia, atawazingua kwa kuweka wazi madudu yote ya mwendazake, shauri yenu...
 
Ukweli wa Mambo hatuna kiongozi ni matatizo matupu tutajuta ,sababu tunarudishwa enzi za ubwana na utwana .mama upeo wake ni mdogo sana na ujasiri Hana hata kidogo.
Hawa jamaa Ni washamba Sana yaani[emoji1]
JamiiForums698797273.jpg
 
Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa mnafiki kwaJPM watakuwa wanafiki kwake nawachumia tumbo walisha msoma sasa ni mwendo wa kukashifu utawala uliopita ambao kwa hakika NI huu huu wake na aliyeondoka ni , sioni tofauti maana hata yeye anatumia vitisho kwa sauti Nyororo mimi nbado nampamuda maana madaraka siku za mwanzo ni sawa na new money mpaka uzoee (New Money Spends by Trends, Old Money Spends by Tradition)[/QUOTE]Hi kampeni yenu ya kihuni haitawafikisha popote umbwa nyie.

Mnacopy&paste same text na kusambaza ili kumchafua mama etu.

Hamtofanikuwa asilani nakwambia umbwaa wee
 
Mimi nasema tatizo letu kubwa tulilo nalo wafrika ni Njaa/Shida wakati wa utawala wa Donald Trump tumeona watu wengi tu wakikaa pembeni kwa hiari zao baada ya kutofautiana Itikadi na Boss wao yani Trump na mfano ni John Bolton aliyekuwa National Security Adviser ila pia kuna James Mattis Secretary of defence, Sio hao tu ni wengi tu ila huku Bongo unakutana na Takataka kama Kigwagwala ziko tayari kufanya ujinga wowote ili zibaki na vyeo vyao. Kwa mbali namshangaa mama pia ambae alikuwa Mshauri mkuu wa mzee wetu leo mzee katutoka kila cha mzee hakifai, Pumzika kwa Amani Magufuli hakika Umeacha alama ambazo kama taifa haina muda utakumbukwa, Ni kawaida ya mwanadamu kupenda Kipya ila after sometime hukichoka pia
Jiwe nae mbona alkua anamnanga Kikwete na mkapa hadharani.

This is karma, will hunt u forever.[emoji116]
JamiiForums-1393002476.jpg
 
You are now pressed between a rock and hard surface.
Ulimtetea jpm kinafiki
Sasa unaogopa kumtetea Samia sababu yuko against sera za jpm though sera za jpm hukuzipenda kutoka moyoni
Wewe ulikuwa unapambana na cdm kwa kuendorse madudu ya jpm
You know we know mama ni wa ile imani yako but unajua we are watching...
You are caught up
Naona umekuwa msemaji wangu

Unalipwa sh ngapi?🤣🤣🤣🤣

sijakuajiri


Hakuna mahali nimemtetea JPM kinafiki we mpuuzi, siko hivyo, labda jina langu linakutisha sana


Niko hivyo napinga panapostahili na natetea au kupongeza

Kuwa JPM alikuwa Rais mzuri sana sina shaka na hilo na sina unafiki kumsifia hata leo hii...unless unafikiri nitabadilika pole

Mnabadilika msio jielewa ambao hamna ID zenu hamna brain wala mioyo ya kujisimamia.

JPM is far very far superior kwa mama na ndio maana nyie Panya mnaweza rukaruka sasa...🤣 kama unafikiri kifo ni adhabu basi wewe mtakatifu hautakufa sio??

So mnamsifia Samia sio? na CDM ipo sio? Lema Lissu wewe, wote mnamsifia Samia sio sio? kwani yuko chama gani??🤣🤣

Yaani nikuogope wewe kusema JPM will always be the best president kwangu? kwa sababu ya excitement na ukigeugeu na kutojielewa?

You deserved to be treated like that, mwanaume kawaachia mbunge mmoja kafariki, kaondoka you failed kufanya lolote....Leo unataka kusema maneno yako ya kumsifia Samia yanakufanya usiwe chadema?

JPM was never CCM!!!!!

mama Samia ni mwana CCM kweli kweli atawaponda huku mnacheka

Mkuu ulitegemea leo nitampinga JPM kwa sababu ya kukuogopa wewe? 🤣🤣🤣🤣
 
nakuunga mkono hata kama alimchukia sana mwenda zake apime kaurizake yake maana bado kuna watu wengi bado wanaona mwendazake alikuwa sahihi kwenye baadhi ya mambo, matendo yawe mengi kuliko maneno asionyeshe yeye ndo mdomo wa kikwete ni mapema sana kwa wao kutangaza ushindi.Kama alivyokuwa mnafiki kwaJPM watakuwa wanafiki kwake nawachumia tumbo walisha msoma sasa ni mwendo wa kukashifu utawala uliopita ambao kwa hakika NI huu huu wake na aliyeondoka ni , sioni tofauti maana hata yeye anatumia vitisho kwa sauti Nyororo mimi nbado nampamuda maana madaraka siku za mwanzo ni sawa na new money mpaka uzoee (New Money Spends by Trends, Old Money Spends by Tradition)
Hebu tukumbushane mbona viongozi wastaafu walisemwa vibaya sana? walionekana wameiibia nchi,wameifirisi wamefanya kila aina ya ushenzi na mlikaa kimya sasa kwakuwa ameingia mwengine acheni atuoneshe ambako hapakuwa sawa parekebishwe sasa haya makamasi mnayofutia ngumi mnayatoa wapi?
 
Mkuu watu ni wajinga sana..hawajui wananchi wanahitaji nini na mama nae kafuata huo huo mkumbo..sio kwa zile hotuba zake yaan hata kuziskiliza ni kero..anataka turudi enzi za kina jk.kuchekeana chekeana.. hatutaki uswahili kwenye masuala ya kulipa kodi kwenye masuala ya rasilimali za nchi..
Time will tell..JPM will never be forgoten.
Wananchi gani?
Wanataka nini?
Tulieni hapohapo.
 
Huyu Mama binafsi simwelewi kabisa,,,yaani hapa Watanzania tumepatikana kabisa
 
Back
Top Bottom