Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Hiyo katibampya mnayoimba kila siku itaendelea kuwa ndoto ya mchana. Hakuna mtu ambaye yuko tayari kupunguza madaraka yake.
Mama yupo vizuri Sana, tatizo nyinyi wanafiki, mnaopenda viongozi wanaowagawa wa Tanzania. Pia Wewe mnafiki namba moja. Dai katiba Mpya inayopunguza madaraka ya Rais.Rais akipewa madaraka anapewa kila kitu. Hata wasaidizi wasiporizika anachofanya Mkuu wao hawana jinsi.
 
Sasa ulitaka ashinde nani ? Mbeligiji ? Hauko serious.
Kwa hiyo ninyi MATAGAJiwe kupora ushindi kwenye uchaguzi mkuu mchana kweupe tena waziwazi kabisa mlikuwa mnaona sawa?Hebu mtuache tupumue sasa hivi.Jamaa alikanyaga katiba na utawala wa sheria.Tanzania kipindi cha Jiwe ilikuwa hakuna tofauti na ile kambi ya Sabibo/concetration camp!
 
Katika utumishi, sio kitu cha ajabu kuwa na tofauti za kimtazamo juu ya jambo fulani. Hata hivyo, inapotokea kwamba VP au waziri anaamini tofauti za kimtazamo zilizopo kati yake na Rais, juu ya jambo hilo, ni kubwa sana na hazivumiliki endapo Rais atakataa ushauri wake, basi ni bora akajitenga na msimamo wa Rais kwa kujiuzulu.
Kujiuzulu bongo!njaa mbaya Sana.
 
Hata akiboronga sioni taabu..la msingi awaondolee ugumu wa maisha watanzania..watu wawe na amani ya mioyo yao...watu wawe na upendo...chuki ziondokee... watu wawe huru kutoa ya moyoni...maamuzi yasiwe ya mtu mmoja...ubaguzi ufie mbali nk....
 
Mkuu mimi nadhani wewe ndio huna vision sio mama mnazungumzia level za uchumi wa kwenye makaratasi wakati umasikini umekua Kama ngozi na damu haviachani...
Unaona sehemu fupi kutokana na ufinyu wa fikra....au ushabiki maandazi
 
Tumuombeeni ataweza tu, Kwa Mungu kila kitu kinawezekana

Hayati alisema tumuombee, mimi na wewe tunajua nini kilitokea.

Maisha yapo on autopilot maombi hayana impact yoyote.
 
Mama Samia ndio mwokozi, Watanzania walikuwa wanamsubiria. Praise team mtahama nchi.

Mnafiki ni yule aliyekuwa anajifanya mtetezi wa wanyonge kumbe hana lolote.

Eti tunajenga kwa fedha zetu za ndani, kumbe ni fedha za mikopo.

Akwende zake huko akaongoze malaika.
NaWao waliokaaa kimya huku mambo hayae di wabapiga makofi Swala la Muda tu.. CCM NI ILE WATAISOMA MWAKA HUU WATAISOMA
 
Saiv ccm kimekua chama cha upinzani.

Wanapinga kila kitu aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maisha yanaenda kasi sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata wakojolee mbingu kama popo haiwezi badilisha matokeo.

Wanachokiona ndo uhalisia wenyewe tuwasaidie kuwashtua kwamba Hawapo ndotoni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wakilega lega kidogo tu kina ridhiwani watatake over. inasikitisha vp na pm walivyotudangaya wakati uleraisi anaumwa na amezidiwa...sasa imani yetu kwao ishapungu na tunaamini pia hawajatuambia ukweli kuhusu kifo chake. kwanini wasimtaje aliyemchoma sindano na aliyeagiza achomwe? huu ni unafiki gani jamani. yaani tusipoangalia nchi itauzwa na wananchi wake. tusifanye mzaha...DR JPM ALITUTOA KUBAYA...TUSIRUDI HUKO KAMWE. Mungu atusaidie sana
 
Uchumi gan,kwan hapa tulipo tumeachiwa uchumi gan na huyo Hayati mwendazake..??

Ni kama nyerere alivyoiacha nchi KWA mwinyi tuh,mama ana kaz kubwa ya kufufua uchumi kwanza na iman ya uwekezaji KWA Taifa hili,

Mbona mnaongea kama mmelewa hivi,anasema alikuwa anapambana na ufisadi na rushwa,mbona ameondoka na madudu yako vile vile Tena ni MAKUBWA zaid
Nyerere hakuendeleza ya wakoloni' Mwinyi hakuendeleza ya Nyerere' Mkapa hakuendeleza ya Mwinyi' kikwete hakuendeleza ya Mkapa' Mwendazake hakuendeleza ya JK why Samia anendeleze ya JPM
 
Baadhi ya kauli ambazo tumezisikia kutoka kwa Mama Samia na viongozi wengine fulani waliohudumu chini ya JPM zinaonesha kwamba hao viongozi walikuwa wanahubiri na kusimamia wasichokiamini. Kitendo hicho cha kuhubiri na kusimamia wasichokiamini kilikuwa unafiki na utovu mkubwa wa nidhamu kwa wapigakura wa nchi hii. Hili limenikumbusha hata ule utovu wa nidhamu ambao VP na PM waliuonesha wiki nne zilizopita kwa kuwapa wapigakura salaam hewa kutoka kwa Hayati JPM ilhali wakijua JPM alikuwa mahututi ndani ya ICU.

Katika utumishi, sio kitu cha ajabu kuwa na tofauti za kimtazamo juu ya jambo fulani. Hata hivyo, inapotokea kwamba VP au waziri anaamini tofauti za kimtazamo zilizopo kati yake na Rais, juu ya jambo hilo, ni kubwa sana na hazivumiliki endapo Rais atakataa ushauri wake, basi ni bora akajitenga na msimamo wa Rais kwa kujiuzulu.

VP au Waziri akishindwa kujitenga na kitu ambacho anaamini kinaumiza maslahi ya taifa, VP au waziri huyo anakuwa ameonesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Kiongozi lazima awe na ujasiri wa kusimama upande wa haki hata kama kufanya hivyo maana yake ni kupoteza kazi. Vinginevyo, huyo hafai kabisa kushika dhamana kubwa kama hiyo.

Needless to say, VP au Waziri anayehubiri na kusimamia asichokiamini hawezi hata kuweka kiasi sahihi cha juhudi inayohitajika kufikia malengo yaliyotarajiwa. Kwa maneno mengine, yeye anageuka kuwa VP au waziri mzigo.

Mama Samia ameonesha udhaifu wa kiwango cha PhD na amekuwa mfano mbaya kabisa kwa mawaziri wake. Bila shaka, Rais anawaambia mawaziri na taifa zima kwamba unafiki katika Serikali unakubalika. Yumukini mfano wa unafiki aliouonesha ni silaha ambayo wateule wake hawatasita kuitumia dhidi yake. Inasikitisha, to say the least!
Praise & Worship Team (2016-2019)!
 
Tukisema huyu Mama hajielewi wala haelewi hii nchi inataka nini kwa sasa,kuna watu wanakuja na hadithi za Sukuma Gang Mara MATAGA!!
Mama itamdhinda hii nchi, wanaijua vizuri wanamshangaa tu, kazi aliyoifanya Magu haina ya kiufananisha na raisi awaye yote aliyepita. Mama analijua hilo, ila unafiki wake wa kujipendekeza kutaka kupendwa na kila MTU itamgharimu tu.
Muda utaongea, mama anachemka sana
 
Kazi gani?? Ya kuua na kuteka watu???
Mama itamdhinda hii nchi, wanaijua vizuri wanamshangaa tu, kazi aliyoifanya Magu haina ya kiufananisha na raisi awaye yote aliyepita. Mama analijua hilo, ila unafiki wake wa kujipendekeza kutaka kupendwa na kila MTU itamgharimu tu.
Muda utaongea, mama anachemka sana
 
Back
Top Bottom