Huu ni wakati wa kutengeneza walipa kodi wengi wa baadaye baada ya uchumi wao kuimarika na wao kuweza kuchangia katika kukuza uchumi wa nchi, kwa lugha nyepesi tuanze na maendeleo ya watu ili tuje kwenye maendeleo ya vitu.Hii kauli ya mama sikuielewa kabisa!!
''KWA UAMUZI HUU NAJUA UCHUMI UTATIKISIKA LAKINI NAOMBA TUVUMILIE''
Je ni sahihi Rais kusababisha uchumi kuyumba tena kwa maksudi? Ili kimfurahisha nani? Kamwe kiongozi usiongoze ili kuwafurahisha unaowaongoza.
Kiongozi mwema na mwenye hekima siku zote anatakiwa awafurahishe anaowaongoza.