Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtoa mada hajielewi kabisaWakati wa Mwendazake vs wakati wa JK ni kipindi gani nchi ilisimama?
Kama hutaki hamia North korea kule hakuna kusafiri
huyo aliyekuwa hasafiri kasaidia Nini zaidi ya kutuachia Uchumi ulikuwa kwa asilimia 4Tutegemee mambo mengi toka kwa Rais Samia Suluhu. Mojawapo ni tabia nyingi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Nne Ndugu Jakaya Kikwete.
Safari zitakuwepo nyingi sana na majambazi yatampangia safari nyingi ili yabaki yakiiba pesa za umma. Kuna uwezekano mkubwa sana wa Nchi kusimama.
Lakini faida ni yeye katika kutaka kuwafurahisha watu kwa furaha za muda mfupi huku nchi baadaye ikiingia kwenye majanga
Wauzaji wa madawa ya kulevya na biashara haramu wanaanza kurudi wakiamini sasa watakuwana nafasi ya kuja haribu tena maisha ya watanzania. Mtandao wao unafahamika ulikuwa mkubwa mpaka ndani ya Serikali kuu.
Sijui yeye atakuwa na mtizamo gani katika hilo. Lakini tutegemee maisha yale mazuri ya kipindi cha kikwete katika awamu hii. Ya kila mbuzi kula kutokana na urefu wa kamba yake.
Tofauti na kikwete labda ni kuwa Speeches za huyu mama anaongea kwa utulivu na anakuwa amejipanga. Kikwete hakuwa na mvuto wa kuongea au kusikilizika. Tofauti ya kikwete na magufuli ni kuwa magufuli alikuwa na maneno makali but kikwete maneno yasiyo na maana.
Kama tunapenda speeches nzuri basi tutaendelea kuzipata kila mara. Hizi mama atajitahidi kuendelea kuwa nazo. Na kwa kuwa tulizimiss kila baada ya speech tutampongeza sana kwa kutufariji. Na ni kweli watanzania wanapenda maneno ya faraja. Tuendelee kupata.
Mnaweza kidogo mkachanganyikiwa kwa nlichoandika. But ndani kwenye threads mnaweza pata some points.mengine achana nayo
Bila shaka wewe utakuwa mpinzani mmefumbishwa macho kabisa msione mema yaliyofanyika.Miundombinu iliyojengwa hauioni mkuu? Ndege? SGR? Terminal 3?,stendi mbalimbali?,shule na hospitali zilizojengwa? maboresho huduma ya afya? maboresho sekta ya madini? hayo yote huyaoni? mapato TRA kuongezeka? uchumi kupanda mpaka nafasi ya kati? hauoni? Nidhamu kazini? kupinga uzembe na ufisadi bila kuonea mtu haya? mama aliyepo kule kijijini ndiye anaweza kuona ubora wa maisha kwa kusogezewa huduma ya maji! ila wewe uliyepo mjini ukiishi kwa kupiga dili lazima hali ya maisha utaona ngumu!Iliimarika kwenye sekta ipi KWA mfano??
Ufisadi mbona ulikuwa pale pale?deni la Taifa mbona limezid Mara dufu,hali ya maisha mbona ulizid kuwa mbaya zaid??
Biashara na uchumi mbona umedorora, mwendazake bora ametanguliaaa
Tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kila Jambo.Mungu anisamehe...hayati Magufuli amefanya mengi mazuri lakini sikuwahi kufurahia utawala wake kamwe.....sitakuja kuutamani naomba Mungu anisaidie katika maisha yangu yoote yalisalia nisipitie utawala kama ule
Ukikuta mtu anajiita Mkristo aafu anabagua watu wa dini, dhehebu, kabila,au mtu wa rangi ingine basi jua huyo si Mkristo ni muhuni km walivyo wahuni wengine. Kwa Mungu sote tunaitika km watoto wake. We nani hata umbagua mtu ambaye hujamuumba na duniani tumekutana tu?Wagalatia mmeshaanza chuki zenu, muachen mama afanye kazi,kwann mnateseka??yeye hakumchukua jiwe,jiwe limeondoka KWA kudra za mungu,kama hamkubali mwambien Gwajima akamfufue aje aendeleze alipoishia, hamuwez basi tulieni,kelele zenu hazina mashiko
Muacheni Mama tuenjoy maishaTutegemee mambo mengi toka kwa Rais Samia Suluhu. Mojawapo ni tabia nyingi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Nne Ndugu Jakaya Kikwete.
Safari zitakuwepo nyingi sana na majambazi yatampangia safari nyingi ili yabaki yakiiba pesa za umma. Kuna uwezekano mkubwa sana wa Nchi kusimama.
Lakini faida ni yeye katika kutaka kuwafurahisha watu kwa furaha za muda mfupi huku nchi baadaye ikiingia kwenye majanga
Wauzaji wa madawa ya kulevya na biashara haramu wanaanza kurudi wakiamini sasa watakuwana nafasi ya kuja haribu tena maisha ya watanzania. Mtandao wao unafahamika ulikuwa mkubwa mpaka ndani ya Serikali kuu.
Sijui yeye atakuwa na mtizamo gani katika hilo. Lakini tutegemee maisha yale mazuri ya kipindi cha kikwete katika awamu hii. Ya kila mbuzi kula kutokana na urefu wa kamba yake.
Tofauti na kikwete labda ni kuwa Speeches za huyu mama anaongea kwa utulivu na anakuwa amejipanga. Kikwete hakuwa na mvuto wa kuongea au kusikilizika. Tofauti ya kikwete na magufuli ni kuwa magufuli alikuwa na maneno makali but kikwete maneno yasiyo na maana.
Kama tunapenda speeches nzuri basi tutaendelea kuzipata kila mara. Hizi mama atajitahidi kuendelea kuwa nazo. Na kwa kuwa tulizimiss kila baada ya speech tutampongeza sana kwa kutufariji. Na ni kweli watanzania wanapenda maneno ya faraja. Tuendelee kupata.
Mnaweza kidogo mkachanganyikiwa kwa nlichoandika. But ndani kwenye threads mnaweza pata some points.mengine achana nayo
Anafuta legacy Mbaya ya mwendazakeMama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.
Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.
Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.
Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
mkuu mbona hujazungumzia ile faida ya bilioni 28 za ATCL zilizopatikana mwezi mmoja tu baada ya kununua ndege (km sijakosea)?!!!!Bila shaka wewe utakuwa mpinzani mmefumbishwa macho kabisa msione mema yaliyofanyika.Miundombinu iliyojengwa hauioni mkuu? Ndege? SGR? Terminal 3?,stendi mbalimbali?,shule na hospitali zilizojengwa? maboresho huduma ya afya? maboresho sekta ya madini? hayo yote huyaoni? mapato TRA kuongezeka? uchumi kupanda mpaka nafasi ya kati? hauoni? Nidhamu kazini? kupinga uzembe na ufisadi bila kuonea mtu haya? mama aliyepo kule kijijini ndiye anaweza kuona ubora wa maisha kwa kusogezewa huduma ya maji! ila wewe uliyepo mjini ukiishi kwa kupiga dili lazima hali ya maisha utaona ngumu!
Umesema kweli aisee!mimi sio msukuma ila nina ndugu wasukuma,pia nimesoma na wasukuma,ninafanya nao kazi,ni watu peace sana yani.😂😂😂 na mimi mwenyewe Msukuma mkuu, ila mzee wetu alituchafua sana ile haikuwa roho ya Msukuma ile, hatuko hivyo!