Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
kama hana imani na boss aachie ngazi. simple as that.Heri kuona mambo waziwazi kuliko kuota ndoto!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hana imani na boss aachie ngazi. simple as that.Heri kuona mambo waziwazi kuliko kuota ndoto!
Si mnakumbuka Waziri huyu si ndio alikuwepo, wakati wa ule kutia saini mkataba wa kampuni feki ya kununua korosho toka Kenya na akapiga na selfie, akionyesha mkataba na kutuhakikishia kwamba mambo ni safi, lakini matokeo yake kila mtu anajua kilichotokea yakawa maumivu....kazi iendelee.Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile
Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje🤔🤔
Kwani wakati wa Magufuli Huyo Kabudi mzee wa Jalalani alifanya nini cha maana? Acheni kumpa Prof wa majalalani sifa asizostahili
Hauna cha kumfanya Mama utaishia kuandika humu humu JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
yes, ni kama kilichofanyika kuhusu bandari ya bagamoyo enzi za mkwere......Kilicho sainiwa KENYA sio mkataba.. Kilicho sainiwa ni Makubaliano ya kuelekea katika kufanikisha huo mradi wa Bomba la gesi..
MEMORANDUM OF UNDERSTANDING (MOU) ndo kitu kilichosainiwa, hii inamaanisha mazungumzo zaidi yanafuatia kuelekea katika kusaini mkataba wenyewe.
Tuwe tunafuatilia kabla ya kutoa taarifa zetu.
Hilo nalo neno!!!Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile
Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje🤔🤔
Hakuna profesa wa sheria muongo kama Kabudi.Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Hata AG asiwepo? Si ndo Chenge alipokuwa akiwapigia hapo?Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile
Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje🤔🤔
Kenge wewe, nenda kamshauri JIWE uko alipo, anabebeshwa viroba vya korosho mwanzo mwisho, we si kutwa unamtukana rais wetu, sasa huo ushauri unampa wa nini, we Musiba lazima uende jela awamu hiiKwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Kama mnaona hamfuati magufuli si mumfuate mwenda zake mkaongozwe ki magufuli ?Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Kwa taarifa yako hakuna mkataba unatiwa saini na nchi bila kupitia kwa mwanasheria mkuu wa serikaliKwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Mikataba daima haisainiwi na Bunge. Labda tujianzishie utaratibu mpyaHuna lolote we sukuma gang. Kwa huyo Maghufuli mikataba imewahi kuwa wazi ?!. Ni lini iliwahi kuwekwa wazi mikataba ?! Wapinzani Cdm wamekuwa wakidai miaka yote mikataba ipitishwe bungeni kwa kujiridhisha lakini Ccm na serikali haijawahi kuwa tayari.
Mwacheni Mama afanye kazi yake. Na daima hawezi kuongoza sawa na huyo Maghufuli wako. Maghufuli mwenyewe kasoro zilikuwa kibao
Sasa uwazi mnautaka kwenye mikataba mtaupatia wapi ?!. Chombo cha wananchi ni Bunge . Vinginevyo usiri serikalini utaendelea na kwa sababu pia huwa wanaapa kutunza siri .Mikataba daima haisainiwi na Bunge. Labda tujianzishie utaratibu mpya
Nonsense!Kwenye utilianaji mikataba ya kiuwekezaji waziri wa katiba na sheria pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali ahusishwe sasa kwa nn hatujamuona Kabudi na mwanasheria mkuu wa Serikali mnaficha nn mafisadi yameanza kuivamia nchi sisi Chama Cha Magufuli na Magufulist na Magufulification of Tanzania and the entire Afrika tunahoji usiri huo lkn kumbuka wewe umengia kwa utaratibu fuata utaratibu hatutakubali kuchezewa kwa rasilimali zetu na kikundi cha watu wachache
Mkuu usipende kuendekeza rushwa. Sisi tunaolipa kodi hatufurahii kuona nchi haisongi mbele. Mimi nataka hata posho za Wabunge zishuke.Tulikuwa na maisha mazuri na ya furaha wakati unaowaita mafisadi wanatawala Tanzania kuliko hao wazalendo wako wa kuchonga akina Magufuli. Kama uzalendo ndiyo yale Mwendazake alikuwa anafanya, basi uzalendo ni UHANITHI
Mafisadi waendelee kwa maisha bora ya Watanzania
Upo sahihi kabisa, pia yawezekana walishiriki kikamilifu katika maandalizi yake, na wameenda wasaidizi wao!Yawezekana waziri asiwepo lakini utaratibu ukafuatwa
Na waziri anaweza kuwepo na utaratibu usifuatwe vilevile
Kwani huo mkataba wenyewe unasemaje🤔🤔