Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo...
Yaani unaona tatizo rais kuwa optimistic, umezoea kuburuzwa? hiyo ndo staili ya viongozi waliofanikiwa........lazima uonyeshe kuafikiana na watu kwamba wana changamoto mbalimbali kabla ya kujadiliana kuhusu mwafaka.
 
Na hakuna aliewahi kufa akarud,so John pombe hawez kurud,aachwe aende na sisi pia tutaenda,tumkubali huyu mama msaidiz wake tuijenge nchi kama vile ambavyo tulikubaliana na John pombe pamoja na mapungufu yake,maisha ndivyo yalivyo
 
Unajua Mwendazake alituachia roho ya kuchukiana, ubabe, na chuki.. Ndio maana mama akijaribu kurekebisha kasoro.. Wafiwa wa Chato wanapagawa
Yaani unaona tatizo rais kuwa optimistic, umezoea kuburuzwa? hiyo ndo staili ya viongozi waliofanikiwa........lazima uonyeshe kuafikiana na watu kwamba wana changamoto mbalimbali kabla ya kujadiliana kuhusu mwafaka.
Hilo dubu lako liliibomoa nchi. Hata nyumba kama imebomolewa na chizi kama lile dubu lazima uirekebishe kwanza.
Mama ni mtu muungwana. Acha uchawi wako wa kumtakia kuanguka.
Mpuuzi weye!Kuwa kiongozi ni vema ukawafanya watu wako wafurahie maisha.Siyo kuwa mjingamijinga na kuwakatisha tamaa.Mama Samia saaaaaafiiiiii!😝😝😝😝
Taaluma yangu ni ualimu. Tumefundishwa saikolojia na tunaitumia kufundisha. Nawaona mukiwa watu muliofeli maisha kabla ya JPM. kila kiongozi munampa matumaini yenu, mukiamini mambo yatakuwa mazuri. Nawaona kichwani mukiamini Samia iko siku ataachia pesa ziingie mifukoni mwenu. Nawaona ni watu ambao kila jambo ni kwa sababu ya mwingine na ni mwingine atakayewapa maisha mazuri.

Mawazo hayo na tabia hizo hata Wamarekani walikuwa nazo wakati wanamchagua Trump. Waliamini atawasaidia kuwa matajili. Eleweni hivi, binadamu huwa ana tabia ya kujiamini yeye na siyo kumuamini mwingine. Kama ninyi ni watu wazima na imani yenu kwa 100% iko kwa Samia, basi kuna shida vichwani.

Nawaomba musichukie ukweli huu. kila mmoja wenu atafakali kimya kimya kwa nini yuko hivyo?
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.

Aisee ili Taifa kuna watu wanabidi waanze kutozwa kodi ya ujinga sasa, yani unataka mama atunge sheria za kodi kwa wafanya biashara bila kuwashirikisha wahusika? Anawatungia kodi wakina nani sasa na kwa manufaa gani?
Unataka mama aje na agenda mpya wakati aliyetoka kaacha uchafu sibiri kwanza asafishe uchafu wenu tutaelewana tu kidogo kidogo..
 
Taaluma yangu ni ualimu. Tumefundishwa saikolojia na tunaitumia kufundisha. Nawaona mukiwa watu muliofeli maisha kabla ya JPM. kila kiongozi munampa matumaini yenu, mukiamini mambo yatakuwa mazuri. Nawaona kichwani mukiamini Samia iko siku ataachia pesa ziingie mifukoni mwenu. Nawaona ni watu ambao kila jambo ni kwa sababu ya mwingine na ni mwingine atakayewapa maisha mazuri.

Mawazo hayo na tabia hizo hata Wamarekani walikuwa nazo wakati wanamchagua Trump. Waliamini atawasaidia kuwa matajili. Eleweni hivi, binadamu huwa ana tabia ya kujiamini yeye na siyo kumuamini mwingine. Kama ninyi ni watu wazima na imani yenu kwa 100% iko kwa Samia, basi kuna shida vichwani.

Nawaomba musichukie ukweli huu. kila mmoja wenu atafakali kimya kimya kwa nini yuko hivyo?
Acha ujinga.Hata kiswahili tu hujui kuandika.Go to hell!Stupid.Utampa mtu maisha yako wakati unajitegemea?Unaandika huku unakunya au?
 
Mwanasiasa yoyote pale anapokutana na kundi fulani huwa lazima akubaliane na wanayoyataka,lakin utekelezaji huwa unakuwa mgumu
 
Madaktari wazingatie mfumo wa upumuaji wake. Wakati jana anahutubia upumuaji ule una walakini.
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.

Hii Id ilifunguliwa muda mfupi kabla ya ule uchaguzi wa kihayawani kufanyika hapa nchini. Hii ni moja ya id zilizofunguliwa ili kumtetea yule rais muovu, hivyo haishangazi sasa kuja na bandiko la kumshutumu mama, kwani sio kiongozi muovu, na uongozi wake unaanika wazi kuwa nchi hii ilikuwa mikononi mwa shetani.
 
Taaluma yangu ni ualimu. Tumefundishwa saikolojia na tunaitumia kufundisha. Nawaona mukiwa watu muliofeli maisha kabla ya JPM. kila kiongozi munampa matumaini yenu, mukiamini mambo yatakuwa mazuri. Nawaona kichwani mukiamini Samia iko siku ataachia pesa ziingie mifukoni mwenu. Nawaona ni watu ambao kila jambo ni kwa sababu ya mwingine na ni mwingine atakayewapa maisha mazuri.

Mawazo hayo na tabia hizo hata Wamarekani walikuwa nazo wakati wanamchagua Trump. Waliamini atawasaidia kuwa matajili. Eleweni hivi, binadamu huwa ana tabia ya kujiamini yeye na siyo kumuamini mwingine. Kama ninyi ni watu wazima na imani yenu kwa 100% iko kwa Samia, basi kuna shida vichwani.

Nawaomba musichukie ukweli huu. kila mmoja wenu atafakali kimya kimya kwa nini yuko hivyo?
Wee jamaa una matatizo, kama unaongozwa na mtu ambaye hutaki kumwamini ni kitu gani hasa unataka ku-achieve....au unamaanisha kwamba tumwondoe leo hii madarakani. Kama unafikiri binadamu ana tabia ya kujiamini yeye, ni namna gani inawezekana kila raia akawa rais kwenye nchi kwa wakati mmoja, kisa hakuna anayeweza kumwamini mwingine...
 
Taaluma yangu ni ualimu. Tumefundishwa saikolojia na tunaitumia kufundisha. Nawaona mukiwa watu muliofeli maisha kabla ya JPM. kila kiongozi munampa matumaini yenu, mukiamini mambo yatakuwa mazuri. Nawaona kichwani mukiamini Samia iko siku ataachia pesa ziingie mifukoni mwenu. Nawaona ni watu ambao kila jambo ni kwa sababu ya mwingine na ni mwingine atakayewapa maisha mazuri.

Mawazo hayo na tabia hizo hata Wamarekani walikuwa nazo wakati wanamchagua Trump. Waliamini atawasaidia kuwa matajili. Eleweni hivi, binadamu huwa ana tabia ya kujiamini yeye na siyo kumuamini mwingine. Kama ninyi ni watu wazima na imani yenu kwa 100% iko kwa Samia, basi kuna shida vichwani.

Nawaomba musichukie ukweli huu. kila mmoja wenu atafakali kimya kimya kwa nini yuko hivyo?
Hahahaha! Mwalomu! Hivi unategemea kuna mtu anaweza kuchukua ushauri unaotolewa na mwalimu wa Tanzania??

Hapa Tanzania, ili mtu awe mwalimu lazima awe amekataliwa ktk taaluma nyingine zoooote kwasabb amefeli sana ktk masomo yake. Sasa kwa muktadha huo unadhani nani yuko tayari kupokea ushauri toka kwa mtu aliyefeli?

Kawadanganye watoto na wadogo zetu huko mashuleni huku ukipewa mshahara wa laki 3 kwa mwezi. Shubamiti!!!
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.
Acha maneno..subiri sindano ifanye kazi
 
Ungejuwa Mama ni fundi usingeongea hivyo , Jambo la kumfurahisha kila MTU ndio niya ya Kiongozi Bora , matendo yako tuu yatakayo Fanya usifurahie kila Jambo, kama huendani na matakwa na Sheria za Nchi
 
Uko sawa mkuu JIWE aliacha mbegu mbaya sana. Huyuu mleta mada ataa ukampa billion 100 bado atalamika. Kuna watu hawanaga jema
Uzaifu MUNGINE hakai kabisa makao makuu ya nchi akikaa Sana siku tatu anarudi baharini kupunga kaupepo wakati mwendazake alikuwa anakaa mwenzi mzima anaotea jua juu ya mawe huyu amezoea UPEPO kuangalia mijusi ikikimbizana juu ya mawe hataki
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.
Acha bangi wewe mama anafanya vizuri mpaka wapinzani tumekubali,kuna kundi la wajinga ndani ccm halitaki kuona anayofanya mama.kazi indeleeeee
 
Kwanza, Rais amekuwa ni mtu anayehariri maamuzi ya mtangulizi wake badala ya kuanzisha mema yake. Katika hali hiyo anashangiliwa kwa kuamini kwamba anapambana na maamuzi ya JPM aliyoyafanya. Ni siku 100 hatujasikia muelekeo wake wa uchumi mbali na kukamilisha waliyoanzisha na JPM na yeye kufufua yaliyokataliwa; Bagamoyo.

Pili ni tabia ya kutaka kumfurahisha kila anayekutana naye. Anakutana na akina mama, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na vijana anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. Anakutana na wafanyabiashara, anatoa ahadi na kukubaliana nao kila kitu. anakutana na mwekezaji wa kulima kutoka Malaysia anatoa ahadi.

Unawezaje kukubaliana na kila ombi la wafanyabiashara, utadhani ndo wanaounda serikali? Yaani kwamba serikali haina maoni yake juu ya hayo wanayoyaita ni matatizo ya kibiashara? Rais anataka atunge sheria za kodi kwa kushirikiana na wafanyabiashara kweli?

Nchi inahitaji uongozi. Wanawake waongozwe, vijana waongozwe, wafanyabiashara waongozwe. Wengi hawajielewi zaidi ya familia zao na miradi yao.
Mwambie Magufuli arudi ikulu aongoze utakavyo
 
uzi wenyewe siuelewi,dhumuni lako ni nini sasa?
 
Back
Top Bottom