Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Mimi nimegundua nchi haitangazwi kwa staili hiyo ya kutumia mapesa na kujipromote bali inatangazwa kwa uongozi bora na wenye misimamo kama alivyofanya Magufuli.
Hili nilikuja kuligundua baada ya kusafiri nchi za mbali nikikutana na Wazungu pamoja na Waasia wakiniuliza "Which country are coming from?nikiwajibu I am from Tanzania utawasikia"Wow Tanzania you had a very good president(Magufuli) and it is the only country in the world that enabled to combat Covid 19 without lockdown and disagreed the order from America to use vaccine,but they assasinated him by the way you lost a very genius president"
So kiufupi nchi yetu imekuwa maarufu sana kupitia matendo ya Magufuli na sio kujitangaza kwa kupiga makelele ni kazi bure.
[/QUOTE

Nchi inaweza iakjulikana sana lakini kumbe inajulikana mitaani kwa wanywa kahawa tu wasio na faida yoyote kwenye uchumi??

Magufuli alikua na mazuri yake lakini pia alikua na mabaya yake

Kuna watu wamamkweza kuliko Mungu wakati dunia imewa kuwa na watuashuhuri wengi lakini walikuwa na mapungufu yao.
Lakini pia Magufuli hakua na mabaya tuu kama pia wengine wanavyotaka kuudanganya ulimwengu.

All in all Kazi aliyoifanya ndipo ilipopangwa iishie. Mungu ndiye anayumba na kupanga kila kitu kwa wakati wake.
Ukitafakari vizuri utagundua kuwa hata walaloni Mungu aliruhusu waje Afrika kwa wakati wake na waliondoka walati uliotimia.
Anaweza akawa na mipango mizuri sana ya kuifanya Tanzania iwe na watu jeuri lakini ujruri usio na ubinadamu ni unyama.
Dunia na vitu vyote ni mali ya Mungu anapanga nani na nini kifanyike kwa malengo yake.
Imempendeza Mungu Magufuli apumzike na mama aongoze. Atatupeleka mbele zaidi kwa watanzania ni wale wale cha msingi ni kuepuka dhulma kwa watu wasio na hatia na kuwa mkali sana kwa wale watakaochezea mali za umma bila upendeleo
 

Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
ukishaona mtu yuko ccm usitegemee sana kauli zake kwani hata angekuwa malaika kuna fisi wengi wenye ushetani wamemzingira na hawapendi shauri zenye akili
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
 
Kwa hiyo kwenda kuhudhuria MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA(UNGA) ni kuchezewa na mabeberu?!!!

Iko hivi.......

AJIRA
*******
Ilipita zaidi ya miaka 6 bila ya serikali kuajiri WATUMISHI wengi kwa mpigo...Awamu ya 6 imeanza kuajiri vijana zaidi ya 8000 (Tamisemi+Wizara ya afya)....

WATUMISHI NA MADARAJA
YA KAZI
********

Ni takribani miaka 6 watumishi wa UMMA walikosa kupandishwa MADARAJA YA KAZI...Serikali ya AWAMU YA 6 imewapandisha madaraja na kuwaahidi KUWAONGEZEA MISHAHARA ifikapo mwaka ujao wa fedha 2022/2023.

#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea...
Ukimtazama Magufuli, Mkapa, Nyerere halafu uka-compare na huyu tuliyenaye ndo unajua nchi inapotea na iko mikokoni mwa outlier
 
Ukimtazama Magufuli, Mkapa, Nyerere halafu uka-compare na huyu tuliyenaye ndo unajua nchi inapotea na iko mikokoni mwa outlier
Nchi inapoteaje wewe jamaa?!!

Nchi ipo imara chini ya CCM.....

Waliofanya vetting iliyopelekea awe hapo alipo si "mazwazwa"....

Endelea kuufukuza upepo.....

#SiempreJMT
#NchiKwanzaKablaYaMaslahiKoko
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea...
Mzee wa legacy utahangaika Sana,irudishe kwenye muelekeo basi.

Kwamba wewe huoni viongozi kila siku wakitatua matatizo ya wananchi?

Lini hayo matatizo uliyoyataja yaliwahi pungua?

Kwa taarifa yako tuu sio Kazi ya Rais kukutafutia chakula,Wewe huoni vituo vya afya vikijengwa kila kona? Huoni miradi ya maji ikizinduliwa? Huoni mashule yakijengwa? Wewe uko nchi gani?

Mtoa mada acha upumbavu,Rais kamwe hatokuja mtaani kupandisha mabega kama yule mtu wenu,majigambo ndio mlizoea sasa hamyaoni yanawapa tabu.

Namba tuu ndio zinaongea 👇

Screenshot_20210920-071756.png


Screenshot_20210920-071214.png


Screenshot_20210920-071230.png
 
Pale tumeingia cha kike.

Wa kulaumiwa ni ccm, kuweka viongozi kwa fadhila ama kufanya masihala na uongozi wa nchi hii.

Chini ya ccm hatutafika mahala popote. Yule mama hakuna kitu, hajielewi, hajitambui na wala hajui anafanya nini.

Tanzania sijui tunakosea wapi.
 
Kwa hiyo kwenda kuhudhuria MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA(UNGA) ni kuchezewa na mabeberu?!!!

Iko hivi.......

AJIRA
*******
Ilipita zaidi ya miaka 6 bila ya serikali kuajiri WATUMISHI wengi kwa mpigo...Awamu ya 6 imeanza kuajiri vijana zaidi ya 8000(Tamisemi+Wizara ya afya)....

WATUMISHI NA MADARAJA
YA KAZI
********

Ni takribani miaka 6 watumishi wa UMMA walikosa kupandishwa MADARAJA YA KAZI...Serikali ya AWAMU YA 6 imewapandisha madaraja na kuwaahidi KUWAONGEZEA MISHAHARA ifikapo mwaka ujao wa fedha 2022/2023.

#SiempreJMT
#KaziIendelee
Mkuu,usimpigie Gitaa Mbuzi,hawezi kucheza.
 
Back
Top Bottom