Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Afu eti 2025 anataka aendelee kugombea,Nafikiri ule wakati wa TZ kufanya kweli utakua umewadia.
Huyu mama jinsi alivyo hapendwi na WaTZ Zaid ya vimtu vichache vyenye maslahi/matumbo njaa,Ataaibika.
 
Watanzania wazembe na wapumbavu ni wengi sana. Hivi unatumia kipimo gani kusema Rais SSH hamna kitu?

Yule aliyepita alikuwa hata uhuru wa maoni kwa wananchi amekataza, huyu amewapa uhuru ndiyo huo mnautumia kumkejeli?

Yule alikuwa ana kikundi cha WASIOJULIKANA chini ya Makonda kinateka na kuua, bado hujaridhika na utawala wa Mama ambao una uhakika kutembea au kuishi popote bila kuuawa?

Yule alikuwa anapokonya fedha za matajiri kwenye akaunti na kuwatupa jela, huyu anataka Kodi sahihi na ya haki.

Yule alikuwa anachukua Kodi za Watanzania na kujenga miundombinu Kijijini kwao, huyu anajenga miundombinu panapostahili

Watanzania hamna shukrani
Unaandika kama mtu asie na akili. Sasa kama yule alikua anaua watu wewe mbona hukuuawa.

Uhuru gani alitunyima, huku JF tumekua tukiandika kila siku, toka lini JF ilifungwa tusitoe maoni?

Huyo mama ametoa uhuru gani wa maoni ambao hatukua nao?.

Taniri gani analipa kodi ya haki?
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Huo ni kwa mujibu wa uoni wako hafifu,wetu tunaiona Tanzania Mpya inayozidi kuimarika zaidi na zaidi kitaifa na kimataifa.
 
Frankl speaking ,Sijawahi shuhudia Tanzania hii Rais hapendwi na wananchi kiasi hiki.
Yan hapendwi haswaaaa,hata tukisema wanaume tukae pembeni tumuache na hao wanawake wenzie anaoamini ndo wanamuunga mkono,Hapati hata 30% ya uungwaji mkono,Huyu Urais umemkataaa na unaendelea kukamkataa kabisa
 
Wewe huna akili, serikali kujenga ama imejenga?
Tunaenda kwa namba bwana mwenye akili😀😀👇

Screenshot_20210920-073408.png
 
Attachments

Frankl speaking ,Sijawahi shuhudia Tanzania hii Rais hapendwi na wananchi kiasi hiki.
Yan hapendwi haswaaaa,hata tukisema wanaume tukae pembeni tumuache na hao wanawake wenzie anaoamini ndo wanamuunga mkono,Hapati hata 30% ya uungwaji mkono,Huyu Urais umemkataaa na unaendelea kukamkataa kabisa
Hapendwi na nani? Hapendwi na machadema na wazee wa legacy mbona sisi tunampenda?

Utaacha kumpenda Rais anayefanya haya 👇

Screenshot_20210920-074945.png

Screenshot_20210920-075003.png

Screenshot_20210920-074922.png
 
Unaandika kama mtu asie na akili. Sasa kama yule alikua anaua watu wewe mbona hukuuawa.

Uhuru gani alitunyima, huku JF tumekua tukiandika kila siku, toka lini JF ilifungwa tusitoe maoni?

Huyo mama ametoa uhuru gani wa maoni ambao hatukua nao?.

Taniri gani analipa kodi ya haki

Frankl speaking ,Sijawahi shuhudia Tanzania hii Rais hapendwi na wananchi kiasi hiki.
Yan hapendwi haswaaaa,hata tukisema wanaume tukae pembeni tumuache na hao wanawake wenzie anaoamini ndo wanamuunga mkono,Hapati hata 30% ya uungwaji mkono,Huyu Urais umemkataaa na unaendelea kukamkataa kabisa
Sema CCM Imechokwa Wala sio mtu,leo ukimchukua SSH akaja chadema utashangaa Sana NDANI ya wiki yani, huko ccm mtu akishaona tumbo lake limebonyea ,kelele zake sio za Dunia hii,

CCM inafanya viongonzi wake wasipendwe, laki pia niseme hata mwendazake alichukiwa Sana na tena Sana kuliko huyu
 
Unaandika kama mtu asie na akili. Sasa kama yule alikua anaua watu wewe mbona hukuuawa.

Uhuru gani alitunyima, huku JF tumekua tukiandika kila siku, toka lini JF ilifungwa tusitoe maoni?

Huyo mama ametoa uhuru gani wa maoni ambao hatukua nao?.

Taniri gani analipa kodi ya haki?
Kama hujafa wewe siyo kwamba hakuua. Magufuli kaua Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine zaidi ya 300 wa Mkuranga, Kibiti na Rufiji.

Akina Tito Magoti na Eric Kabendera walibambikiwa kesi kwa sababu ya maoni yao.

Matajiri wanalipa kodi. Kama hawalipi, kuna Mahakama ya TRA Tribunal wapelekwe pale. Kama mfumo wa nchi ni dhaifu katika ukusanyaji, hilo ni suala jingine.

Kama unabisha na hii mifano itakuwa siyo mtu makini yaani kama wale wa darasa la 7. Sintokuwa na msaada zaidi
 
Kwa hiyo kwenda kuhudhuria MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA(UNGA) ni kuchezewa na mabeberu?!!!

Iko hivi.......

AJIRA
*******
Ilipita zaidi ya miaka 6 bila ya serikali kuajiri WATUMISHI wengi kwa mpigo...Awamu ya 6 imeanza kuajiri vijana zaidi ya 8000(Tamisemi+Wizara ya afya)....

WATUMISHI NA MADARAJA
YA KAZI
********

Ni takribani miaka 6 watumishi wa UMMA walikosa kupandishwa MADARAJA YA KAZI...Serikali ya AWAMU YA 6 imewapandisha madaraja na kuwaahidi KUWAONGEZEA MISHAHARA ifikapo mwaka ujao wa fedha 2022/2023.

#SiempreJMT
#KaziIendelee
Jumla 3000 hv mkuu sio 8000 hiyo namba siyo ya kwel mkuu.
 
Nani aliiambia IMF kuwa damage ya korona Tanzania unaweza kuwa covered na Hizo tirioni walizokopesha?
Tanzania ambayo Raia wake wamegomea (wamechanjwa 350k tu kwa watu zaidi ya 60M) chanjo hiyo korona imewaathiri vipi?
Tanzania ambayo korona imechukua watu wasio fikia hata 500 imekuwa na adhari gani kulinganjsha na magonjwa na majanga mengine yanayotukabili?
Kwanini badala ya kutoa mkopo IMF hawakuona njia nyingine kama kusamee madeni tuliyonayo ili tupunguze kiasi tunachowalipa badala yake wameongeza deni ambalo (japo wanadai ni la masharti nafuu) linaongeza mzigo kwa taifa hapa ukiwa na fikra hafifu utaona ni ahueni eti ajira ooh madaraja yamepanda na mishahara inapandishwa yaani tushabikie inchi kuongeza uwezo wa kufanya matumizi bila kufikiria mapato yake ni hii mikopo ya IMF ambayo ina subject vizazi vijavyo kwenye utegemezi na umasikini wa milele!!
 
Mkuu Sasa umeisha nichefua sema hapendwi na machadema , Mimi ni kada mtiifu wa chama changu CHADEMA, sikia sie tunamchukia shindwa simamia haki Basi Wala hatuna ugonvi nae, ila nikwambie asilimia ,50% ya wanaomchukia ni ccm nae hashutuki
Hiyo asilimia 50% umeipataje mkuu? tuwekee data hapa za hiyo research yako.
 
Mkuu Sasa umeisha nichefua sema hapendwi na machadema , Mimi ni kada mtiifu wa chama changu CHADEMA, sikia sie tunamchukia shindwa simamia haki Basi Wala hatuna ugonvi nae, ila nikwambie asilimia ,50% ya wanaomchukia ni ccm nae hashutuki
Ccm wa legacy wakimchukia kuna shida gani? Ulitegemea wampende au? Hadharani hawawezi kuongea wataishia kunong'ona na yupo hapa hadi 2030..

Inaitwa usiyempenda kaja,sisi kitaani tunamkubali anatatua kero zetu kama hutaki subiria uchaguzi.
 
Nani aliiambia IMF kuwa damage ya korona Tanzania unaweza kuwa covered na Hizo tirioni walizokopesha?
Tanzania ambayo Raia wake wamegomea (wamechanjwa 350k tu kwa watu zaidi ya 60M) chanjo hiyo korona imewaathiri vipi?
Tanzania ambayo korona imechukua watu wasio fikia hata 500 imekuwa na adhari gani kulinganjsha na magonjwa na majanga mengine yanayotukabili?
Kwanini badala ya kutoa mkopo IMF hawakuona njia nyingine kama kusamee madeni tuliyonayo ili tupunguze kiasi tunachowalipa badala yake wameongeza deni ambalo (japo wanadai ni la masharti nafuu) linaongeza mzigo kwa taifa hapa ukiwa na fikra hafifu utaona ni ahueni eti ajira ooh madaraja yamepanda na mishahara inapandishwa yaani tushabikie inchi kuongeza uwezo wa kufanya matumizi bila kufikiria mapato yake ni hii mikopo ya IMF ambayo ina subject vizazi vijavyo kwenye utegemezi na umasikini wa milele!!
Wewe nae ni kiazi hizo,kwa hiyo uchumi ukiathirika na Serikali ikapata fedha za kupunguza makali iache kukopa au? Huna akili aisee,mda huo hutaki pesa mahitaji yanakusubiria ukipange au?
 
Back
Top Bottom