Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Sema CCM Imechokwa Wala sio mtu,leo ukimchukua SSH akaja chadema utashangaa Sana NDANI ya wiki yani, huko ccm mtu akishaona tumbo lake limebonyea ,kelele zake sio za Dunia hii,

CCM inafanya viongonzi wake wasipendwe, laki pia niseme hata mwendazake alichukiwa Sana na tena Sana kuliko huyu
Huwa mnajiongelesha hivi hivi mitandao ikifika uchaguzi mnaangukia pua..

Akina Shaka na Katibu Mkuu wako mikoani kujenga chama nyie mko mitandaoni kujifariji 😀😀
 
Mkuu mmezoea KILA kitu data data , Ndo maana Mkuu mnakua wezi , sikia kwenye mitandao hii ni MOJA case study nzuri sana , namanisha nini nasema
Kuna siku humu JF kiongozi yeyote wa ccm akapendwa?

Uchaguzi wa mitandaoni Mbowe,Lisu nk huwa ndio washindi na Marais wenu.ila kitaani sasa mnaangukia pua.
 
Wewe nae ni kiazi hizo,kwa hiyo uchumi ukiathirika na Serikali ikapata fedha za kupunguza makali iache kukopa au? Huna akili aisee,mda huo hutaki pesa mahitaji yanakusubiria ukipange au?
Acha kuwa na fikra hafifu ndugu we kwako mkopo ni msaada tena msaada wa pekee kwanini usifikilie hata kusamehewa madeni ni msaada kwani unakuwa hulipi mkopo wala riba unayotozwa na ni kweli Mimi ni kiasi wewe ni keki yaani your so sweet my dear
 
Acha kuwa na fikra hafifu ndugu we kwako mkopo ni msaada tena msaada wa pekee kwanini usikfikirie hata kusamehewa madeni ni msaada kwani unakuwa hulipi mkopo wala riba unayotozwa na ni kweli Mimi ni kiasi wewe ni keki
Msaada wa nini? Mkopo ndio unatakiwa,wewe ndio ndezi ukipewa msaada huna uamzi na pesa..

Huo ni mkopo partly hauna riba na partly una riba nafuu yaani consessional loan,kwa akili zako za kijinga serikali gani itaacha pesa tamu kama hii?
 
Mkuu mmezoea KILA kitu data data , Ndo maana Mkuu mnakua wezi , sikia kwenye mitandao hii ni MOJA case study nzuri sana , namanisha nini nasema
Mkuu,JF hua tunaenda kwa fact,ndio maana nikataka clear evidence,una maanisha nini kusema tunakua wezi? nimekuibia kitu gani?
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Acha kulia lia fanya kazi 😡😡
 
Kuna siku humu JF kiongozi yeyote wa ccm akapendwa?

Uchaguzi wa mitandaoni Mbowe,Lisu nk huwa ndio washindi na Marais wenu.ila kitaani sasa mnaangukia pua.
Sasa Mkuu hapa umekuja kushabiki Sana , mtaani hatujawai angukia pua ,sema tu hua mwaiba kura , na Wala sio shida Kama unaweza shinda KWa haki , tutakupongeza na maisha yataendelea , Sasa mnaiba kura
 
Taifa limekabidhi roho yake kwa mabeberu na wanalichezea wanavyotaka. Leo hii tunapinduliwa na kugeuzwa kadri mabeberu wanavyotaka. Wanatulazimisha kupata mikopo kupitia chanjo za Kovidi 19. Watanzania nao wamezigomea.

Watanzania wanakamuliwa kodi za kila aina ambazo hazijabadilisha uelekeo wa maisha yao hata kiduchu. Ukiongea kodi, ukicheka kodi ukimtumia bibi yako hela ya ugolo anakatwa kodi. Lakini huduma za kijamii kama afya na upatatikanaji wa maji safi hakuna.

Ccm ya mama Samia haijajitanabaisha kuwa inataka nini juu wananchi wa kawaida. Maana matatizo yao ya kila siku yanaongezeka. Hawana uhakika wa kula, huduma za afya ni tabu tubu, ajira ni tabu tupu. Lakini hawajasikia mama Samia akisema ana mpango gani kuwanusuru.

Taifa letu kama watanzania limetwaliwa na wapigaji wachache. Tutumbue macho.
Hata hill bandiko lako halijajitanabaisha linataka nini!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
BILIONI 50 ZA KUNUNUA MAHINDI
********

Wakulima wamejaliwa....

Ni majuzi tu Serikali sikivu ya mh.SSH imetoa bilioni 50 kwa "NFRA" kununua mahindi kwa wakulima wa RUVUMA,SONGWE,KATAVI,IRINGA,DODOMA...

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
hizo bil 50 zinanunua mahindi ya sumri tu kule sumbawanga
 
Ukimtazama Magufuli, Mkapa, Nyerere halafu uka-compare na huyu tuliyenaye ndo unajua nchi inapotea na iko mikokoni mwa outlier
Outlier ambao hawawajibiki kwa lolote kwani wao wako nyuma ya kiongozi aliyepo hata lawama hazita wahusu itakapokuja lawama
 
hizo bil 50 zinanunua mahindi ya sumri tu kule sumbawanga
Kwani hukusikia SERIKALI inanunua hayo mahindi kwa wakulima wadogo?!!!

Kwani hukusikia ya kwamba mkulima mmoja hataruhusiwa kuuza zaidi ya magunia 300?!!!
 
Tanzania ilipoteza mwelekeo miaka mingi tu chini ya CCM huu wa sasa ni mwendelezo tu
 
Kwa hiyo kwenda kuhudhuria MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA(UNGA) ni kuchezewa na mabeberu?!!!

Iko hivi.......
Elewa somo vizuri jamaa alichokiandika,hivi mimi mponda mawe nafaidika vipi nakupandishwa kwako kwa daraja? Unadhanani watanzania wote ni watumishi wa serikali!!?
 
Back
Top Bottom