Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha mtaani ni magumu kinyama
Toba , toba kwani tumefanya kosa gani, peleka upumbavu kanisani kwako na msikitiniMambo yanazidi kuwa magumu taifa linatakiwa liingie kwenye toba ndugu zangu.
Dawa ni kitubu tu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aibu kwa mwendazake aliambiwa mikono yake ina damu wasio hatia....kama kutubu kwa niaba Marhum sawaMambo yanazidi kuwa magumu taifa linatakiwa liingie kwenye toba ndugu zangu.
Dawa ni kitubu tu. 😭😭😭😭😭😭
Uzuri ni kuwa Rais anafahamu kuwa ndani ya Taifa hawakosekane wendawazimu na majuha. Nawe atakusoma, na kukudharau, maana anajua ushauri toka kwa mwendawazimu, hauna maana zaidi ya kuwa kipimo cha kufahamu mwendawazimu yupo kwenye hatua gani.Nilijuwa unaandika kitu cha maana kumbe unaharisha tu hapa gaidi unataka asihukumiwe kunyongwa mwizi asihukumiwe ? Acha ujinga mwache rais afanye kazi yake tena unamuhusisha na mambo yasiyo mhusu liacheni tu hil gaidi lenu liadhirike limeua limetesa limepoteza watu halifai muulize sumaye alponea chupuchupu uenyekiti unamfanya aue wenzie kama ataishi milele mbowe hafai kuishi duniani
HAAA yaani huo uharo hapo juu mtu kajipinda kuandika kama katoka kirabuni nani anataka?Uzuri ni kuwa Rais anafahamu kuwa ndani ya Taifa hawakosekane wendawazimu na majuha. Nawe atakusoma, na kukudharau, maana anajua ushauri toka kwa mwendawazimu, hauna maana zaidi ya kuwa kipimo cha kufahamu mwendawazimu yupo kwenye hatua gani.
Acha walio wazima wajadili hoja.
Binadamu hatukuumbwa kwa mfano wa mungu. Sisi waislamu tunafundishwa mwenyezimungu hafanani na chochote.Mama Samia ana dhambi kubwa mbele za Mungu kwa kuutweza utu wake.
Binadamu wote tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu. Anayemtweza binadamu mwenzake, anajitweza mwenyewe, na anamtweza Mungu Muumba wetu aliyetufanya tuwe tofauti na chochote, na akatushirikisha katika ukuu wake.
Nyie mmekuwa wajinga wa chama chenu ccm mpaka mnatisha.HAAA yaani huo uharo hapo juu mtu kajipinda kuandika kama katoka kirabuni nani anataka?
Siifahamu imani yako, lakini yangu mimi, kuna andiko linasema:Niujinga na upumbavu mkubwa mmmno kusema ama kuwaza eti binadamu anamdhalilisha/anamtweza Muumba.
Hakuna binadamu anaweza kufanya hayo!!! Wewe sema tuu anamkosea inatosha.
Tuchunge ndimi zetu zisiwendeeefu sana...
Usiwe mvivu kutafakari neno pia omba hekima ya kulielewa neno!Siifahamu imani yako, lakini yangu mimi, kuna andiko linasema:
Mathew 25
34“Kisha Mfalme atawaambia wale walio upande wake wa kulia, ‘Njoni enyi mliobarikiwa na Baba yangu; pokeeni ufalme mliotayarishiwa tangu kuumbwa kwa ulimwengu. 35Maana nilikuwa na njaa nanyi mkanipa chakula; nilikuwa na kiu nanyi mkanipa maji; nilikuwa mgeni nanyi mkanikaribisha; 36nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’ 37Hapo, hao watu wema watamjibu mfalme ‘Bwana, ni lini tulikuona mwenye njaa nasi tukakupa chakula, au ukiwa na kiu nasi tukakunywesha maji? 38Ni lini tulikuona ukiwa mgeni nasi tukakukaribisha, au bila nguo nasi tukakuvika? 39Ni lini tulikuona ukiwa mgonjwa au mfungwa nasi tukaja kukutazama?’ 40Mfalme atawajibu, ‘Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.’
Hivyo, kila uletendalo dhidi ya mwanadamu mwenzako, liqe jema au zuri, umemtendea Mungu mwenyewe.
HAKUNA WAJINGA KAMA WATU WANAOSHABIKIA CHADMA WANAIBIWA NA MBOWE HAWAAMINI KAMA NI GAIDINyie mmekuwa wajinga wa chama chenu ccm mpaka mnatisha.