Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Tokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake.

Bila shaka kuna mambo mengi nimeona kwake ni uwezo mdogo wa kuongoza nchi kubwa kama Tanzania inawezakana alikuwa na ndoto ya Uraisi ila hakujua nafasi hiyo ni nzito kiasi gani sio kila mmoja anaweza kumudu.Ukiangalia hili sakata la upandaji wa vitu kiasi kikubwa yeye pia kachangia, kwa ile kauli alitoa ukiisikiliza kwa umakini unaona kabisa kama imetolewa na mtu ambaye hana sifa ya uongozi anaongea kama mtu wa kawaida anayetoa taarifa, kiongozi yoyote mwenye sifa ya kuwa Raisi uwezi kutoa hiyo kauli bila kuonesha way of going forward as nation.

Nimeona kuna taarifa ya kuingia makubaliano na Uganda na hayo makubaliano yao ni Uganda kuiuzia Tanzania Sukari na dawa ya kupunguza maambukizi ya Ukimwi ARV hii taarifa imenishangaza Sana kusafiri kote uko kwa Raisi wetu eti anaenda kuingia makubaliano ya namna hii? Ni ajabu aisee hiv sisi wakununua sukari kutoka Uganda kweli? Wakati tuna Viwanda vingi tu hapa nchini vya sukari kwanini tusitengeneze mazingira mazuri ya wawekezaji wetu kuzalisha sugari kwa hapa nchini kama ndio safari zake ndio za namna hii nina wasiwasi hata hizo safari zingine kama kweli zina tija kwa nchi?

Raisi ameweka tozo kwenye simu ameweka pia kwenye vifurushi na sehemu mbalimbali lakini still amekuwa akikopa Sana kiasi ambacho kinaashiria pato letu la nchi linaweza likawa wameona sio kubwa ndio maana wanakopa Sana hela kutokana na Hili nimeona usimamizi mbovu wa nchi na ufuatiliaji afifu inapelekea itokee hiyo situation nafikiri awamu hii wapigaji watakuwa wengi kuliko hata kipindi Cha JK kutokana na hii awamu kutokuwa Makini na kulea virus ndani ya Serikali na nje ya Serikali.
#MamaanatupigaMwingi
 
Tangu mama yako aliporudi nyumbani kwa cheti bandia akili zenu ziliyumba mpaka leo.
Cheti bandia?? Mbona Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD bandia. Na Ben Saanane alipomuuliza athibitishe kama PhD ni ya kwake akamuua. Mbona Daudi Bashite alitumia cheti cha Paul Makonda na akamuacha aendelee kuwa RC wa Dar?

Mungu hapendi double standard ndiyo maana akamnyakua na kumtupa jejanam pamoja na ulinzi wake wa kijeshi na mabundiki hayakufua dafu
 
Wakati chama chenu kikijiandaa na vikao vya ndani, naona chawa mmesambazwa kila sehem kwenye mitandao ya kijamii ili kujaribu kuharibu hali ya hewa kwa malipo ya bando la buku 2. Hata hivyo mtashindwa tu kama walivyoshindwa waliowatangulia. Umepoteza muda wako kuandika mambo mengi afu hayana maana.

images (68).jpeg
 
Alichokifanya Samia kule Uganda naona ametekeleza kwa vitendo ule msemo wao na mwendazake sisi ni donor country.
 
Wakati chama chenu kikijiandaa na vikao vya ndani, naona chawa mmesambazwa kila sehem kwenye mitandao ya kijamii ili kujaribu kuharibu hali ya hewa kwa malipo ya bando la buku 2. Hata hivyo mtashindwa tu kama walivyoshindwa waliowatangulia. Umepoteza muda wako kuandika mambo mengi afu hayana maana.

View attachment 2219914
Ebu nitakie radhi mimi sina chama chochote ni raia wa kawaida kwangu chama changu ni nchi yangu hayo ni Maoni yangu kutokana situation ya nchi ilivyo
 
Anasema hafoki akikupiga jicho jasho linakutoka ,hajui kama magangwe yashakuwa sugu .mashirika sasa yanaliwa kama hayana nwenyewe. Wakorea wanalamba fungu na kusepa, msd wanarandaranda uchina kuulizia kama wanataka kuja kuwekeza kwetu.full mazingaombwe
 
Tanzania tuna viongozi wa hajabu sana kwani hakuna kiongozi anayekuja akawa na dira nzuri ya kuingoza hii nchi. Magufuli tu ndiye ali-dare kuchukua maamuzi mazito ya kulipeleka hili taifa mbali na kutaka kutuondoa kwenye ujinga, mwishowe tumeona walichomfanya.
Walimfanya nini yule muuaji? Au naye walimuua?😅😅
 
Bila shaka kuna mambo mengi nimeona kwake ni uwezo mdogo wa kuongoza nchi kubwa kama Tanzania inawezakana alikuwa na ndoto ya Uraisi ila hakujua nafasi hiyo ni nzito kiasi gani sio kila mmoja anaweza kumudu.
Tuweke record sawa, huyu hakuwahi kugombe, aliteuliwa so kusema kwamba alikua na ndoto ya kua RAIS i think sio sawa! Hakuwahi kuonesha nia ya kuongoza TAIFA kubwa kama Tanzania
 
Tokea Mama Samia Suluhu awe Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania sikutaka kutoa Maoni yangu juu yake kwasababu nilitaka nijiridhishe kwanza kwa kumpa muda mrefu ili nione ideas zake pamoja uwezo alionayo wa kuongoza nchi kwa kupima kupitia utendaji wake.

Bila shaka kuna mambo mengi nimeona kwake ni uwezo mdogo wa kuongoza nchi kubwa kama Tanzania inawezakana alikuwa na ndoto ya Uraisi ila hakujua nafasi hiyo ni nzito kiasi gani sio kila mmoja anaweza kumudu.Ukiangalia hili sakata la upandaji wa vitu kiasi kikubwa yeye pia kachangia, kwa ile kauli alitoa ukiisikiliza kwa umakini unaona kabisa kama imetolewa na mtu ambaye hana sifa ya uongozi anaongea kama mtu wa kawaida anayetoa taarifa, kiongozi yoyote mwenye sifa ya kuwa Raisi uwezi kutoa hiyo kauli bila kuonesha way of going forward as nation.

Nimeona kuna taarifa ya kuingia makubaliano na Uganda na hayo makubaliano yao ni Uganda kuiuzia Tanzania Sukari na dawa ya kupunguza maambukizi ya Ukimwi ARV hii taarifa imenishangaza Sana kusafiri kote uko kwa Raisi wetu eti anaenda kuingia makubaliano ya namna hii? Ni ajabu aisee hiv sisi wakununua sukari kutoka Uganda kweli? Wakati tuna Viwanda vingi tu hapa nchini vya sukari kwanini tusitengeneze mazingira mazuri ya wawekezaji wetu kuzalisha sugari kwa hapa nchini kama ndio safari zake ndio za namna hii nina wasiwasi hata hizo safari zingine kama kweli zina tija kwa nchi?

Raisi ameweka tozo kwenye simu ameweka pia kwenye vifurushi na sehemu mbalimbali lakini still amekuwa akikopa Sana kiasi ambacho kinaashiria pato letu la nchi linaweza likawa wameona sio kubwa ndio maana wanakopa Sana hela kutokana na Hili nimeona usimamizi mbovu wa nchi na ufuatiliaji afifu inapelekea itokee hiyo situation nafikiri awamu hii wapigaji watakuwa wengi kuliko hata kipindi Cha JK kutokana na hii awamu kutokuwa Makini na kulea virus ndani ya Serikali na nje ya Serikali.
#MamaanatupigaMwingi
... kwani Samia alipendekezwa na hatimaye kuteuliwa na nani kuwa mgombea mwenza? Kwamba una akili kuliko waliompendekeza au? Magufuli na Chama waliona ni presidential material wewe ni nani upinge? Au mlikuwa mmezoea nafasi ya VP ni ceremonial forever kwamba rais hafi?
 
Back
Top Bottom