FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Jiwe la kichwa hilo ambalo si jepesi.Siku hizi tunakupuuza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe la kichwa hilo ambalo si jepesi.Siku hizi tunakupuuza.
Naona umereact baada ya kuona neno taarabu eee hiyo ndio KAZI yenu mama.Umepigwa vipi na mwanamke au alitumia nanihii zile?
Sana tena sana, na ndiyo imewaletea ustaarabu.Naona umereact baada ya kuona neno taarabu eee hiyo ndio KAZI yenu mama.
Sawa mama.Sana tena sana, na ndiyo imewaletea ustaarabu.
Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaieDanadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...
How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.
Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
Mkuu Uzi wako umeteteresha sana Kuna neno halijakaa sawa! Hata kama tumechafukwa ndo tufikie kiasi hicho chakutaka kumnanilii mtu..?!!! Hatari mno!Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...
How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.
Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
Ambao huzungumza ukweli kuhusu utawala wa Nyerere huonekana wanafiki ,lakini ndo walio simama kwenye ukweli,ambao wengi huwa hawataki kuusikiaNyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Ndio tutafilaDanadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...
How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.
Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
Unampeleka mtendaji mbovu honeymoon Foreign Affairs? TTCL? You must be crazy indeed!Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
Long tym wewe mama sijakuona hapa jukwaani. Nakusalimia. Msalimie warumi.Kuongoza watu ni kazi sana. Akitumbua kila siku tutamuita kichaa, hajui analofanya ndio maana anateua hovyo na kutengua hovyo.
Haya, kawaacha hao miaka miwili kama kuna la kurekebisha ila kaona wameshindwa kawatengua nako imekuwa nongwa! Asipotengua kabisa ni nongwa zaidi!
kakojoe ukalaleeeDanadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...
How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.
Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
😡😡😡😡😡 yaani akili zako unazijua mwenyeweNyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Naamini CCM itatuondolea hii changamoto ifikapo 2025 kwa kutuletea Mgombea Mwanaume aliye imara ambaye hatachezewa na wachumia tumbo.Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...