Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...

How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafika kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.

Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
 
Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...

How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.

Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
 
Mkuu Uzi wako umeteteresha sana Kuna neno halijakaa sawa! Hata kama tumechafukwa ndo tufikie kiasi hicho chakutaka kumnanilii mtu..?!!! Hatari mno!
 
Nyerere alikaa miaka 24 madarakani, panga pangua kibao, na nini alichokifanya unachokiona leo hii Tanzania?
Ambao huzungumza ukweli kuhusu utawala wa Nyerere huonekana wanafiki ,lakini ndo walio simama kwenye ukweli,ambao wengi huwa hawataki kuusikia
 
Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...

How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.

Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
Ndio tutafila
 
Dkt Samia anafanya kazi kisayansi zaidi hahaha, yaani Januari na Maharage wamepelekwa honey moon later watatimuliwa kabisa kabisa! Unachezea Dkt Samia, tunawaonya wote ambao wanamdharau, moto lazima uwawaie
Unampeleka mtendaji mbovu honeymoon Foreign Affairs? TTCL? You must be crazy indeed!
 
Kuongoza watu ni kazi sana. Akitumbua kila siku tutamuita kichaa, hajui analofanya ndio maana anateua hovyo na kutengua hovyo.

Haya, kawaacha hao miaka miwili kama kuna la kurekebisha ila kaona wameshindwa kawatengua nako imekuwa nongwa! Asipotengua kabisa ni nongwa zaidi!
 
WATANZANIA walipiga kelele nyingi sana baada ya januari na maharage na bodi mpya kuteuliwa wakapuuzwa sasa matokeo yameprove wamefeli vibaya nchi iko gizani

Aibu kwa samia na mamlaka yake ya uteuzi waliteuwa kimihemko badala ya kuangalia weledi ona sasa kamrudisha Mhandisi kuwa Mkurugenzi

Na bodi kaiweka Mwenyekiti mpya

samia kakumbuka shuka kumekucha... apunguze kuziba masikio 😕
 
Kuongoza watu ni kazi sana. Akitumbua kila siku tutamuita kichaa, hajui analofanya ndio maana anateua hovyo na kutengua hovyo.

Haya, kawaacha hao miaka miwili kama kuna la kurekebisha ila kaona wameshindwa kawatengua nako imekuwa nongwa! Asipotengua kabisa ni nongwa zaidi!
Long tym wewe mama sijakuona hapa jukwaani. Nakusalimia. Msalimie warumi.
 
Danadana zimekuwa nyingi sana. Ukweli ni kwamba mtumbuaji anatakiwa akae pembeni hakuna analofanya...

How comes inamchukua miaka miwili kujua utendaji mbovu wa wateule wake tutafila kweli? Tumepiga sana kelele hapa yeye kaziba masikio.

Miradi ya serikali inasuasua sana. Huku wachache wakitumbua kodi zetu. Atabadili sana watendaji bila yeye kabadilika no results.
kakojoe ukalaleee
 
Naamini CCM itatuondolea hii changamoto ifikapo 2025 kwa kutuletea Mgombea Mwanaume aliye imara ambaye hatachezewa na wachumia tumbo.
 
Back
Top Bottom