Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Mkuu utajiajiri bila Mataji kweli.,!!Tatzo mnatak viti vya kuzunguka na Ofisi zenye Ac ,vijana mjiajiri kazi zipo nyingi
Acheni masihara kwenye hoja za/ya msingi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utajiajiri bila Mataji kweli.,!!Tatzo mnatak viti vya kuzunguka na Ofisi zenye Ac ,vijana mjiajiri kazi zipo nyingi
Point ni gharama za maisha kua JuuuMzee sidhani kama upo sahihi,
Let's say aje mwingine, unadhani ndio ataweza ajiri vijana wote wanaotoka vyuoni?
Maisha n wew tu pambana, hizi siasa zina nafasi ila sio kubwa sanaa
Wewe kama Jobless ulitamani maisha ya majobless yaweje?Kama wewe ni jobless maana yake huna kazi unaelewa, gharama za maisha zilipanda kila pembe ya nchi.
Tozo, kupanda kwa nauli, kupanda bei ya vyakula, nk.
Haya yanatosha kuwa na Rais mwingine awe wa CCM au upinzani.
Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Mkuu Kamanda Asiyechoka , you are right!, kwasababu ni kweli kabisa Mama ni msikivu sana na anaupiga mwingi, ila pia, hakuna ushahidi wowote kuwa huko mitaani 95% hawamkubali kwasababu sio kweli kuwa ameharibu kila kitu, kuna vitu vingi vikubwa, amevijenga, na hili la sukari inauzwa Tsh 5000/= sio yeye, hii ni issue ya kibiashara inayoitwa "the price elasticity of the demand", demand ikiwa kubwa kuliko supply, kunatokea scarcity na bei lazima itapanda, hivyo sio Samia!.Wanaojipendekeza utasikia wanampamba kwa maneno ya kila namna. Mara anaupiga mwingi, mara Mama ni msikivu.
Lakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Katika mambo ya hovyo amefanya sijayapendaLakini mitaani 95% hawamkubali. Maana kila kitu amaeharibu. Leo hii sukari inauzwa Tsh 5000/= Dhuluma na uonevu vimetamaraki. Mpaka Makonda anakiri mbele ya Tv.
Ufisasi ndio wimbo wa taifa. Yaani wananchi wanakamuliwa Kodi alafu wahuni wachache wanajichotea kupitia Mahindira Tech na michongo mingine
Nini hiki?
Acha kudandia mada za wanaume we kahabaMTU mwenye macho akifanya mambo Kama MTU ambaye haoni inaumiza Sana.
Njia ya kulalamika sio njia sahihi unapohisi haki yako inachezewa chukua hatua