Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Eehh KUMEKUCHA...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Right now, tukiongelea Mitano kwa Samia tuongelee Miezi tu! Sasa hivi takribani awamu tatu za miezi Mitano imebaki kabla ya 2025 kustaafu.Samia tunae, mitano tena......😅
CHAWA NA POLISI WANAMDANGANYA.Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.
Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.
Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.
Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.
Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".
Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.
Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.
Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI
Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
Ajabu wasiompenda leo Samia ambae hajauwa, bali anawapunguza wamasai kwenye vitega uchumi cha taifa kutoka wamasai laki 8 hadi wamasai 100,000.Rais Samia ,

Oya hii mada haihusiani na dini mkuu usijaribu kuhamishia upepo kwenye dini. Hata Magufuli alikosolewa kila palipokucha na hakuwa muislam. Na waliopitia mateso kipindi hicho wengi ni wakristu kuliko waislam. Lissu, Saanane, Mawazo, Mbowe, Lema, Azory n.k wote wakristu.Nani wana haki ya kuchukia zaidi..
Talawa za mauwaji za wakatoliki
Au tawala za wanyenyekevu za waislam
Chura Kiziwi atapendwa na nani?Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.
Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.
Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.
Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.
Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".
Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.
Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.
Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI
Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu
HatoboiSamia tunae, mitano tena......😅
Samia mitano tenaHatoboi
CC: LucasRais Samia ,

Watu aina ya ChoiceVariable na wenzakeChura Kiziwi atapendwa na nani?
Huku Nyanda za Juu Kusini ndiyo kabisa huyo ni chukizo kwetu asije kabisaaaHuku Kanda ya Ziwa hatutaki hata kumsikia,ni huo wizi wa kura tu vinginevyo tutamsulubu sana.
Upo wapi kwani?Samia tunae, mitano tena......😅
NyamongoUpo wapi kwani?