Rais Samia ,
Ukweli lazima usemwe watanzania walio wengi hatukupendi hata kidogo. Na pia wana CCM karibu asilimia 95% hatukupendi na wala hatutaki uendelee kugombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025.
Tatizo lako wewe umejaa kibrii na mbinafsi na honestly huna mapenzi ya dhati kabisa na watanganyika na huna uchungu na mali asili za watanganyika.
Ndani ya CCM kwenyewe huko ndani hawakupendi kabisa.....take it from me. Ndio maana unaitwa Chura kiziwi kwa sababu unajifanya masikio yako umeziba pamba.
Na ukitaka ujue kweli wana CCM wenzako hatukupendi tangaza rasmi kuwa hutogombea nafasi ya Urais kwa mwaka 2025 ili uone wanafiki walioko ndani ya CCM wanaosema mitano tena kwa mama Samia watakavyogeuza gia angani na kuanza kukusifia tena kwa kukupamba kwa media zote kuwa wewe ndio Rais na KIONGOZI bora usiye na tamaa na madaraka.
Watanganyika walioko kwenye cycle yako kwa sasa wanakula tu kuneemesha matumbo yao but deep from their hearts hawakupendi hata kidogo na wengine wanakuombea mabaya ikiwezekana hata kesho uondoke hapa duniaini. HUO NDIO UKWELI JAPO WEWE HUTAKI KUAMBIWA UKWELI HATA KIDOGO....... NDIO MAANA UNAITWA "CHURA KIZIWI".
Na mimi bila kupepesa macho Naungana na watanganyika wenzangu na wana CCM wenzangu kuwa HATUKUPENDI HATA KIDOGO.
Uondoke utuachie nchi yetu - Tanganyika yetu. And by your information hili suala la wamasai na kuuza ngorongoro kwa wajomba zako waarabu ndio limezidi kuwakasirisha zaidi watanganyika wote.
Samia , nakuita tena SAMIA HUPENDWI na watanganyika wengi na wana CCM wenzangu wote ...... HATUKUPENDI NA HATUKUHITAJI
Umeshatuharibia nchi yetu vya kutosha, now please go away kalee wajukuu tu