Jidanganye tu…. Halafu ujichanganyeHatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
Kwsni unadhani ni Michakato anazuia yeye. Michakato watazuia wanao Athirika na,, a huo uchaguzi, wale wanaonufaika wala hawana shida, sasa nikujijua unafaika nao au unaathirika.Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Kuna nadharia halafu kuna uhalisia.Hii movement ya kuzuia uchaguzi lazima itafanikiwa maana lazima ihusishe Watanzania wote hadi waliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Ni kwa sababu hiyo nimeomba wenye akili wanisaidieNi Kwa sababu huna akili
Ndio haimaanishi kususia kwa hiyo anamaanisha nn" No" haimaanishi kususia
tukiwaambia huko ccm tafuteni watu wenye uwezo wa akili kujibu hoja za Lisu mnarukaruka tu na uchawa mwingiAnasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Yaani kifupi hii hoja imewaacha chadema njiapanda ambayo haijawahi kutokeaNilikiwa najiuliza,kwamfano akishindwa kuzuia uchaguzi usifanyike je atashiriki? This is actually controversial! Nazani hoja yake ni nzuri lakini haitoi alternative
Hakuna sio kususia ni kuzuia. Yaani bila mabailiko ya sheria watafanya jitihada za kuzuia uchaguzi sio kususia maana kususia ni kupuuza na kutokufanya chochote. ukianza kuwaambia watu waandamane, wasiende kupiga kura na kuwaambia wasimamizi wanafanya kitu kibaya hiyo ni kuzuia . Yaani ni mapambano kweli kweli.."No reforms No election" maana yake ni kususia uchaguzi.
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Huweza kumuelewa bila IQ kuwa na IQ Kubwa logic anayoieleza tundu lisu iko dhahiri kabisaAnasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Nyie wenye akili mtuambie sasatukiwaambia huko ccm tafuteni watu wenye uwezo wa akili kujibu hoja za Lisu mnarukaruka tu na uchawa mwingi
Kama huelewi na humwelewi, ni wazi kuwa una akili nzito kama za kenge ambaye yeye ili aelewe ni mpaka ale kipigo cha kumtoa damu masikioni...!Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Mnara unasachiSiyo kwamba Umeamua kujizima data tu!?
CHADEMA IMEDODAAnasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.
Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Umesema tuepuke vibaka na matapeli wa kisiasani muhimu wananchi kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa kama hao,
afadhali vyama vya upinzani vimeshaanza kumstukia, kupuuza wito wa kuungana nae, na kumkana ni wazi huyo ni tapeli katika siasa
hataki mdahalo wala hataki uchaguzi na haijulikani anataka nini?
mm naona hiyo kuzuia uchaguzi usifanyike kama hakuna mabadiliko ni kama ndoto za abunuwasi tu..hiyo ingefanikiwa kama sisi watanzania tungekuwa na ile spirit ya maandamano na kujitoa mhanga kama walivyo wakenya au wale msumbiji..ila kwa hivi tulivyo leo mmhh.! na mbaya zaidi wenye mamlaka wanaoset mifumo ya nchi wanatanguliza chama kwanza kinachowapa ulaji alafu taifa baadae.