Pre GE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
Jidanganye tu…. Halafu ujichanganye
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Kwsni unadhani ni Michakato anazuia yeye. Michakato watazuia wanao Athirika na,, a huo uchaguzi, wale wanaonufaika wala hawana shida, sasa nikujijua unafaika nao au unaathirika.
 
Maendeleo tutaendelea kuyasikia kwa wenzetu tu kwa upeo wetu wa kufikilia mambo
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
tukiwaambia huko ccm tafuteni watu wenye uwezo wa akili kujibu hoja za Lisu mnarukaruka tu na uchawa mwingi
 
Nilikiwa najiuliza,kwamfano akishindwa kuzuia uchaguzi usifanyike je atashiriki? This is actually controversial! Nazani hoja yake ni nzuri lakini haitoi alternative
 
.."No reforms No election" maana yake ni kususia uchaguzi.
Hakuna sio kususia ni kuzuia. Yaani bila mabailiko ya sheria watafanya jitihada za kuzuia uchaguzi sio kususia maana kususia ni kupuuza na kutokufanya chochote. ukianza kuwaambia watu waandamane, wasiende kupiga kura na kuwaambia wasimamizi wanafanya kitu kibaya hiyo ni kuzuia . Yaani ni mapambano kweli kweli
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?

Tatizo lako ndugu ni elimu yetu duni. Huelewi kwasababu hujaelimishwa vizuri na jamii yetu. Yanni mtu mzima hujui maana ya No reform no election
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Huweza kumuelewa bila IQ kuwa na IQ Kubwa logic anayoieleza tundu lisu iko dhahiri kabisa
 
mm naona hiyo kuzuia uchaguzi usifanyike kama hakuna mabadiliko ni kama ndoto za abunuwasi tu..hiyo ingefanikiwa kama sisi watanzania tungekuwa na ile spirit ya maandamano na kujitoa mhanga kama walivyo wakenya au wale msumbiji..ila kwa hivi tulivyo leo mmhh.! na mbaya zaidi wenye mamlaka wanaoset mifumo ya nchi wanatanguliza chama kwanza kinachowapa ulaji alafu taifa baadae.
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Kama huelewi na humwelewi, ni wazi kuwa una akili nzito kama za kenge ambaye yeye ili aelewe ni mpaka ale kipigo cha kumtoa damu masikioni...!

Tafsiri ya maneno peke yake ya NO REFORMS, NO ELECTION yanakupa maana ya moja kwa moja iliyowazi na kamili kabisa, ambayo ni IWAPO HAKUTAFANYIKA MABADILIKO YA KISHERIA NA KIKATIBA KUHUSU CHAGUZI ZETU, BASI MWAKA HUU HAKUTAFANYIKA UCHAGUZI KABISA KWA YEYOTE..!

Labda swali lako ambalo linge make sense kutuuliza hapa jukwaani ni: Hivi huyu Tundu Lissu na CHADEMA wanaweza vipi kuzuia uchaguzi usifanyike kwa wote? Watatumia njia na mbinu gani..?

Na mwisho wewe unataka wajiandae au kutangaza wagombea ILI IWEJE? WAENDE WAPI NA KUFANYA NINI? Hayo mabadiliko ya sheria za uchaguzi yamefanyika..?

Sikiliza bwana, kama wewe unajifanya mwendawazimu uliyerukwa na akili za kukufanya uelewe mambo rahisi hasa, basi mwambie mkeo akueleweshe kwa lugha yenu kuwa...

Si CCM , CHADEMA wala vyama vingine vya siasa ama watu wengine wowote, watashiriki na kuingia kwenye uchaguzi iwe mwaka huu 2025 au 2026 au wakati wowote iwapo hatutakaa chini wote kwa pamoja kama nchi na taifa ili kufanya mabadiliko [A COMPLETE OVERHAULING] ya mifumo ya kusimamia na kuendesha chaguzi zetu tutaifanyia...

But, as for now the agenda is: NO REFORMS, NO ELECTION. Kama huelewi, nenda kachukue fomu CCM ugombee udiwani hewa...!!

Kama hamuamini kuwa hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu iwapo hakutakuwa na mabadiliko yanayotakiwa, basi subirini ili muone kwa macho yenu maana kwa sasa mnasikia tu...!!
 
Sitaenda kulala barabarani, hata kwa mtutu.

I love you Lissu, but ukalale ww kumubarabara.

No reforms No Erections
 
Anasisitiza kwamba no reform no election.
Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.
Utata unakuja namna hii.
Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?
Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
CHADEMA IMEDODA
 
ni muhimu wananchi kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa kama hao,

afadhali vyama vya upinzani vimeshaanza kumstukia, kupuuza wito wa kuungana nae, na kumkana ni wazi huyo ni tapeli katika siasa :pedroP:

hataki mdahalo wala hataki uchaguzi na haijulikani anataka nini?
Umesema tuepuke vibaka na matapeli wa kisiasa
 
mm naona hiyo kuzuia uchaguzi usifanyike kama hakuna mabadiliko ni kama ndoto za abunuwasi tu..hiyo ingefanikiwa kama sisi watanzania tungekuwa na ile spirit ya maandamano na kujitoa mhanga kama walivyo wakenya au wale msumbiji..ila kwa hivi tulivyo leo mmhh.! na mbaya zaidi wenye mamlaka wanaoset mifumo ya nchi wanatanguliza chama kwanza kinachowapa ulaji alafu taifa baadae.

..hata huu ukondoo wa Watz kuna watu wameufanyia kazi mpaka tumekuwa hivi.

..sasa kunahitajika jitihada za kuturekebisha ili tuwe majasiri, na watawala wasituchukulie poa.

..kila Mtanzania katika nafasi yake afanye analoweza kuhakikisha uchaguzi haufanyiki ikiwa hakuna mabadiliko.
 
Back
Top Bottom