TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Jidanganye tu…. Halafu ujichanganyeHatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
