Pre GE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

Pre GE2025 Anayemuelewa Tundu Lissu anachomaanisha kuhusu uchaguzi anieleweshe kila nikijitahidi kumuelewa naambulia sifuri

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lissu anachojaribu kuieleza dunia ni kwamba bila mabadiliko kitakachofanyika si uchaguzi
Nadhani kama angekuwa anamaanisha hivyo angeruhusu wanachadema waanze kujipanga kugombea nafasi mbalimbali lakini inavyoonekana wamepigwa Pini wasihusike na chochote ila wajipange kuzuia uchaguzi.
Jambo hilo si jepesi hata kidogo hata kwenye nchi ambazo upinzani uko juu sana ni jambo ambalo ni kumu sana kutokea sasa yeye atawezaje.?
 
Kama unafanya uchaguzi usio na reforms ,wewe ni batili, bila kujali nafasi ipi umejiweka, hii kitu kushoto na kulia imewaweka ccm katika Mtego Mkubwa sana.

Kwa akili ya kawaida huwezi enda kwenye uchaguzi kwa mtego huu, kitakua kituko cha Dunia , na huwezi jitangaza Dunia ikakuelewa.

Wanaccm wanaosema hakuna wa kuzuia uchaguzi , wanajidanganya tu.

Kwa kauli hii ya no reform no election, tiyari uchaguzi umezuiliwa tu, hata ikatokea ccm ikalazimisha impact yake ni kubwa kuliko wanavyofikiri.

Maana nyingine yoyote wakuingia bila hii bila reforms ni batili na je kama wewe ni batili utajiitaje kiongozi , wa nchi ipi ?,wa wanananchi wapi.?

Ccm msijidanganye sana ,mambo yamebadilika tiyari huu ndo ukweli.
 
Hatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
utapeli mwingine bana ni hasara kwa chama husika pekee,

na haya ndiyo matokeo ya vyama vya upinzani tena vidogo kabisa kuongozwa na vibaka wa siasa wasio na maono 🐒
 
Hatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
Selo tz hazijai,ndoo ya maji tu ndiyo hujaa
 
Kuna nadharia halafu kuna uhalisia.

Kiuhalisia Watanzania bado waoga sana.
Siyo waoga bali busara,uumie kisa watu wasio na msimamo,leo lowasa fisadi kesho mabadiliko lowasa lowasa mabadiliko!!?..halafu watanzania wamekosa nini ambacho chadema watakileta hadi wafanye vurugu kuzuwia uchaguzi!?
 
Sasa wanavyoibiwa chaguzi kila mara bila kupinga napo si uoga?

Walipokatazwa kufanya mikutano ya hadhara ambayo imeruhusiwa kikatiba wakakaa kimya napo si uoga?
Watanzania hawahitaji mikutano ya hadhara,waliibiwa uchaguzi lini, ushahidi?
 
T
Anasisitiza kwamba no reform no election.

Akiulizwa mtasusia uchaguzi? Anakataa kwa nguvu zote kwamba chadema haiko tayari kususia uchaguzi.

Akiulizwa ni lini mtatangaza jina la mgombea wenu, anasema huwezi kuendelea kutangaza mgombea wakati umesema no reform no election.

Utata unakuja namna hii.

Siku zimesonga sana na mda ni mfupi sana sasa ni lini huyu mheshimiwa ataanza kuizuia serikali isiendelee na michakato ya uchaguzi?

Ni reference gani anayo inamhakikishia kuwa na ubavu wa kuzuia uchaguzi?
Hakujawahi kuwa na ELECTION toka nchi hii ipate uhuru.
 
ni muhimu wananchi kuepuka vibaka na matapeli wa kisiasa kama hao,

afadhali vyama vya upinzani vimeshaanza kumstukia, kupuuza wito wa kuungana nae, na kumkana ni wazi huyo ni tapeli katika siasa :pedroP:

hataki mdahalo wala hataki uchaguzi na haijulikani anataka nini?
Mtu mwenye akili nyingi kama Lissu anaeeleweka kiurahisi na watu wenye akili. Mtu kama wewe hauwezi kuelewa. Kumbuka ulichopata kwenye masomo yako darasani . Kama sio sifuri ni ni zero
 
Mtu mwenye akili nyingi kama Lissu anaeeleweka kiurahisi na watu wenye akili. Mtu kama wewe hauwezi kuelewa. Kumbuka ulichopata kwenye masomo yako darasani . Kama sio sifuri ni ni zero
awaeleweshe basi na viongozi wenzake wahubiri no reform no elections?
mbona anapiga nduru mwenyewe tu kama mtu aliechanganyikiwa :pedroP:
 
aliyekuambia watanzania wote wapo kwenye mlengo wa lissu nani ? ndiyo maana kuna chadema na ccm tena ccm ni wengi unawashindaje sasa?
Kwani wapi nimesema Watanzania wote wapo kwenye mrengo (ni mrengo, si mlengo) wa Lissu?

Kuna popote nimezungumzia Watanzania wote?

Pia, mbona hapo kuna mambo mengine ni ya kikatiba tu hata bila Lissu wala upinzani yapo wazi tu?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Siyo waoga bali busara,uumie kisa watu wasio na msimamo,leo lowasa fisadi kesho mabadiliko lowasa lowasa mabadiliko!!?..halafu watanzania wamekosa nini ambacho chadema watakileta hadi wafanye vurugu kuzuwia uchaguzi!?
Wengi ni waoga halafu wajinga kama wewe.

Hawawezi kuhusisha umasikini wao na utawala uliopo, hawajui au hawajali haki zao za kikatiba. Ni watu wa hewala hewala, funga kombe mwanaharamu apite.

Uoga wao wanauita busara.

Exactly what you wrote.

You are a typical Tanzania. Umenisaidia kutoa mfano wa Mtanzania hapa.
 
Hatususii uchaguzi kwa maana ya kwamba wengine waende kwenye uchaguzi wengine wasiende.. Ni kwamba hakutakuwa na uchaguzi kabisa kwa yeyote yule bila mabadiliko tajwa
Mkuu mwishoni ungeweka na nukta kabisa. Sio kupakana mafuta ni aidha operation au nusu kaputi operation iendelee ugonjwa upone
 
Back
Top Bottom