The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #81
Nadhani kama angekuwa anamaanisha hivyo angeruhusu wanachadema waanze kujipanga kugombea nafasi mbalimbali lakini inavyoonekana wamepigwa Pini wasihusike na chochote ila wajipange kuzuia uchaguzi.Lissu anachojaribu kuieleza dunia ni kwamba bila mabadiliko kitakachofanyika si uchaguzi
Jambo hilo si jepesi hata kidogo hata kwenye nchi ambazo upinzani uko juu sana ni jambo ambalo ni kumu sana kutokea sasa yeye atawezaje.?
