Anayepinga maandamano ya 23/09 anaunga utekaji na mauaji ya raia

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
  1. Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
  2. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
  3. Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
  4. Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
  5. CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?

Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.

Samia Must Go
 
Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.📌📌📌🔨
 
Kabla ya maandamano ningeshauri ifanyike dua ya taifa kuwalaani hawa watekaji na washirika wao.

Hayo maandamano hayana athari zozote kwa wasiojulikana.,
Tumeshihudia maandamano kadhaa lakini still NO CHANGE.
Kama kwl mnataka yawakute mazito basi ifanywe dua nzito ALALBADIL.

Nina wasiwasi hayo maandamano ni kukwepa dua ya kulaani wasiojulikana...
 
  1. Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
  2. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
  3. Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
  4. Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
  5. CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?

Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.

Samia Must Go
Maandamano ndiyo njia pekee iliyobaki ya kuwafanya hawa maccm, waache mambo yao ya hovyo ya kutekana tekana.

Hata hivyo Chadema wametoa "condition" Moja tu, watasitisha maadamano yao, ikiwa Jeshi la Polisi itawarejesha viongozi wao waliotekwa, Kwa kuwa Jeshi la Polisi wajibu wao namba Moja ni kuwalinda raia na Mali zao

Kwa hiyo Kwa kuwa maandamano ya amani yanaruhusiwa kufanyika, Kwa mujibu wa Katiba yetu, Kwa hiyo kazi kwao Jeshi la Polisi, kuwarejesha viongozi wa Chadema waliotekwa, Ili maandamano yasiwepo au kutowarejesha viongozi hao waliotekwa na kuruhusu maandamano hayo yafanyike na wao watawajibika kuyalinda maandamano hayo ya amani
Full Stop
 
  1. Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
  2. Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
  3. Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
  4. Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
  5. CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Je, Wananchi sisi tunakubali haya yaendelee?

Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea

Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.

Samia Must Go
Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.
kaka lala ubongo unatakiwa pumziko
Unajuaje kama huku nilipo ni usiku? 😂
20240915_060203.jpg
 
Maandamano ya kumlazimisha Samia aachie office ni uhaini, polisi Kwa namna yoyote wasiruhusu hawa wahuni kuingia road, Samia yupo Kwa mujibu wa katiba na ataachia office Kwa mujibu wa katiba na si Kwa maandamano.

Polisi ni wachache wandamanaji ni wengi na wapo sehemu nyingi tofauti
 
Back
Top Bottom