Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Haya ni maandamano kwa minajili ya kutetea haki ya kuishi.
- Polisi na vyombo vya dola wametuhumiwa kushiriki utekaji na mauaji ya raia
- Serikali imeonesha uzembe mkubwa kulinda maisha ya watanzania
- Bunge limegoma kujadili na kuihoji serikali kilio cha wananchi cha utekaji na mauaji ya raia
- CHADEMA wameibeba agenda hii kwa niaba ya Watanzaia, wameileta kwetu Watanzania bila kujali itikadi, imani na ukabila.
Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea
Yeyote anayepinga ama kukwepa haya maandamano, tunamuelewa kwamba anaunga mkono utekaji na mauaji dhidi ya raia.
Samia Must Go