Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

Kutokana na Moshi kutotoa ardhi kwa wawekezaji wageni wenye uwezo ili wapanue ajira sasa hivi Moshi ndio inaongoza kwa kutoa wafanyakazi wengi mabaa maid kwenye baa za watu mikoa mingine Tanzania nzima inasikitisha
Ukiwa na ubinafsi then kizazi chako ndicho kitalipia na si wewe?!
 
Siku hizi m'mebakia mikwara tu na maneno ila jeuri sio kama mnavyojinasibu.

Mimi nina makazi hapo Moshi. Kumepoa sana na hali ya sasa ya uchumi dah aisee . Ila Moshi ni mji mzuri sana wa kupumzika na kujiliwaza. Ukimchukua mtu aliezoea Moshi Moshi umlete Dar miaka hii anaweza kirukwa akili.
 
Kuna jamaangu alifungua duka hapo chugani ,yeye ni mtu wa mbeya ,duka kaweka katikati ya watu wa huko(wenyeji) ,alifanyafanya biashara kisela badae wakaja mpiga tukio,ilivunjwa frem yake pekee ,wakasepa na mzigo wote,akaamua kutemana na biashara ya duka akahama na mkoa kabisa

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba ametawaliwa na hisia zaidi inasikitisha
Hawa ndio wanaokaa na babu zao wale mababu wenye itikadi za ubaguzi wanajadili namna ya kuwabagua jamii nyingine wao wapate. Vizee vigine bwana ona sasa vimewatia nuksi wajukuu zao.
 
Ndio zao hizo yani, acha tu yule hayati msukuma awachukie wana hila sana hao jamaa
 
Sasa hii ni Chuki na Roho mbaya
 
Ubora wa bidhaa na sio kuangalia sura
 
Mimi sasa hivi niko huku, nawacheki tu. Nisipofilimba mtu huku basi Mungu anisaidie tu, maana hawa jamaa huwa wana mikwara utafikori hata fujo zenyewe wanaziweza.
 
Anamaanisha CHADEMA
Aaah sawa kumbe ni Chama Tatizo watanzania hawaelewi ukabila upo kila mahali na sio kwa wachagga tu watu wote unaojua wapo Tanzania bara ni wakabila πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Mimi sasa hivi niko huku, nawacheki tu. Nisipofilimba mtu huku basi Mungu anisaidie tu, maana hawa jamaa huwa wana mikwara utafikori hata fujo zenyewe wanaziweza.
Ukibishana utatolewa damu si upo arusha
 
Ndio zao hizo yani, acha tu yule hayati msukuma awachukie wana hila sana hao jamaa
Uzuri wa JF "WE DARE TO SPEAK OPENLY" hakuna makando makando. Wahusika wasikie na wajifunze na kurekebika.

Jamii yoyote ili iendelee inahitaji kushirikiana na wenzao na kuwa na upendo. Tanzania hatujafika hapa kimiujiza ni kutokana na umoja na kushirikiana.

Sasa kunapokuwa na wenzetu wanaoleta itikadi za kibaguzi either kidini au kabila sisi kazi yetu nikuwanyoosha na kuwakemea hadi wajue kuwa wanatoka nje ya mstari.

So tunawanyoosha kwa kusema ukweli na kuwapa makavu.......
 
Tabia hizo kama za Wanaigeria
 
Aaah sawa kumbe ni Chama Tatizo watanzania hawaelewi ukabila upo kila mahali na sio kwa wachagga tu watu wote unaojua wapo Tanzania bara ni wakabila [emoji39][emoji39]
Haiwezekani nchi nzima msemwe ninyi tu hauoni kama ni tatizo, mfike muda muwe na aibu basi .

Wewe umeshawahi kwenda mikoa mingine ukaona mapokezi yao.....?!

Mikoa mingine mbona watu wanakwenda na hawakutani na vituko wala hila. Ila Hapo wilayani Moshi na hata wilaya zingine za Kilimanjaro haya matabia ya umimi mnayo sana. Ila uzuri ni kuwa mnajifunza taratibu maana naona hata mabinti zenu wanaacha viburi na tamaa za mali taratibu.

So soon mtarekebika na kujua hamuishi katika ulimwengu wa pekeee yenu hapa tanzania.
 
Sure nadhani pia ni ukosefu wa elimu pia unachangia yaani ile elimu ya kuhamasishwa not formal education.

Umesema wakike wameanza kuacha viburi na tamaa za mali hili bado wanalo labda mmoja mmoja wa bahati sana.
 
Kwa Sasa ishazidiwa na kahama mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…