Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Nakushauri jaribu kaandika mada unazozielewa vizuri Kama zamani
Zina ambazo huna uelewa nazo achana
Leo umepuyanga
INGAwa ni mawazo yako

Zamani wakati naandika mada ulizoziona nazielewa unafikiri nani alinipa ushauri wa kuandika? Hizo mada unazoziona nazielewa kuna wengine waliandika kama wewe kuwa sizielewi hivyo huo ni mtazamo wako ambao ninauheshimu kwa sababu ni mali iliyotoka katika kichwa chako. Na wala siwezi kukuambia wala kukushauri kuwa usinipe ushauri wa jambo hilo wakati similiki uelewa na maoni yako.

Kufikisha miaka 18 sio kigezo tosha cha mwanamke kuolewa. Mtu anaweza kuwa na miaka 25 na bado anakasema aliolewa akiwa mtoto ikiwa tuu wazazi walimshinikiza aolewe. Ndoa za utotoni inaweza kuwa kiumri au kwa shinikizo la wazazi kwa sababu kimila mtoto kwa mzazi hakui
Kwa hiyo Kama aliamua kuishi na mume wake kinafiki alifanya akiwa na akili timamu

Hakuamua kwa Mujibu wa maelezo yake ila aliamuliwa. Hivyo sio hiyari yake.

Ibrahim alipata mke ambaye walipendana
Na Sara aliolewa kwa hiyari yake.
Kibiblia, wazazi walikuwa wakiuliza mabinti zao "je umempenda kijana huyu/yule" ndipo wanaolewa.

Ukristo haupo hivyo unavyousema
 

Huo ni utapeli. Na hakuna mtu anayeitwa msomi aliyesoma akaelimika alafu akataka mahari. Isipokuwa labda wengi huweza kushauri utoe mahari ili kuwaridhisha wazazi(ambao hawakuelimika).

Katika jamii yetu thamani ya mwanaume ipo kwa kumnyanyasa Mwanamke. Hiyo ni kutokana na jamii bado ipo gizani.

Jamii yetu haishangazi mtu katoa mahari na anampiga mke wake au kurudi amelewa lakini wao hushangaa Watu wanaoishi pamoja na hawajatoa mahari lakini wanapendana.
Wanawake pia njooni hapa mtoe maoni yenu. Kwa nini bado mnapigania mahari tena ya mamilioni wakati huo huo mnapigania usawa dhidi ya mikatale ya mfumo dume? 😳 😳 😳 😳

Wanawake wengi bado kwao huchukulia unyanyasaji ndio upendo.
Mfano Mwanamke akiambiwa atahudumiwa kila kitu yeye akae tuu nyumban bila kufanya kazi. Atafurahi.
Haoni kuwa huo ni unyanyasaji ila anaona kuwa anapendwa jambo ambalo sio kweli.
ukweli huja baadaye sana na hugundua kuwa bora angekuwa anafanyakazi na kusaidiana na mumewe. Na hayo ndio mapenzi
 
NDOA Si uwanja wa vita.

Ikiwa mume na mke ni mwili mmoja,

Hizo harakati za kudai Uhuru wa mke zinatoka wapi kama Si Kwa shetani?

Kwenye jamii yenye dhulma uhuru lazima udaiwe ndipo Watu wawe mwili mmoja.
Haiwezekani mtu huru awe mwili mmoja na mtumwa. Lazima mtumwa aokolewe ili awe huru ndipo wawe mwili mmoja
 

Upo sahihi kwa misingi ya kisiasa na dunia ya sasa inavyotaka binadamu tuishi.
Women deserve freedom.

Maswali yangu kwako mkuu?

1.Do women really need freedom?
Is freedom what women really want?

2.freedom is earned not given, can you talk about it.

Jaribu kupambana na Nature

According to nature Freedom is one of the important Masculine core values.

I dont find freedom in any of the feminine core values.

Tukijikita kwenye fraudulent politics that spread nothing but chaos ni jambo la busara kuwapa women freedom kama hutaki matatizo .

Binafsi sina shida na wakina miss independent i do respect em like other brothers.
 
Hakuna cha utumwa wala uhuru bali ulimbukeni! Ameshindwa kuhimili mabadiliko ya nyakati na exposure aliyopata kutokana na uhuru aliyopewa na mumewe sasa ameamua kuvuka mipaka na kuanza kufanya umalaya hadharani!
 
Kukataa ñdoa alafu unataka kuwa watoto na unataka ngono kimantiki na kiwajibu haiko sahihi.
Mkuu tunaishi kwa misingi ya Nature.

Itoshe kusema nobody can stop reggae.
Women love reggae the same
Way men do.

Sex is natural bro.

Mimi ninachoamini miongoni mwa binadamu kuna uncivilized beings wapo kwaajili ya kuspread chaos nakufanya maisha ya watu wengine magumu.

Wazungu wapo na movements za kuwafree wanawake katika vifungo vya kuplay part yao kwenye life anhaa!

Bro huu uzi wako wa leo umekaa kisiasa sana
Huna tofauti na mbunge anaetafuta kura kutoka kwa mafeminist na wakina johnweak men.
 
Nature ya jumuia ni kuwa lazima awepo kiongozi.

Mwanaume ni kiongozi wa mwanamke. Utake ni hivyohivyo na kama hutaki inabaki hivyohivyo.

Mwanamke usipompa uongozi atakudharau na hii haijalishi yeye ana mifedha na mivyeo kiasi gani. Na worst case scenario ni kuwa ataanza kuvutiwa na wanaume wanaoproject uongozi ambao anautamani.
Katika Ndoa mwanaume usipojipambanua kuwa wewe ni kiongozi huyo mwanamke atakuendesha kama gari bovu!

Mwanamke na mwanaume wote wanahitaji uhuru ulio katika mipaka ya roles zao. Uhuru ukipitiliza mipaka ya role ya kila mmoja lazima chaos itokee
 

Mkuu wazungu ni Watu kama sisi tuu.
Elewa kuwa kuja wazungu wengi tuu wanapenda mfumo dume kama ilivyo waafrika au jamii zote.

Pia Wazungu wana movements nyingi mno kuachana na hiyo moja ya Gender.
Mfano ishu ya Kupingana na ubaguzi wa rangi. Hivi unajua bila ya wazungu mpaka hivi leo bado tungekuwa Makoloni?
 
Wanawake gani unaowasema? Pitia ofisi zote za binafsi na za umma zaidi ya 80% wameolewa, hao wanaoogopwa ni wa namna gani?
 
Mkuu upo sahihi tatizo sisi tuliokuwa tunasoma kwa kukariri ili kufaulu mitihani itakuwa ngumu kukuelewa.
Ukija kwenye Imani za dini ndio kabisaaa!!!
 

Hakuna sehemu ambayo kuna mtu anapinga hilo.
Mwanaume ni kiongozi ila hapa tunachojàdili asiwe kiongozi wa dhulma na uovu.

Mwanamke hajawahi kuongoza kwa lolote.
Elewa shetani amebeba uhusika wa mwanaume
Na Mungu pia amebeba uhusika wa mwanaume.

Hapa tunachokataa ni mfumo dume wa kishetani na kuruhusu mfumo dume wa kimungu
 
mpaka anazaa watoto wote wale inamanisha amempenda aache umalaya wa uzeeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…