Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Mwamba anataka wanawake nao wawe wanatongoza kama wanaume na wawe wanapanga tarehe za harusi ndo uhuru anaouongelea

Kwani kosa liko wapi Sheikhe?
Kwani ni mambo mangapi wamekupangia na umefanya?
Tukianzia na Mamaako(mke wa baba)
Rais Samia, Spika Tulia, n.k. na waalimu wote wa kike, manesi, na madaktari wa kike.

Mantiki ya hoja yako ni ipi?
 

Mpinga kristo ni wale wasiotaka ukweli na wanaopinga Haki.
Huyo Christina keshakuambia Ndoa alilazimishwa sasa wewe unataka kusemaje?
 
Tatizo Watu wanataka mapokeo yao ndio yaitwe asili jambo ambalo sio sahihi.hqwi
Swala la mwanaume kumtongoza mwanamke ni asili hiyo
Kwa hiyo unataka mwanamke awe na uhuru wa kumtongoza mwanaume

Mwanamke kuna mda inabidi akubali kuolewa na mwanaume flani sababu ndo aliyekuja na yuko tayari kumuoa sasa unavyosema mwanamke awe na uhuru ni kichekesho kwakweli
 
Mwanzo 2:13,18
[
[18]BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Unaelewa nini unaposikia neno kufanana na Classes?
Classes uliyo itathmini siyo aliyoimaanisha MUNGU..wewe umeitathmini classes kama uwezo wa kifedha/kiupeo/kielimu/kimwonekano nk. kutokana na thread yako lakini hapo kilichomaanishwa zaidi ni sifa za nafsi zaidi zinazobeba Character ya mtu kama upole,utu,hekima,kupenda ibada,utii,unyenyekevu nk...

Na ndio maana kwa Wanaume ambao wamekuwa waaminifu kwa Mungu na kujenga naye mahusiano mazuri Mungu huwa anawapa wake wanaofanana nao usije kutegemea wewe malaya ukapewa mwanamke anajitunza na mtii NEVER labda huyo mwanaume aje akengeuke mwenyewe badae kwa kumuacha MUNGU.

Hio ndiyo maana yake halisi na si kama wewe ulivomaanisha.
 
Hili jibu linaonyesha wewe bado ni mtoto unayeishi kwenye fantasy world ila ukikua utaacha

Unaulizwa swali unatoa porojo.

Jibu swali kwako asili ni kitu gani?
Maana najua kuna Watu mnachanganya mapokeo na asili.

Kwa uelewa wako wakati ule wanawake walipoambiwa hawawezi kazi za udaktari au urubani ilikuwa ni kuvunja asili? Kwa uelewa wako asili inavunjwa?
Hili jibu linaonyesha wewe bado ni mtoto unayeishi kwenye fantasy world ila ukikua utaacha
 
Hakuna hoja yoyote ya kumtetea Christina Shusho yenye mashiko...

Wewe una uhakika Gani kuwa mke wako anakupenda?

Haya twende..., kuna uhusiano Gani kati ya kuolewa na mume asiyempenda na Yeye kumuacha Mungu aliyemuimbia Mtetezi wangu yu hai na akaungana na Mungu wa mtu mwingine?

Ni kwamba hiyo ndiyo rangi yake halisi. Unamtetea!!! Unajua Kwa matendo yake anaziangamiza nafasi ngapi?

Binafsi yangu nilimpenda sana Shusho hata isingeweza kupita wiki sijaskiza nyimbo zake kadhaa, zilikuwa zinahuisha...

Sasa nioneshe huyo Mwanaume Yeye anampenda na akaolewa nae.

Sasa Robert tuelewane kitu kimoja, usije hata siku 1 ukafikiri kwamba mkeo kuchepuka ni ishara ya kutokukupenda.

Kijana wewe bado sana hujaizunguka Dunia, bado tena nasema bado.

Nisitoe maelezo mengi ila kuna mtu akikuamulia huyo Mwanamke wako ni ndani ya nusu saa anabebwa.

Na una hakika Gani huchapiwi?

Isije ikawa umelishwa malimbwata tunaongea na malimbwata ndo maana hata nyuzi hazieleweki...

(Mimi nachoelewa ni Shusho amepata shambulio la kiroho akashindwa kujinasua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…