Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

Watu wenye pesa wanaume hupenda kuoa au Ku-date na wanawake ambao wapo financial broke ili kuwafanya kuwa submissive - kuwatii wanaume.

Na ndoto kubwa ya masikini huwa ni kulipiza Mapito yao waliyofanyiwa Kama , kudharauliwa, kutukanwa , kuteswa , hivyo msamaha wa MTU masikini ni kisasi.

Shusho anachopitia sio mapepo wala dharau kwa mme wake .

Isipokuwa anajaribu kuishi katika dark side yake.

Na dark side hakuna MTU ambaye Hana dark side.
 
Huhitaji akilili kubwa kuelewa huyu MTU ameandika kitu anachokielewa na huyu ameandika kitu ambacho Hana uelewa nacho amendikia ushabiki tu
Pia ushauri sio maagizo

Hao waliopitisha hiyo Sheria na huo utaratibu wa miaka 18 hawakuweka tu Kama unavyoamua kujiandikia tu
Huo ni umri ambao MTU anaweza kufanya maamuzi yake mwenye

Kisheria ndoa hatangazwa siku 21 ,
Na ndoa za kikiristo Zina taratibu nyingi sio kitendo Cha siku moja
Huo muda wote huyo dada alikuwa na nafasi ya kufanya maamuzi yake mwenyewe

Inaonyesha alikuwa na tamaa zake binafsi kwa huyo mume wake akamua kuishi naye kinafiki kwa miaka yote ambao baada ya kuzipata anaona Hana maana Tena kwake

Na ukishaolewa kikiristo Hana utaratibu wa kuachana kwa sababu ya HUDUMA au wito
Wito na HUDUMA ya kwanza kwa mwanamke ni ndoa yake labda aamue kutokuolewa

Sara aliishi na mume wake Kama bwana wake na Sara alikuwa akimtii

Katafute maana ya mwanaume kuwa bwana kwa mke wake
Uone tofauti iliyopo
Pia kikiristo anayependa ni mwanaume sio mwanamke
Mwanamke anaamriwa na biblia kumtii mume wake

Siku nyingine ongee mada unazoziwezaa mkuu
Usitafute ushabiki wa Mfumo mpya wa kutaka kumweka mwanamke nafasi moja na mwanaume
Nimeipenda hii
 
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.

Anaandika Robert Heriel
Mtibeli

Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo.
Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na vijakazi wao alafu hujinasibu kuwa Wameoa. Hakuna ndoa ya hivyo. Sema umemnunua Mwanamke na kumgeuza mtumwa wa ngôno na kijakazi wako hapo sisi Watibeli tutakuelewa.

Mfano, kwenye ndoa hakunaga ndoa ya Wake wengi. Ila kwenye utumwa wanaume huruhusiwa kuchukua wanawake watumwa wengi na kuwaita Wake zao ilhali sio kweli na sio Haki.

Kama ilivyo kwa sisi wanaume tusivyoweza kukubali kuwa na Mwanamke mwenye mahusiano na wanaume wawili. Ndivyo hivyohivyo kwa wanawake.

Wanaume wengi hupenda kuishi na Wanawake watumwa kuliko kuoa Mke. Sio ajabu wanaume wengi hujiamini na kutaka Mwanamke mwenye kipato duni au asiyefanya kazi, na wengi huenda mbali kwa kuchukua vibinti vidogo ili wavitumikishe kitumwa.

Kimantiki huwezi pata kitu kinachoitwa heshima kwa mtumwa. Mtumwa hawezi kukupa heshima. Heshima hutolewa na Watu Huru.
Kupewa heshima na mtu asiyehuru au mtumwa huitwa nidhamu ya woga, unafiki na ulaghai.

Kuoa Mwanamke mdogo kiumri ambaye hana maamuzi sio tuu ukatili bali pia ni dhulma ambayo baadaye lazima iligharimu.

Mimi kama Mtibeli halisi nasema, hasa kwa vijana. Ikiwa unahitaji kuishi na mwanaume ambaye utamuita mke basi yakupasa ûtafute mwanamke aliyehuru.
Namaanisha huru kiakili, kihisia, kimwili na kiroho.

Christina Shusho NI kielelezo cha wanawake wengi walioolewa pasipo uhuru wao kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Nilieleza pia, Mke hatolewi Mahari. Ila watumwa hutolewa mahari.
Mwanamke aliyehuru hawezi kukubali kutolewa mahari kwa sababu mahari msingi wake mkuu ni kumdunisha Mwanamke na kumdhalilisha ingawaje kwa umbo la nje waliolianzisha walilifanya kama kumheshimisha.

Mwanaume ni bora ikiwa atajua kusimamia Haki. Na Mwanamke atakuwa bora kama mwanaume ikiwa atajua haki zake na nani wa kuzisimamia.

Usioe Mwanamke asiyehuru(tegemezi) na kama utamuoa basi hakikisha unampatia uhuru wake. Ajitegemee.

Usimuozeshe binti yako kama bado hayupo huru. Huko ni kumkosea binti yako.

Usioe Mwanamke asiyefanyakazi, na kama umemuoa akiwa hana kazi basi hakikisha unampa kazi au anasimamia kazi na miradi ya familia. Nazungumzia kazi za kuzalisha kipato sio kazi za nyumbani. Kazi za nyumbani zitafanywa na mtu yeyote au machine. Baba au mume uwe kiongozi alafu mke au mama awe msaidizi. Hiyo ndio tafsiri ya ndoa kama hamtaki iwe ndoani.

Usioe Mwanamke ambaye hakupendi(moyo wake haupo huru na wewe). Atakusumbua na wewe utamsumbua.

Usimlazimishe Mwanamke kuwa na wewe hata kama mmeishi miaka mingi.
Usiingilie uhuru wa mtu mwingine wa kuchagua na kuutendea mwili wake. Kama ameku-cheat na anataka mwanaume mwingine muache aende.

Elewa, Mwanamke aliyehuru hadanganywi ila anafanya kwa Makusudi.
Ila watumwa hudanganywa kwa sababu wapo kwenye harakati za kutafuta uhuru wao.

Usioe mwanamke asiyeweza kujitunza mwenyewe, wala kujitafutia kipato. Huyo sio mke, huyo ni mtumwa.

Mke mchapakazi haimaanishi kazi za nyumbani pekee bali kazi za uzalishaji mali. Hata siku usipokuwepo unajua kabisa ile ndoto ya familia uitakayo itatimizwa na mkeo. Na sio ukifa basi watoto wako ndio habari imeisha.

Oa Mwanamke anayejua Haki zake kwani mtu kujua haki zake ni tafsiri ya kujua haki zako pia.
Mtu asiyejua haki zake hawezi kujua haki zako.

Elewa, mwanamke anayekubali kuonewa jua naye kuna sehemu ànakuonea au upo wakati unaokuja atakuonea tuu. Kwa sababu hiyo ni HAKI.

Ukijiona wewe ni mwanaume na unathamani kwenye ndoa kuliko Mwanamke elewa hata mwanamke atajiona anathamani kuliko wewe. Haitakuwa ndoa bali ndoano full kuumizana.
Lakini ukijitoa kwa mwenzako naye atajitoa. Ukimtañguliza mwenzako naye atakutanguliza.

Heshima yako kama mwanaume haipo kwa kumfanya Mwanamke mtumwa wako. Ila ipo kwa kumfanya Mwanamke kuwa Mtu na kulinda utu wake.
Yale yote unayotaka kufanyiwa basi mfanyie mwenzako. Na yale yote isiyotaka kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako.

Kuwa mwanaume sio tafsiri ya tiketi ya kufanya dhulma na uhalifu wa kijinsia kwa Mwanamke.
Kama nilivyoandikaga, kuwa mzazi sio kigezo cha kufanya dhulma kwa watoto wako kisa uliwazaa.

Ni ruhusa na Haki yako kumuacha(kutoa talaka) Mwanamke ambaye ulimpenda, na ukafanya kila jitihada na kuheshimu na kulinda ûtu na hadhi yake na yako lakini ikashindikana. Vivyohivyo kwa Mwanamke.

Ni yule Mtibeli kutoka nyota ya Tibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama, Shinyanga.
Haya ndio matokeo ya mkutano wa Beijing...
 
Mleta mada upo sahihi ila mwanamke ni kuimbe kinachomtegemea mwanaume, ili awe comfortable lazima apate protection kutoka kwa mwanaume. Hizi ni facts hata wanyama wapo hivyo, dume aliye na nguvu ndo atamuwin jike. Ila sikuhizi kuna mentality ambayo wanawake wamjewekea ya 50/50. Hii ni doa kwa mustakabali wa maisha yao maana hakuna mwanaume anayeweza kuishi na mwanamke asiekubali kuongozwa vivyo hivyo hakuna mwanamke atake kubali kuishi na mwanaume asie kiongozi. Sasa tusichanganye mswala ya kuwapa haki wanawake wakapitliza kuchukua majukumu ya uongozi. Lazima utadharaulika kama mwanaume.
 
Wazazi wake,kwao utatuma pesa na kupajenga wewe? Siku haupo na umekufa nani atalea watoto wako?
Uwezo wa kumpa bàsic need katika kiwango kizuri <standard * unacho? Au ndio nyama mara moja kwa mwezi?

Achana na feminists Kwa sababu hapa hawapo.
Dhulma na unyanyasaji sio traditional..

Hujiulizi kwa nini hao wanawake unaowaita Traditional wakipewa elimu au wakipata pesa wanawakimbia waume zao?
Hiyo pekee ingetosha kukuonyesha kuwa hao wanaokubaliana na manyanyaso au mfumo huo ni kwa vile hawana optional yoyote ila wakipata nafasi ndio haya ya kina Shusho.
Binafsi sishindwi kuwalisha wazazi wake na kuhudumia mwanamke

Pia naamini wanaume wengi hatushindwi kutoa mahitaji ya msingi kwa familia

Ila siwezi kumnunulia range wala kumnunulia designer clothes
Kwasabab hayo mambo hayanibariki mimi.

Mkuu naanzaje kumuhudumia mwanaume mwezangu(baba mkwe)
Hii sasa ni dharau.
Sio wajibu wangu wala wa mke wangu

Sasa kama unapingana na wanawake kulipiwa mahali unaanzaje kusema niwahudumie wakwe.

Siwezi mjengea chochote baba mkwe.
Ila ninaweza nikawalisha ikiwa kama sehemu ya usamalia wema kwan kama nitajitoa kwa misaada kwa yatima nitafanya vivyo kwa wakwe na ndugu.
 
Christina ni malaya wa muda mrefu sana ni vile amejificha ktk uimbaji, lakini hakuna mwanaume hajamvua chupyi... Na alishaachwa baada ya kuumwa muda mrefu, mumewe ikabidi amuache ili asije kufa na magonjwa yasiyoeleweka... Hivi sasa mwanamke anayofanya ni kutafuta defense mechanism apate sympathy ya watu...
 
Mtibeli wewe kwamba sasa unaungana na Hamonize, Ipm na wengine woooote wanaoshikiliwa na nguvu flan iv kizazi cha mwanamke kisimamiwe na mwanamke mwenyewe. Cjui una umri gan ila mda utaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namna bora ya kuondoa haya ni kuwapa Watu elimu ya kweli. Ili kila mtu awe huru.

Huoni humu wanaume hawataki na wanaogopa wanawake waliosoma na wenye kazi? Sababu kubwa ni kuwa wanataka Wanawake Watumwa na sio Wake.

Mwanaume hataki kubishiwa jambo ilhali ukiangalia kakosea huoni hapo kuna tatizo.
NDOA ni utaratibu wa Mungu mwenyewe ambao ni wazamani sana kama alivyo Mungu mwenyewe.Sheria na kanuni za kuishi katika NDOA kaziweka mwenyewe wala siyo binaadamu.Msingi mkuu wa NDOA ni UTII wa mwanamke kwa mumeo yaani ni mwanamke kuwa chini ya mwanaume,kinyume na hapo panakuwa hakuna NDOA.
Hakuna mwanadamu anayependa haya maisha ya NDOA awe Mwanamke au mwanaume kwa sababu ndani ya NDOA hakuna uhuru kwa jinsia zote.Ingekuwa siyo dhambi kwa mwanadamu kuishi tu kama mnyama(kukutana kimwili kiholela) bila ya utaratibu,basi hakuna ambaye angeoa na kuolewa.

NDOA NI MFUMO WA MUNGU NA WATAUISHI WATU WA MUNGU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.

Anaandika Robert Heriel
Mtibeli

Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo.
Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na vijakazi wao alafu hujinasibu kuwa Wameoa. Hakuna ndoa ya hivyo. Sema umemnunua Mwanamke na kumgeuza mtumwa wa ngôno na kijakazi wako hapo sisi Watibeli tutakuelewa.

Mfano, kwenye ndoa hakunaga ndoa ya Wake wengi. Ila kwenye utumwa wanaume huruhusiwa kuchukua wanawake watumwa wengi na kuwaita Wake zao ilhali sio kweli na sio Haki.

Kama ilivyo kwa sisi wanaume tusivyoweza kukubali kuwa na Mwanamke mwenye mahusiano na wanaume wawili. Ndivyo hivyohivyo kwa wanawake.

Wanaume wengi hupenda kuishi na Wanawake watumwa kuliko kuoa Mke. Sio ajabu wanaume wengi hujiamini na kutaka Mwanamke mwenye kipato duni au asiyefanya kazi, na wengi huenda mbali kwa kuchukua vibinti vidogo ili wavitumikishe kitumwa.

Kimantiki huwezi pata kitu kinachoitwa heshima kwa mtumwa. Mtumwa hawezi kukupa heshima. Heshima hutolewa na Watu Huru.
Kupewa heshima na mtu asiyehuru au mtumwa huitwa nidhamu ya woga, unafiki na ulaghai.

Kuoa Mwanamke mdogo kiumri ambaye hana maamuzi sio tuu ukatili bali pia ni dhulma ambayo baadaye lazima iligharimu.

Mimi kama Mtibeli halisi nasema, hasa kwa vijana. Ikiwa unahitaji kuishi na mwanaume ambaye utamuita mke basi yakupasa ûtafute mwanamke aliyehuru.
Namaanisha huru kiakili, kihisia, kimwili na kiroho.

Christina Shusho NI kielelezo cha wanawake wengi walioolewa pasipo uhuru wao kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Nilieleza pia, Mke hatolewi Mahari. Ila watumwa hutolewa mahari.
Mwanamke aliyehuru hawezi kukubali kutolewa mahari kwa sababu mahari msingi wake mkuu ni kumdunisha Mwanamke na kumdhalilisha ingawaje kwa umbo la nje waliolianzisha walilifanya kama kumheshimisha.

Mwanaume ni bora ikiwa atajua kusimamia Haki. Na Mwanamke atakuwa bora kama mwanaume ikiwa atajua haki zake na nani wa kuzisimamia.

Usioe Mwanamke asiyehuru(tegemezi) na kama utamuoa basi hakikisha unampatia uhuru wake. Ajitegemee.

Usimuozeshe binti yako kama bado hayupo huru. Huko ni kumkosea binti yako.

Usioe Mwanamke asiyefanyakazi, na kama umemuoa akiwa hana kazi basi hakikisha unampa kazi au anasimamia kazi na miradi ya familia. Nazungumzia kazi za kuzalisha kipato sio kazi za nyumbani. Kazi za nyumbani zitafanywa na mtu yeyote au machine. Baba au mume uwe kiongozi alafu mke au mama awe msaidizi. Hiyo ndio tafsiri ya ndoa kama hamtaki iwe ndoani.

Usioe Mwanamke ambaye hakupendi(moyo wake haupo huru na wewe). Atakusumbua na wewe utamsumbua.

Usimlazimishe Mwanamke kuwa na wewe hata kama mmeishi miaka mingi.
Usiingilie uhuru wa mtu mwingine wa kuchagua na kuutendea mwili wake. Kama ameku-cheat na anataka mwanaume mwingine muache aende.

Elewa, Mwanamke aliyehuru hadanganywi ila anafanya kwa Makusudi.
Ila watumwa hudanganywa kwa sababu wapo kwenye harakati za kutafuta uhuru wao.

Usioe mwanamke asiyeweza kujitunza mwenyewe, wala kujitafutia kipato. Huyo sio mke, huyo ni mtumwa.

Mke mchapakazi haimaanishi kazi za nyumbani pekee bali kazi za uzalishaji mali. Hata siku usipokuwepo unajua kabisa ile ndoto ya familia uitakayo itatimizwa na mkeo. Na sio ukifa basi watoto wako ndio habari imeisha.

Oa Mwanamke anayejua Haki zake kwani mtu kujua haki zake ni tafsiri ya kujua haki zako pia.
Mtu asiyejua haki zake hawezi kujua haki zako.

Elewa, mwanamke anayekubali kuonewa jua naye kuna sehemu ànakuonea au upo wakati unaokuja atakuonea tuu. Kwa sababu hiyo ni HAKI.

Ukijiona wewe ni mwanaume na unathamani kwenye ndoa kuliko Mwanamke elewa hata mwanamke atajiona anathamani kuliko wewe. Haitakuwa ndoa bali ndoano full kuumizana.
Lakini ukijitoa kwa mwenzako naye atajitoa. Ukimtañguliza mwenzako naye atakutanguliza.

Heshima yako kama mwanaume haipo kwa kumfanya Mwanamke mtumwa wako. Ila ipo kwa kumfanya Mwanamke kuwa Mtu na kulinda utu wake.
Yale yote unayotaka kufanyiwa basi mfanyie mwenzako. Na yale yote isiyotaka kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako.

Kuwa mwanaume sio tafsiri ya tiketi ya kufanya dhulma na uhalifu wa kijinsia kwa Mwanamke.
Kama nilivyoandikaga, kuwa mzazi sio kigezo cha kufanya dhulma kwa watoto wako kisa uliwazaa.

Ni ruhusa na Haki yako kumuacha(kutoa talaka) Mwanamke ambaye ulimpenda, na ukafanya kila jitihada na kuheshimu na kulinda ûtu na hadhi yake na yako lakini ikashindikana. Vivyohivyo kwa Mwanamke.

Ni yule Mtibeli kutoka nyota ya Tibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama, Shinyanga.
Noted Mkuu, malala imeeleweka...
 
Nimesoma post yako kama nusu tu nikaona huna uelewa wa mambo ya Ndoa hivyo huna sifa ya kuandika mambo yanayo husiana na ushauri wa ndoa; unge endelea na yale mengine ya kisiasa
1. Kudhibitisha kuwa huna sifa ya kuongelea mambo ya Ndoa, umeweza kumsikiliza Christina Shusho na kuamini kila anachosema na kutoa hukumu wakati hujasikiliza upande wa pili wa mUme wake
2. Kwa maelezo yako ni kuwa, mwanamke asiolewe kama hana kazi au niseme wanaume wasije kuoa wanawake wasio na kazi au Kipato; sijui unajua ni asilimia ngapi ya wanawake au niseme vijana wenye kazi?
3. Kama unafikiri mtu akioa mke kwa sababu anataka asifanye dhambi ya kuzini mtaani ananyanyasa mke wake kwani anataka kufanya tendo la ndoa; inabidi ujitafakari upya...
4. Hiyo ya kusema mke asilipiwe mahari sijui umetoa wapi????
5. Kwa wenye maarifa wanajua kuwa, masuala ya ndoa sio mepesi kama kuongelea Siasa au pengine kuongelea mpira wa Yanga & Simba
Nimeipenda hii
 
Mleta mada upo sahihi ila mwanamke ni kuimbe kinachomtegemea mwanaume, ili awe comfortable lazima apate protection kutoka kwa mwanaume. Hizi ni facts hata wanyama wapo hivyo, dume aliye na nguvu ndo atamuwin jike. Ila sikuhizi kuna mentality ambayo wanawake wamjewekea ya 50/50. Hii ni doa kwa mustakabali wa maisha yao maana hakuna mwanaume anayeweza kuishi na mwanamke asiekubali kuongozwa vivyo hivyo hakuna mwanamke atake kubali kuishi na mwanaume asie kiongozi. Sasa tusichanganye mswala ya kuwapa haki wanawake wakapitliza kuchukua majukumu ya uongozi. Lazima utadharaulika kama mwanaume.
Mleta mada anataka simba jike na dume wawe na nguvu sawa, seriously?
Mada zingine zina ukakasi sana, hata kuzijadili unaona uvivu.
 
Nakushauri jaribu kaandika mada unazozielewa vizuri Kama zamani
Zina ambazo huna uelewa nazo achana
Leo umepuyanga
INGAwa ni mawazo yako

Umejaribu kumtetea huyo mwimbaji Kana kwamba ilikuwa ni ndoa za utotoni
Kisheria na kimaumbile mtoto wa kike akishafikiasha miaka 18 ni MTU mzima anayejielewa kufanya maamuzi
Ya kuolewa au kutokuolewq Tena aolewe na nani
Pili huyo ni mkristo Tena mlokole ambaye mara nyingi lazima sala na ibada zihusike Sana kabla ya ndoa

Kwa hiyo Kama aliamua kuishi na mume wake kinafiki alifanya akiwa na akili timamu
Kwa historia Ibahimu alimpita mke wake miaka 10
Na biblia inasema alimwita bwana maana yake alitambua nafasi yake na majukumu yake
Siku zote mwanaume ni kichwa Cha familia haijalishi mwanmke ana cheo au HUDUMA kubwa kiasi gani
Lazima awe mtii na mnyekevu kwa bwana wake

Kwa Sasa umeacha fact naona unatafuta ushabiki wa Mfumo mpya wa kutaka kumuondoa mwanaume nafasi yake

Tofauti ni moja kati yako na yeye

Wewe umeegemea kwenye dini na mila walizoishi mababu na mabibi zetu lakini pia baba na mama zetu.

Yeye kaegemea kwenye uhalisia wa dunia iliyopo na inayokuja.

ni uhalisia usiopingika, kuwa zamani mali na kila kitu kilikuwa cha mwanaume maana hata mwanamke hakuweza kurithi mali. Mwanamke hakuweza kupigana vita au kupambana na wanyama wakali au vibaka. Hivyo mwanaume alikuwa kila kitu kwa mwanamke kuanzia chakula hadi security hivyo, kuolewa ilikuwa ni bahati na heshima.

Mwanamke alikuwa kupe hivyo ni lazma angemshikilia na kumtii mumewe hata afanyiwe nini, apigwe, asalitiwe na adhalilishwe lakini angeweza kusurvive vipi au tu kuwalea watoto wake bila mwanaume. Haiwezekani na nadhani hiyo ndo concept ya mtoa mada ya kuuita utumwa maana wengi walibakia ndoani for survival na si kwa maamuzi binafsi kama watu huru.

Leo mwanamke anasoma na kupata kazi lakini pia dunia ya leo security kubwa ni pesa na sio sime hivyo, utegemezi wa mwanamke umepungua kwa kiasi kikubwa.. Hivyo unadhani mwanamke alive huru atapata sababu gani ya kung'ang'ania ndoa ambayo haipo sawal kwake, sio rahisi

Ndio maana mwanaume traditional ni ngumu kumuelewa mwanamke wa "kisasa" Kwa sababu ya kuwa na matarajio tofauti. Hii conflict of interests ndio inasababisha ndoa nyingi kufa

Japo hii concept ya uhuru wa mwanamke imepotosha wanawake wengi kwa kuhisi wanatakiwa kuwa toxic au kuonesha mabavu dhidi ya wanaume ili waonekane independent. Kitu ambacho si sahihi maana mwanamke kujaribu kuwa mwanaume hupoteza haiba yake ya uanamke hivyo, wanaume inabidi tujitahidi kujifunza kuishi na hawa independent ladies lakini wanawake wajitahidi kuona nafasi yao katika jamii inatakiwa kulindwa na sio waipuuze sababu ya kupata pesa au madaraka. La sivyo, tutaendelea kuwa na kizazi ambacho kipo damaged kwa kukosa malezi stahiki ya baba na mama wanaoheshimu nafasi zao za kiasili katika maisha ya watoto wao.
 
Sasa alikuwa anasababu gani kuitaja Ndoa ambayo ni mfumo wa kizamani katika mada mfumo wa kisasa?.
Ukiitaja Ndoa umemtaja Mungu(Imani) na ukiitaja Ndoa umeutaja mfumo wa kizamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA.

Anaandika Robert Heriel
Mtibeli

Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo.
Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na vijakazi wao alafu hujinasibu kuwa Wameoa. Hakuna ndoa ya hivyo. Sema umemnunua Mwanamke na kumgeuza mtumwa wa ngôno na kijakazi wako hapo sisi Watibeli tutakuelewa.

Mfano, kwenye ndoa hakunaga ndoa ya Wake wengi. Ila kwenye utumwa wanaume huruhusiwa kuchukua wanawake watumwa wengi na kuwaita Wake zao ilhali sio kweli na sio Haki.

Kama ilivyo kwa sisi wanaume tusivyoweza kukubali kuwa na Mwanamke mwenye mahusiano na wanaume wawili. Ndivyo hivyohivyo kwa wanawake.

Wanaume wengi hupenda kuishi na Wanawake watumwa kuliko kuoa Mke. Sio ajabu wanaume wengi hujiamini na kutaka Mwanamke mwenye kipato duni au asiyefanya kazi, na wengi huenda mbali kwa kuchukua vibinti vidogo ili wavitumikishe kitumwa.

Kimantiki huwezi pata kitu kinachoitwa heshima kwa mtumwa. Mtumwa hawezi kukupa heshima. Heshima hutolewa na Watu Huru.
Kupewa heshima na mtu asiyehuru au mtumwa huitwa nidhamu ya woga, unafiki na ulaghai.

Kuoa Mwanamke mdogo kiumri ambaye hana maamuzi sio tuu ukatili bali pia ni dhulma ambayo baadaye lazima iligharimu.

Mimi kama Mtibeli halisi nasema, hasa kwa vijana. Ikiwa unahitaji kuishi na mwanaume ambaye utamuita mke basi yakupasa ûtafute mwanamke aliyehuru.
Namaanisha huru kiakili, kihisia, kimwili na kiroho.

Christina Shusho NI kielelezo cha wanawake wengi walioolewa pasipo uhuru wao kuheshimiwa na kuthaminiwa.

Nilieleza pia, Mke hatolewi Mahari. Ila watumwa hutolewa mahari.
Mwanamke aliyehuru hawezi kukubali kutolewa mahari kwa sababu mahari msingi wake mkuu ni kumdunisha Mwanamke na kumdhalilisha ingawaje kwa umbo la nje waliolianzisha walilifanya kama kumheshimisha.

Mwanaume ni bora ikiwa atajua kusimamia Haki. Na Mwanamke atakuwa bora kama mwanaume ikiwa atajua haki zake na nani wa kuzisimamia.

Usioe Mwanamke asiyehuru(tegemezi) na kama utamuoa basi hakikisha unampatia uhuru wake. Ajitegemee.

Usimuozeshe binti yako kama bado hayupo huru. Huko ni kumkosea binti yako.

Usioe Mwanamke asiyefanyakazi, na kama umemuoa akiwa hana kazi basi hakikisha unampa kazi au anasimamia kazi na miradi ya familia. Nazungumzia kazi za kuzalisha kipato sio kazi za nyumbani. Kazi za nyumbani zitafanywa na mtu yeyote au machine. Baba au mume uwe kiongozi alafu mke au mama awe msaidizi. Hiyo ndio tafsiri ya ndoa kama hamtaki iwe ndoani.

Usioe Mwanamke ambaye hakupendi(moyo wake haupo huru na wewe). Atakusumbua na wewe utamsumbua.

Usimlazimishe Mwanamke kuwa na wewe hata kama mmeishi miaka mingi.
Usiingilie uhuru wa mtu mwingine wa kuchagua na kuutendea mwili wake. Kama ameku-cheat na anataka mwanaume mwingine muache aende.

Elewa, Mwanamke aliyehuru hadanganywi ila anafanya kwa Makusudi.
Ila watumwa hudanganywa kwa sababu wapo kwenye harakati za kutafuta uhuru wao.

Usioe mwanamke asiyeweza kujitunza mwenyewe, wala kujitafutia kipato. Huyo sio mke, huyo ni mtumwa.

Mke mchapakazi haimaanishi kazi za nyumbani pekee bali kazi za uzalishaji mali. Hata siku usipokuwepo unajua kabisa ile ndoto ya familia uitakayo itatimizwa na mkeo. Na sio ukifa basi watoto wako ndio habari imeisha.

Oa Mwanamke anayejua Haki zake kwani mtu kujua haki zake ni tafsiri ya kujua haki zako pia.
Mtu asiyejua haki zake hawezi kujua haki zako.

Elewa, mwanamke anayekubali kuonewa jua naye kuna sehemu ànakuonea au upo wakati unaokuja atakuonea tuu. Kwa sababu hiyo ni HAKI.

Ukijiona wewe ni mwanaume na unathamani kwenye ndoa kuliko Mwanamke elewa hata mwanamke atajiona anathamani kuliko wewe. Haitakuwa ndoa bali ndoano full kuumizana.
Lakini ukijitoa kwa mwenzako naye atajitoa. Ukimtañguliza mwenzako naye atakutanguliza.

Heshima yako kama mwanaume haipo kwa kumfanya Mwanamke mtumwa wako. Ila ipo kwa kumfanya Mwanamke kuwa Mtu na kulinda utu wake.
Yale yote unayotaka kufanyiwa basi mfanyie mwenzako. Na yale yote isiyotaka kufanyiwa basi usimfanyie mwenzako.

Kuwa mwanaume sio tafsiri ya tiketi ya kufanya dhulma na uhalifu wa kijinsia kwa Mwanamke.
Kama nilivyoandikaga, kuwa mzazi sio kigezo cha kufanya dhulma kwa watoto wako kisa uliwazaa.

Ni ruhusa na Haki yako kumuacha(kutoa talaka) Mwanamke ambaye ulimpenda, na ukafanya kila jitihada na kuheshimu na kulinda ûtu na hadhi yake na yako lakini ikashindikana. Vivyohivyo kwa Mwanamke.

Ni yule Mtibeli kutoka nyota ya Tibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama, Shinyanga.
Unataka Mwanamke apewe uhuru gani zaidi au unamaanisha wa kwenda kupakuliwa nje ya ndoa.. maana uhuru wa kwenye ndoa wanao
 
Tofauti ni moja kati yako na yeye

Wewe umeegemea kwenye dini na mila walizoishi mababu na mabibi zetu lakini pia baba na mama zetu.

Yeye kaegemea kwenye uhalisia wa dunia iliyopo na inayokuja.

ni uhalisia usiopingika, kuwa zamani mali na kila kitu kilikuwa cha mwanaume maana hata mwanamke hakuweza kurithi mali. Mwanamke hakuweza kupigana vita au kupambana na wanyama wakali au vibaka. Hivyo mwanaume alikuwa kila kitu kwa mwanamke kuanzia chakula hadi security hivyo, kuolewa ilikuwa ni bahati na heshima.

Mwanamke alikuwa kupe hivyo ni lazma angemshikilia na kumtii mumewe hata afanyiwe nini, apigwe, asalitiwe na adhalilishwe lakini angeweza kusurvive vipi au tu kuwalea watoto wake bila mwanaume. Haiwezekani na nadhani hiyo ndo concept ya mtoa mada ya kuuita utumwa maana wengi walibakia ndoani for survival na si kwa maamuzi binafsi kama watu huru.

Leo mwanamke anasoma na kupata kazi lakini pia dunia ya leo security kubwa ni pesa na sio sime hivyo, utegemezi wa mwanamke umepungua kwa kiasi kikubwa.. Hivyo unadhani mwanamke alive huru atapata sababu gani ya kung'ang'ania ndoa ambayo haipo sawal kwake, sio rahisi

Ndio maana mwanaume traditional ni ngumu kumuelewa mwanamke wa "kisasa" Kwa sababu ya kuwa na matarajio tofauti. Hii conflict of interests ndio inasababisha ndoa nyingi kufa

Japo hii concept ya uhuru wa mwanamke imepotosha wanawake wengi kwa kuhisi wanatakiwa kuwa toxic au kuonesha mabavu dhidi ya wanaume ili waonekane independent. Kitu ambacho si sahihi maana mwanamke kujaribu kuwa mwanaume hupoteza haiba yake ya uanamke hivyo, wanaume inabidi tujitahidi kujifunza kuishi na hawa independent ladies lakini wanawake wajitahidi kuona nafasi yao katika jamii inatakiwa kulindwa na sio waipuuze sababu ya kupata pesa au madaraka. La sivyo, tutaendelea kuwa na kizazi ambacho kipo damaged kwa kukosa malezi stahiki ya baba na mama wanaoheshimu nafasi zao za kiasili katika maisha ya watoto wao.

Kuna Watu wanaakili sana.

Mkuu maelezo yako kama kuna mtu ambaye hajakuelewa basi tena.
Umeeleza kwa lugha nyepesi lakini ujumbe umesimama.
 
NDOA ni utaratibu wa Mungu mwenyewe ambao ni wazamani sana kama alivyo Mungu mwenyewe.Sheria na kanuni za kuishi katika NDOA kaziweka mwenyewe wala siyo binaadamu.Msingi mkuu wa NDOA ni UTII wa mwanamke kwa mumeo yaani ni mwanamke kuwa chini ya mwanaume,kinyume na hapo panakuwa hakuna NDOA.
Hakuna mwanadamu anayependa haya maisha ya NDOA awe Mwanamke au mwanaume kwa sababu ndani ya NDOA hakuna uhuru kwa jinsia zote.Ingekuwa siyo dhambi kwa mwanadamu kuishi tu kama mnyama(kukutana kimwili kiholela) bila ya utaratibu,basi hakuna ambaye angeoa na kuolewa.

NDOA NI MFUMO WA MUNGU NA WATAUISHI WATU WA MUNGU TU.

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku zote wahalifu na waovu hutumia mambo ya Mungu vibaya kuwadhulumu wengine.
 
Sasa alikuwa anasababu gani kuitaja Ndoa ambayo ni mfumo wa kizamani katika mada mfumo wa kisasa?.
Ukiitaja Ndoa umemtaja Mungu(Imani) na ukiitaja Ndoa umeutaja mfumo wa kizamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sioni kama anachofanya shusho ni sawa kwa sababu yule hakuwa ni mume tu bali ni baba wa watoto wake. Chochote anachokisema hakiishii kwa mume wake bali kwa watoto wake ambao ni wakubwa...

Nadhani shusho pamoja na umaarufu na kila kitu ambacho amekipata kwa kuonekana kuwa ni figure flani ya kimungu kwa watu kupitia nyimbo zake. Ila maneno ya chini chini kuhusu kutelekeza familia yake yanamuathiri, na dhidi anavyozidi kujisafisha ndivyo zidi anavyojichafua

Kwa hiyo comment yangu ilikuwa general kutokana na presentation ya mada na si case ya shusho. Kwa sababu alitakiwa kulinda hisia za watoto wake pia
 
Back
Top Bottom