The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Nimehamia Dar,nimemwacha mama hapoNimekuja Uyole ya kati sijakupata
Bila hata taarifaNimehamia Dar,nimemwacha mama hapo
Mbona hatujaona watt wa wengine walifanya hivyo?Hata wewe ukija zikamata utaongea hivyohivyo rafiki mzuri wa min -me
Sikuzote pesa ikimfikia mjinga humletea kiburi
Nikutakie siku njema broBila hata taarifa
Nilidharau Ile post na aliyeiandikaKuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Sentence yangu ya mwisho umeielewa nadhani mpenzMbona hatujaona watt wa wengine walifanya hivyo?
So tuache tu sbb ht mwingine akioata atafanya hivyo?
Maza ake yupo nyuma yake kwa wizi wote, ananunua gari ya 3B katikati ya umasikini wa watanzania na vyombo vya dola vipo kimya sababu ya mfumo ovuKuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Huyu Abdul sikuwahi kumzingatia,Kuna post ya mjinga mmoja hapa Jf jina namhifadhi anawataka watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mjinga aliendda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikua wapuuuzi kisa hawakupambana kua kama Samia.
Namuuliza kama kila mzazi angepambana kua kama Samia (rais ) nani angekua mwananchi.
Wazazi wetu kuawaita wazembe nani amelipa kodi za kuwalipa hao viongozi tangu Tanzania iumbwe.
Nani analipa kodi ambazo Abdul na wenziwe wanafanya wanavotaka.
Abdul anatembelea gari ya 3B shule hazina madawati vitabu hazina walimu chaki madarasa mabovu watoto wanasoma chin ya miembe watoto wetu hawana nguo madaftar mikoba wala viatu vya kwenda shule.
Tuje mahospitali, hamna dawa, vitanda wala mashuka, hospital hazina mifumo ya maji safi na maji taka, badala ya kutibu maradhi zimekua chanzo cha maradhi.
Turudi kwenye usafiri wa umma. Barabara mbovu kila sehem, mvua ikinyesha unashindwa kutofautisha kati ya Barabara na mito.
Halafu mtu katika jukwaa hili ambalo mm nilisifiwa kuna watu wa akili anasema tuwalaumu wazazi badala wa mafisadi wa kodi zetu.
Nakuomba fatilia kesi ya mke wa aliekua rais wa Korea kusin Yoon souk Yeol, then nenda pale Filipine rudi kwa hunter Biden US.
Muwe na asubuhi njema wana Jf na watanzania kwa ujumla.
Chief in servant of the Zanzibar echo
Nakuunga mkono kiongozi huu ni uhujumu uchumi wa hali ya juu sn anaoufanya Abduli kwa kinga ya maza akeMm sio mjinga kiongozi mm bado ni mwanafunzi na naumia kuwaona watoto wa maskin tunavopata tabu katika suala Zima la elimu
Asante
Kuna watanzania hamna akili kabsa na ww ni mmoja wapo. Itatuchukua miaka mingi sana kuelimika, shida sio nani kafanya shida tunatka tulifikishe mwishoMbona hatujaona watt wa wengine walifanya hivyo?
So tuache tu sbb ht mwingine akioata atafanya hivyo?
Kwanini hakuwa tajiri wa kupindukia kabla maza ake hajawa Rais? madudu anayofanya Rostam Azizi kwenye migodi na watanzania sababu ya upumbavu wetu tumelala usingiziMbona hatujaona watt wa wengine walifanya hivyo?
So tuache tu sbb ht mwingine akioata atafanya hivyo?
Nadhani hapo hamjaelewana na huyo naye anapinga ufisadi mkubwa unaofanywa na AbdulK
Kuna watanzania hamna akili kabsa na ww ni mmoja wapo. Itatuchukua miaka mingi sana kuelimika, shida sio nani kafanya shida tunatka tulifikishe mwisho
Whatever umeandika kaka ww ni miongoni mwa unaturudisha nyumaSentence yangu ya mwisho umeielewa nadhani mpenz