DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
You are SayngayUumbwaaa
Huu Uzi lazima wauone machungu maana hawasomi Bible wanarishwa matango pori kila siku na kusikiliza porojo.Huo ni upande mwingine wa Mungu ambao watu hawataki kuuzungumzia
Uliza kwa adabu ujibiwe kwa akili kubwa sana ...kwa kifupi tu kama mungu ameacha watakatifu wake wachinjwe na kuuliwa japo ni watakatifu je nikipi cha kushangaza ni mungu kuwa acha watakatifu wawa ue waovu au ni huyo mungu kuacha watakatifu wake kuuliwae na waovu kama walivyo uliwa wengi tuHizi mada zimekuzidi akili wewe nenda kabeti tu , maana akili zako fupi ndio zinawaza huko tu.
Udhaifu wako ni kushindwa kubainisha kwanza kwa nini unadai hivyo na kuweka ushahidi.
Watoto wadogo na wanyama wanakosa gani mpaka wauwae kikatiki hivyo ?Uliza kwa adabu ujibiwe kwa akili kubwa sana ...kwa kifupi tu kama mungu ameacha watakatifu wake wachinjwe na kuuliwa japo ni watakatifu je nikioi cha kushangaza ni mungu kuamulu watakatifu wawa ue waovu au ni huyo mungu kuacha watakatifu wake kuuliwa kama walivyo uliwa wengi tu
Inasikitisha sana kabisa..Chifu Mungu anaposema aogopwe anamaanisha hivyo … wala hakuna maelezo hapo ni hivyo hivyo ulivyosoma
Stimu za Bangi hizo , kwa maana mtu akija na shari naruka nae.Mzuka tena?
Je watakatifu mitume na manabii walikuwa na kosa gani hadi waliuliwa jibuWatoto wadogo na wanyama wanakosa gani mpaka wauwae kikatiki hivyo ?
Duh! Mazito sana , tatizo Wagalatia sio wasomaji usikute wengi hawajui haya mambo wanapigwa porojo kanisani na Bible imekuwa kama bosheni tu .Yako mengi sana..
Hapa Kuna Amri ya Kuua wanaume wote hata watoto wa Kiume halafu mabinti ndi waachwe Na Wale walioolewa wanauliwa wao na Waume zao..
Wanabaki wale mabikra halafu wanagawana Mabikra Musa na Wenzake..Dah
Hesabu 31:15,17 na 18
View attachment 3185814
Ghayo TheMongo Barbarian
Contextualization should be observedStimu za Bangi hizo , kwa maana mtu akija na shari naruka nae.
Unataka kusema Ubaya Ubwela hakuna njia ya busara ya kutosababisha madhara kwa wasio husika ?Je watakatifu mitume na manabii walikuwa na kosa gani hadi waliuliwa jibu
Unyamer sana.Contextualization should be observed
Unyamer sana.Unajitekenya na kucheka mwenyewe