Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

Andiko hili katika Biblia ndio kifungu katili zaidi kuwepo Duniani. Je, ni kweli Mungu aliamrisha ukatili wa namna hii?

Status
Not open for further replies.
Yako mengi sana..
Hapa Kuna Amri ya Kuua wanaume wote hata watoto wa Kiume halafu mabinti ndi waachwe Na Wale walioolewa wanauliwa wao na Waume zao..

Wanabaki wale mabikra halafu wanagawana Mabikra Musa na Wenzake..Dah

Hesabu 31:15,17 na 18
Screenshot_20241226_212534_Biblia Takatifu.jpg

Ghayo TheMongo Barbarian
 
Chifu Mungu anaposema aogopwe anamaanisha hivyo … wala hakuna maelezo hapo ni hivyo hivyo ulivyosoma
 
Hizi mada zimekuzidi akili wewe nenda kabeti tu , maana akili zako fupi ndio zinawaza huko tu.

Udhaifu wako ni kushindwa kubainisha kwanza kwa nini unadai hivyo na kuweka ushahidi.
Uliza kwa adabu ujibiwe kwa akili kubwa sana ...kwa kifupi tu kama mungu ameacha watakatifu wake wachinjwe na kuuliwa japo ni watakatifu je nikipi cha kushangaza ni mungu kuwa acha watakatifu wawa ue waovu au ni huyo mungu kuacha watakatifu wake kuuliwae na waovu kama walivyo uliwa wengi tu
 
Nakazia...

Kut 22:20 SUV
[20] Mtu atakayemchinjia sadaka mungu ye yote, isipokuwa ni yeye BWANA peke yake, na angamizwe kabisa.

Kut 22:18-19 SUV
[18] Usimwache mwanamke mchawi kuishi. [19] Mtu awaye yote alalaye na mnyama sharti atauawa.

Kut 21:16 SUV
[16] Yeye amwibaye mtu, na kumwuza, au akipatikana mkononi mwake, sharti atauawa huyo

Kut 21:12 SUV
[12] Mtu awaye yote ampigaye mtu, hata akafa, hana budi atauawa huyo.
 
Uliza kwa adabu ujibiwe kwa akili kubwa sana ...kwa kifupi tu kama mungu ameacha watakatifu wake wachinjwe na kuuliwa japo ni watakatifu je nikioi cha kushangaza ni mungu kuamulu watakatifu wawa ue waovu au ni huyo mungu kuacha watakatifu wake kuuliwa kama walivyo uliwa wengi tu
Watoto wadogo na wanyama wanakosa gani mpaka wauwae kikatiki hivyo ?
 
Yako mengi sana..
Hapa Kuna Amri ya Kuua wanaume wote hata watoto wa Kiume halafu mabinti ndi waachwe Na Wale walioolewa wanauliwa wao na Waume zao..

Wanabaki wale mabikra halafu wanagawana Mabikra Musa na Wenzake..Dah

Hesabu 31:15,17 na 18
View attachment 3185814
Ghayo TheMongo Barbarian
Duh! Mazito sana , tatizo Wagalatia sio wasomaji usikute wengi hawajui haya mambo wanapigwa porojo kanisani na Bible imekuwa kama bosheni tu .

Poor Galatians..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom