Ghayo TheMongo Barbarian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 248
- 501
- Thread starter
- #61
Tusiishi kizembe sasa unapaswa uisome dini yako katika vyanzo sahihi ili usalimike na usiyumbishwe.Proud to be a Muslim. Alhamdullillah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusiishi kizembe sasa unapaswa uisome dini yako katika vyanzo sahihi ili usalimike na usiyumbishwe.Proud to be a Muslim. Alhamdullillah
Siwaachi mpaka waseme ..Huo ni upande mwingine wa Mungu ambao watu hawataki kuuzungumzia
Mzuka Wana jamvi.
Bila kupoteza muda naombeni Maarifa na uchumbuzi wa kina juu la andiko hili View attachment 3185805
NB : Lengo la huu Uzi ni kupata Maarifa kama hauna hoja na Maarifa yanayohusiana na Uzi pita kushoto mapema.
Kwa wasiojua Kiswahili au Foreigners nimewarahisishia kazi.View attachment 3185819
Huyajui maandiko..umedokoaaSiwaachi mpaka waseme ..
Hii koment hata wa Amaleki wakiisoma, watakucheka Kwa jinsi ulivyo mweupe kwenye masuala ya maandikoHuo ni upande mwingine wa Mungu ambao watu hawataki kuuzungumzia
Hizo ni hadithi sawa tu na Alfu lela ulela.Wanadai Yesu ni Mungu anaupendo na huruma , sasa huruma Iko wapi mpaka kwa vitoto vimekosa Nini ?
Sawa mwebraniaHii koment hata wa Amaleki wakiisoma, watakucheka Kwa jinsi ulivyo mweupe kwenye masuala ya maandiko
Hapana mkuuHivi wewe Maghayo na huyu Ghayo TheMongo Barbarian ni mapacha!!?
Why?Proud to be a Muslim. Alhamdullillah
Kwanini unahitimisha hiyo ndiyo amri kuu?Amri kuu ni UPENDO ndio inayotuongoza
Sawa.Huyajui maandiko..umedokoaa
G-d is creator,he can do anything to his creationsWanadai Yesu ni Mungu anaupendo na huruma , sasa huruma Iko wapi mpaka kwa vitoto vimekosa Nini ?
Acheni upuuzi, huyo Mungu ni katili namna gani?, haya hao watu waliofanya makosa je watoto wadogo,wanyama na mali zisizohusika na hao watenda dhambi haki Yao ikoje?, Hamuoni kuwa Mungu wenu anajipinga mwenyewe ktk maandiko aliposena Uovu wa mtu hautorithiwa kwa mwana? Hapo hapo Kuna mistari inayosema uovu wa mtu utaadhibiwa mpka vizazi vi4, je lipi ni sahihi?.Wanao tenda dhambi na maovu ni maadui wa Mungu.
Ndiyo maana ata ukisoma biblia unaona kwamba Mungu alitafuta kisa kati ya Samson na wafilisiti Ili Samson apate kuwa uwa
Daudi naye pia hivyo hivyo shughuli yake ilikuwa kuwa angamiza maadui wa Mungu.
Sawa nakubali.G-d is creator,he can do anything to his creations