Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
- Thread starter
-
- #81
Shida ilikua Nini mkuu, mpaka kusema walitaka kuku uaBoss, hakuna mahusiano yaliyowahi kuniyumbisha maisha yangu kama yalee aisee.
Ilee familia ingeniua; nilitokea kumpenda yule binti daaah.. sasa hivi siwezi kupenda tena nikiwa kwenye mahusiano nakuwa tu kwenye mahusiano ila sipendi kwamwe, akitaka akae asipotaka aende ila siwez kumcheat wala nn?
Hapana haja mlilia mtu katoa fundisho tu Kwa wazaziSasa anamlilia nani na ili wamsaidie nini?
Kama kweli huyo demu kafanya maamuzi kwa ajili ya fedha atarudi, nimeshuhudia kwa mademu kama wawili na wanakuwa tayari kuwa hata vidumu.Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Ila hapo kwenye miaka mitano, mhh kweli haikua busara kama ni pika pakua, hapana aisee, mitano mingi sana labda kama, walikua makazi tofautiUna kaa na binti wa watu miaka mitano 😳,Safi sana wazazi wa huyo binti no kuongeza Single mama
Hapana demu hana noma kwani unaambiwa sasa analoa tu shida wazazi ndo wamemkataa jamaaKama kweli huyo demu kafanya maamuzi kwa ajili ya fedha atarudi, nimeshuhudia kwa mademu hawa wawili na wanakuwa tayari kuwa hata vidumu.
Shafii si amesema hapo wazazi wa binti wamemkataa auWamekaa kwenye mapenzi miaka mitano, aliwahi taka kutoa mahali wakamkatalia? Au alikuwa na "nia njema" kwa mdomo tu na si vitendo.
Mimi ningekuwa kaka wa huyo dada ningemzaba vibao kudate na huyo jamaa miaka mitano bila bila.
Btw hakuna mzazi anataka binti yake aolewe na mtu ana career haisomeki na character ya mashaka.
Afu kweli, wamasai tu wanatoroka huko maporini sembuse huyu wa mjini.duh n noma, ila binti nae c agekaza, ameshindwa hata kutoroka na kurudi kwa mshikaji
Dogo asiwe na pressure, ashushe pumzi akubaliane na hali japo si rahisNimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Atakubali kuwa step father kwa single mother?Dogo asiwe na pressure, ashushe pumzi akubaliane na hali japo si rahis
Kwa uzoefu wangu ndogo ambazo ni za kulazimisha huwa hazina uhai wa muda mrefu why sababu upendo na mapenzi haviko pale.
Msingi wa ndoa yoyote ni mapenz ya kweli, si ya upande mmoja. Msingi ukikosekana
Huo muunganiko hata miaka mi 6 hautofika
InategemeaKama kweli huyo demu kafanya maamuzi kwa ajili ya fedha atarudi, nimeshuhudia kwa mademu kama wawili na wanakuwa tayari kuwa hata vidumu.
Yah huyu nae inawezekana akaamua mwnywAfu kweli, wamasai tu wanatoroka huko maporini sembuse huyu wa mjini.
Ukilazimishwa ukakubali, unakuwa umekubali… Haujalazimishwa.