Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Kama huwezi hilo basi Acha kuanzisha familia. Kwa sababu familia inahitaji watu wenye utambuzi huo.

Kwamba mkeo/mumeo ni zaidi ya yeyote.
Kwanza wazazi wenye maadili waliokulea vizuri hili lazima wawe walikufundisha
Je siku mki achana utakua kwenye, hali gani, maandiko yamesisitiza tiwa
Hebu simama kwenye miguu ya wazazi ujipime!

Hivi kwa drama za vijana sasa hivi zilivyo hasa hawa sijui celebrity unaweza kumpa mwanao?
Ni kweli hapo umenena, lakini msijaji muonekano wa. Mlengwa si sawa
 
Unachekesha! Katiba ipi inayomruhusu kuingilia maamuzi ya mwanamke mtu mzima aliyekubali kuolewa?
Haja kubali, nikwambie kitu juzi tunda aliekuwa demu wa whozu, kahonga ac ya Instagram ya mwanae Kwa hawala, kisa yeye ni mama wa binti mwenye ac, weeeeee kiliwaka usilete mchezo na nzengo wewe, kiliwaka balaa, akaunti fasta imerudishwa na huyo hawala kaomba radhi, ndo ungwana usinyanyase mtu kisa wewe ni mzazi, big no, tuta deal na wewe Hadi ufe
 
Je siku mki achana utakua kwenye, hali gani, maandiko yamesisitiza tiwaheshimu baba na mama

Kwani mama hamuwezi kuachana?
Kuachana kwa kifo?

MTU akishakuwa mkeo/mumeo huyo ni zaidi ya yeyote. Hiyo ni familia yako.
Huwezi kuipenda familia yako kana humpendi mkeo/mumeo.

Kumpenda mkeo/mumeo hakukuzuii kumheshimu Mzazi wako.

Mzazi abaki kwenye mipaka yake, familia yake sio aingilie Familia yako
 
Duuh
 
Je siku mki achana utakua kwenye, hali gani, maandiko yamesisitiza tiwa

Ni kweli hapo umenena, lakini msijaji muonekano wa. Mlengwa si sawa

Wazazi wao Wana jaji kulingana na mtazamo wao. Ni haki yao.
Kwamba kama anamuona huyo kijana nu kituko unataka asiseme Fulani ni kituko?

Jukumu la huyo binti ni kuamua kuonyesha kwamba amechagua kuolewa na mwanaume ambaye wazazi wake wanamuona kituko.

Love is a choice not feeling
 
Iko hivyo. So jamaa amlaumu huyo mchumba wake. Sio aingize mambo Yao Kwa wazazi ambao hawahusiki na mapenzi yao.

Demu kampiga chini na sababu sio wazazi wala nini. Jamaa hana lolote kwa demu. Wazazi ni kisingizio
Inaweza kuwa, sema inasemekana demu hayuko kule alipo olewa, hakubaliani na ndoa anahitaji msaada hapo sasa, ndo mechi inapo kua ngumu, kujua kataka mwenyewe au laah
 
Inaweza kuwa, sema inasemekana demu hayuko kule alipo olewa, hakubaliani na ndoa anahitaji msaada hapo sasa, ndo mechi inapo kua ngumu, kujua kataka mwenyewe au laah

Msaada gani? Demu mnafiki huyo. Watu wanafiki kama hao Sisi ndio tunawatafutaga ilo tuwapige tukio wajifunze.

Yeye kaamua kuwasikiliza wazazi wake kamuona mshikaji hamnazo, hanalolote, hatoshi, Hana hoja
 
wakati huo ukiwa sauzi?
 
Wenda Shafii kaingizwa mkenge. Binti alikubali kwa hiari yake so katumia hiyo gia kukwepa lawama.
 
Huyo mwanamke anajua anachokifanya. Amefanya 100% calculated move, ni vile tu siku hizi tumekua na aina fulani ya wanaume wadhaifu wanashindwa kusoma alama za nyakati na kuuelewa mchezo.
Tena hivi ni ndoa ya kiislamu! Shafii ataendelea kumtumia miamala mke wa mtu kwa matumaini ya uongo.
Mwanamke kamuacha makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…