mwanamke hakuwa anampenda ana mdanganya tuKaambiwa akifanya hivo, atafute wazazi wengine
😂😂Hawa comedy si ndio walikuja na tuzo za Mama Champion of comedy ? ...lolote tu limkute 🐼
Binti ana mlaghai tu mshikaji , mwanamke kama anakupenda kweli yupo Tayari hata kuruka ukuta wa nyumbani kwao ndio akubali kupangiwa mwanaume wa kumuoa !?Huyo binti ana miaka mingapi mpaka analazimishwa kuolewa na mtu asiyemtaka??
Ndio hivyo hivyo nilivyowaza 😄Huyo mkubwa sana, inawezekana ameamua koolewa mwenyewe baada ya kuona boyfriend wake anachelewa kumuoa badala yake umekuwa uchumba sugu halafu akamuambia amelazimishwa na wazazi wake ili asione amemsaliti .
Mashavu yapi Sasa fafanua vyema 😀Unajua why nacheka 🤣
Nina mashavu ila sio kama ya shafii😅
Nimewaza tu huyo dada atakua na akili sana kafanya maamuzi yake kawauzia msala wengine saiv inaonekana ni kama innocent kaamua zake kuplay victim card, hapo jamaa aliemuoa nae hiyo ni wakeup call lolote litakalotokea demu bado ni mshindi iwe kwa shafi, wazazi au huyo mume wake mpya.Tena hivi ni ndoa ya kiislamu! Shafii ataendelea kumtumia miamala mke wa mtu kwa matumaini ya uongo.
Mwanamke kamuacha makusudi
Tena huyo mchekeshaji baada ya tukio ndo kaamua kuonesha kichwani alivochenga, kaamua kuyamwaga kama yalivo, mara apost picha anajiliza mara mama Gwajima...hapo hata akipata demu wake mpya ajae anajua pa kuanzia.Dogo kaingizwa Chaka
Binti made the decisions
Mume mpya inaonekana ana mafanikio ambayo Demu karidhika nayo, Shafii apambane na hali yake atafute pesa.Nimewaza tu huyo dada atakua na akili sana kafanya maamuzi yake kawauzia msala wengine saiv inaonekana ni kama innocent kaamua zake kuplay victim card, hapo jamaa aliemuoa nae hiyo ni wakeup call lolote litakalotokea demu bado ni mshindi iwe kwa shafi, wazazi au huyo mume wake mpya.
Mjini njoo na akili wajinga utawakuta.Mume mpya inaonekana ana mafanikio ambayo Demu karidhika nayo, Shafii apambane na hali yake atafute pesa.
Demu kaenda huku kaweka mazingira mazuri ili ndoa ikivunjika atarudi kwa shafii chap!
Wanaume wengi huwa wanachukulia poa ndoa kwa sasa ukute huyo Duvai alikuwa timu kataa ndoa.Ila hapo kwenye miaka mitano, mhh kweli haikua busara kama ni pika pakua, hapana aisee, mitano mingi sana labda kama, walikua makazi tofauti
Shafii ataendelea kumginga huyo demu, ukiona picha nguo alizo vaa huyo demu, ni wale wapenda ustar, subiri aka kae Kwa mume mwaka tu agundue insta hapati likes nyingi mambo ya kazi nyingi kuliko kuspend, ndoa kwishnehi, MUNGU amsimamie huyo mdau, muoajiNimewaza tu huyo dada atakua na akili sana kafanya maamuzi yake kawauzia msala wengine saiv inaonekana ni kama innocent kaamua zake kuplay victim card, hapo jamaa aliemuoa nae hiyo ni wakeup call lolote litakalotokea demu bado ni mshindi iwe kwa shafi, wazazi au huyo mume wake mpya.
Shafii ataendelea kulomba ni swala la muda tuBado shafii junior sana kwenye game.
A woman will break ALL rules to be with the man he wants. Huyo mwanamke ni hypergamous amepata option bora ame monkey branch.
Bro shituka kiki hiyoooTena huyo mchekeshaji baada ya tukio ndo kaamua kuonesha kichwani alivochenga, kaamua kuyamwaga kama yalivo, mara apost picha anajiliza mara mama Gwajima...hapo hata akipata demu wake mpya ajae anajua pa kuanzia.
Kaka nimesoma huo mchezo, mdau aliemuoa huyo Binti awe makini sanaMume mpya inaonekana ana mafanikio ambayo Demu karidhika nayo, Shafii apambane na hali yake atafute pesa.
Demu kaenda huku kaweka mazingira mazuri ili ndoa ikivunjika atarudi kwa shafii chap!
Nasema hivi hiyo mume akae Kwa akili nyingi sana, mwisho wa siku atatoa mlioBig Hana pesa itakuwa, dogo (binti) mwenyewe anaonekana anapenda spotlight Sidhani kama hiyo ndoa ataiweza.